uingereza

  1. Melubo Letema

    Tanzania tumeambulia Medali 3 Jumuiya ya Madola Uingereza

    Baada ya Medali ya Kwanza ya Fedha kutoka Kwa Mwanariadha Alphonce Felix Simbu aliyoipata kwenye Mbio Ndefu Marathon Tarehe 30/07/2022, Leo Jioni Tanzania imehitimisha ngwe ya ndondi kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwa kupata medali mbili za shaba baada ya bondia wake wa pili Kassim...
  2. Roving Journalist

    Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza

    DUA KWA VIJANA WETU Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia wake Wawili na wanariadha idadi hiyo hiyo wakiingia dimbani kupambania medali. Kwa upande wa ndondi...
  3. C

    Ifahamu Bustani yenye Mimea ya Sumu iliyopo Uingereza

    Bustani ya sumu iliyopo Alnwick huko Northumberland, Uingereza, ina zaidi ya mimea 100 yenye sumu, ya kulewesha na ya mihadarati. Na imeruhusiwa kutumiwa na umma yaani watu wote wanaruhusiwa kutembelea maeneo hayo ya bustani kwa kuzingatia taratibu na sheria za eneo hilo. Ishara kwenye lango la...
  4. Lady Whistledown

    Uingereza: Hofu ya Kudukuliwa yakwamisha kura ya kumpata mrithi Wa Boris Johnson

    Upigaji kura kwa njia ya Mtandao katika Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Conservative ili kumpata Mrithi wa Boris Johnson umecheleweshwa baada ya wataalamu wa Mtandao wa Serikali kuibua wasiwasi juu ya uwezekano wa udukuzi wa kura Wataalamu hao wamedai kuwa Wadukuzi wanaweza Kubadilisha idadi...
  5. Melubo Letema

    Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha

    Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha ,kwa kukimbia muda (2:12:29) nyuma ya Mganda Victor Kiplagat (2:10:55) na Mkenya wa Tatu Kwa Muda (2:13:16), kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika Jijini Birmingham, Uingereza Leo Tarehe 30...
  6. The Sunk Cost Fallacy

    Nafasi ya Waziri Mkuu wa Uingereza ni Liz Truss vs Rishi Sunak. Unapenda nani awe PM?

    Bila kupoteza mda twende kwenye mada. Kinyang'anyiro cha Nafasi ya Kuwa PM wa Uingereza ni Kati ya hao wawili baada ya kufanyika Mchujo.. Binafsi napenda Liz Truss ashinde kwa sababu zifuatazo.. 1. Amekuwa bega kwa bega na Boris Johnson kama Foreign Minister kuwanyoonya Russia ndio maana...
  7. Melubo Letema

    Wanariadha 9 kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola - Uingereza.

    Wanariadha wapatao 9, Wanamichezo wengine na Viongozi wao wameondoka kwenda nchini Uingereza kushiriki Mbio za uwanjani na mbio Ndefu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Birmingham Uingereza (28 July to 8 August 2022)
  8. JanguKamaJangu

    Joto Uingereza kufikia nyuzi joto 43C Julai 19, 2022

    Uingereza inatarajiwa kuwa na Nyuzi Joto 43C, kesho Jumanne Julai 19, 2022 ikiwa ni hali ya joto kali kuwahi kutokea katika historia ya Nchi hiyo. Mamlaka za hali ya hewa za Uingereza (MET) zimeeleza kuwa leo Jumatatu Julai 18, 2022 hali ya joto inatarajiwa kuwa Nyuzi Joto 40C. Source...
  9. Kijakazi

    Je, Uingereza iko responsible na Wahindi wa Tanzania?

    Nauliza hivi kwa maana wao (Waingereza) ndiyo waliowaleta Wahindi Tanzania kutokea India/Pakistani, nakumbuka pia wakati wa Amini Uganda wengi wa Wahindi walikimbilia Uingereza, Kanada au Australia (English commonwealth). Sasa je, Uingereza inawajibika na maisha ya Wahindi hapa Tanzania? Kwa...
  10. Lady Whistledown

    Uingereza yatangaza hali ya hatari kwa ongezeko la viwango vya joto nchini humo

    Watabiri wa hali ya hewa wa Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza wametangaza hali ya dharura ya Kitaifa, na kutoa onyo la joto kali kwa baadhi ya maeneo nchini humo kwa Jumatatu na Jumanne wiki ijayo wakati halijoto inaweza kufikia viwango vya juu zaidi vinavyoweza kuathiri watu na miundombinu...
  11. M

    Hivi Logically tu inaingia Akili utoke Kucheza Uingereza tena Newcastle United uje Machafuko Mafurilo FC ya Tanzania?

    Kuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo. Tukutane kuanzia Mechi ya Ngao ya Jamii na endeleeni tu Kukariri na kujipa Moyo kuwa Msimu wa 2022 / 2023 utakuwa ni kama wa 2021 / 2022. Machafuko Mafuriko FC endeleeni Kusajili na sasa tunangojea mumsajili...
  12. JanguKamaJangu

    #COVID19 Waliougua COVID-19 Uingereza wafikia watu milioni 2.7

    Maambukizi ya Ugonjwa wa UVIKO-19 yanaendelea kushika kasi ungereza ambapo Ofisi ya Takwimu (ONS) imesema kuwa takribani watu milioni 2.7 wamepata maambukizi. Maambukizi hayo yameongezeka kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Omicron vinavyotambulika kitaalamu kwa majina ya BA.4 na BA.5. Source...
  13. mawaridi

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu Bwana Johnson amesema alijaribu kuendelea kuwa madarakani na inamuuma kuona hataweza kumalizia mipango yake aliyojiwekea. Boris Johnson amesema kuwa inamuuma kupoteza kazi bora kabisa katika Dunia Boris Johnson...
  14. Richard

    Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

    Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukalia kuti kavu kwa masaa 24 yalopita hatimae leo mchana atatangaza kujiuzulu baada ya mawaziri 55 kujiuzulu nafasi zao na serikali kushindwa kujiendesha. === Serikali ya Waziri mkuu wa Uingereza amezama katika mzozo ambao athari zake...
  15. Richard

    Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

    Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA. Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao. Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid. Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
  16. Sky Eclat

    Kipindi cha Industrialisation Uingereza. Butcher man alipita na mkokoteni nje ya nyumba

    Kipindi hiki watu walihama kufuata kazi, miji ilifanyika na biashara zilishamiri. Ni katika kipinndi hiki walianza ustaarabu wa kusukuma maji na yalifika majumbani. Maji tiririka yalipunguza magonjwa kama cholera kwani yalikuwa treated kabla hayajafika kwa mtumiaji.
  17. JanguKamaJangu

    #COVID19 Maambukizi ya COVID-19 yaongezeka kwa 30% Uingereza

    Maambukizi ya Virusi vya Corona yameongezeka kwa 30% Nchini Uingereza ndani ya wiki moja iliyopita Takwimu zilizotolewa na Ofisi ya Takwimu ya Taifa ya Uingereza imeonesha zaidi ya watu milioni 3 walipata maambukizi ya vizuri hivyo vinavyosababisha COVID-19 huku idadi ya vifo ikipungua...
  18. Lady Whistledown

    Uingereza yatangaza vikwazo vipya vya Kibiashara dhidi ya Urusi

    Serikali imetangaza awamu mpya ya Vikwazo vya kibiashara dhidi ya #Russia ikiwa ni mwendelezo wa Vikwazo kutoka nchi nyingi Duniani kutokana na kuendelea kwa #RussiaUkraineWar Vikwazo hivyo vinajumuisha marufuku ya kusafirisha bidhaa na teknolojia mbalimbali nchini humo, usafirishaji wa mafuta...
  19. Lady Whistledown

    Uingereza yaidhinisha kurudishwa Nchini Marekani kwa mwandishi na mwanzilishi wa mtandao wa WikiLeaks

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo ameidhinisha kurejeshwa kwa Julian Assange nchini Marekani ambapo mamlaka nchini humo zinamtafuta kuhusiana na nyaraka zilizofichuliwa na mtandao huo mwaka wa 2010 na 2011. Mnamo 2019 Marekani iliwasilisha mashtaka 17 dhidi yake kwa kukiuka Sheria ya Ujasusi...
  20. JanguKamaJangu

    Uingereza yasitisha safari za waomba hifadhi kupelekwa Rwanda

    Serikali ya Uingereza imesitisha mpango wa safari ya ndege iliyotakiwa kuwabeba waomba hifadhi kwenda Rwanda baada ya Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Ulaya kusema mpango huo unaakisi athari zisizoweza kurekebishwa. Awali ilielezwa ndege hiyo ingeanza safari Juni 14, 2022 bila kujua idadi ya...
Back
Top Bottom