Boris Johnson ajiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta Waziri Mkuu mpya
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Boris Johnson Jumapili alijiondoa katika kinyang'anyiro cha kumrithi Liz Truss kama kiongozi wa nchi hiyo inayoendelea kukabiliwa na misukosuko ya kisisasa.
Johnson alisema wabunge...
Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye aliingia kazini moja kwa moja, sasa kashindwa anaondoka kwa amani kabisa siajabu Johnson Boris...
Nasubiri kuona kiongozi wetu mkuu kuiga mfano halisi wa demokrasia sahihi na hakika kutoka kwa kiongozi wa jumuiya ya madola.
Yaaani ndani ya kipindi cha mwezi mmoja na nusu tumeshuhudia kwa macho yetu wenyewe kabisa mawaziri wakuu wawili tena wa dola kubwa sana duniani wakijiuzulu kutokana tu...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake
Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022
Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na...
Suella Braveman ambae alikuwa akiongoza wizara ya mambo ya ndani amejiuzulu leo jioni baada ya kukiuka kanuni za usalama wa habari mitandaoni kwa kutumia anuani binafsi ya barua pepe badala ya anuani maalum ya serikali.
Waziri huyo anadaiwa kutumia anuani binafsi kutuma taarifa nyeti katika...
Breaking News: Waziri wa fedha wa Uingereza Kwasi Kwarteng amejiuzulu.
Serikali ya Uingereza chini ya waziri mkuu Liz Truss na waziri wake wa fedha bwana Kwasi Kwateng ipo matatani kwa kushindwa kusimamia uzuri suala la uchumi.
Taarifa mbalimbali zasema serikali hiyo imezidisha kiwango cha...
Anga yote ya Ukraine hivi karibuni italindwa, ili tuendelee vizuri kwenye frontline bila kuwaza wananchi uswazi.
========
Britain on Thursday said it would supply Ukraine with air defense missiles to defend itself against Russian assaults and will for the first time provide rockets capable of...
Conor Burns, kushoto, akiwa na Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu Uingereza.
Waziri wa Biashara, Conor Burns wa Uingereza ambaye vile vile nalikuwa Chief Whip wa chama chake cha Conservatives, katimuliwa kazi.
Kisa na mkasa inaelekea alianza kumtongoza mwanaume mwenziwe akiwa amelewa katika...
Tangia Rais Samia aanze Uraisi ni zaidi ya mwaka sasa, lkn mpaka leo hii hajawahi kufanya ziara maalumu ya kiserikali nchini Uingereza, najua mtakuja na majibu ya sijui Ukoloni, lkn msisahahu mlisema mnafungua nchi na ninyi siyo Kisiwa na kwamba ni sehemu ya English empire au Commonwealth wakati...
Mzuka Wanajamvi!
Enzi hizo kwa Bibi wee. Mambo ya Sterling pound pesa iliyokuwa na nguvu. Yani diaspora wa uingereza enzi hizo wacha wee full kujiinua hasa wakituma au kuchenji hela zao. Sie wa akina krone, krona na kroner tulidharaulika sana.
Kujiinua taratibu zinakwisha. Na walivyomuweka...
Maoni ya waingereza yanaonesha kwamba ufalme utaendelea kuwepo kwa uhakika mpaka mwaka 2036 na una uwezekano mkubwa wa kuwepo mwaka 2056.
Hata hivyo maoni ya wengi ni kwamba hautakuwepo ifikapo mwaka 2106
_______________________
Support for establishing a republic instead of a monarchy was...
Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.
Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
Wengi hawafahamu hilo, wanafikiri ni Muingereza, lkn ukweli ni kwamba Malkia Elisabeth ni Mjerumani na walibadilisha jina lao baada ya Vita Kuu ya Dunia na kujiita Windsor, original waliitwa Saxe—Coburg Gotha, ni foreigners England.
Sababu za kubadilisha jina la Kijerumani ni Vita ya Dunia...
Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.
...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia...
Bei ya nishati ya makaa na ukosefu wa kaboni dioksidi inaripotiwa kutishia uzalishaji wa bia.
Watengenezaji bia wa Uingereza wanakabiliwa na ongezeko la bei mara kumi kwa CO2 wanayotumia kutengenezea kaboni na kufunga bia.
=========
Soaring energy prices and lack of carbon dioxide reportedly...
Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
african leaders
afrika
baada
basi
biden
comments
daladala
kupanda
kwao
london
lumumba
mabasi
magufuli
marais
mataifa
mheshimiwa
mitandaoni
moja
msiba
ndugu
ndugu zangu
nyerere
pamoja
rais
rais biden
rais samia
samia
serikali
suala
ufafanuzi
uhakika
uingereza
viongozi
wawakilishi
wazungu
Karibu marais wote wa Kenya wamewahi kuonana na malkia Elizabeth II kasoro William Ruto ambaye ameenda kumzika.
Hapa kwetu ukiondoa mwalimu Nyerere Nani mwingine?
Tuliwahi kumuweka mtu mmoja pale ikulu kila uchwao yeye alikuwa akiwaita wazungu mabeberu. Yule mtu sijui tuliteleza wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.