uingereza

  1. Mukulu wa Bakulu

    Kwanini pamoja na kuwa Land Rover ni kampuni ya kiingereza lakini magari yake sio maarufu Uingereza?

    Land Rover ni kampuni ya Uingereza, Land Rover ndio hutengeneza magari kama Range Rover, Discovery nk lakini kwenye taarifa ya Serikali magari ya kampuni hiyo hayako hata kwenye top 20 ya magari yanayopendwa Uingereza. Angalia taarifa hii ya Mwezi December 2022, kwenye category zote za Pure...
  2. Raphael Thedomiri

    Serikali ya Irani itatekeleza hukumu ya kifo kwa watuhumiwa hawa 7 ambapo 2 wanauraia wa Uingereza?!

    Wakati dunia na hasa mataifa ya magharibi yakiendelea kulaani utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa waandamanaji 2 walionyongwa na serikali ya Irani hivi majuzi, Taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya serikali ya Iran leo, imesema kikosi cha walinzi wa kimapinduzi nchini Iran Jumapili...
  3. JanguKamaJangu

    Uingereza: Ofisi za Gazeti la Guardian zapata shambulizi la mtandaoni

    Imeelezwa kuwa shambulizi hilo limeathiri miundombinu ya digitali na mifumo yake kiasi cha kusababisha wafanyakazi kutakiwa kufanyia kazi nyumba. Tovuti na mitandao yao ya kijamii haijaathiriwa, inaendelea kutoa taarifa kama kawaida. ========= Guardian hit by serious IT incident believed to...
  4. JanguKamaJangu

    Uingereza: Wauguzi kuandamana kwa mara ya pili kupinga malipo

    Zaidi ya Wauguzi 10,000 wanaosimamiwa na Huduma ya Afya ya Afya ya Taifa (NHS) Nchini England, Wales na Ireland Kaskazini wanatarajia kushiriki katika maandamano hayo, Jumatano Desemba 21, 2022. Aidha, wahudumu wa magari ya huduma ya kwanza wa England na Wales nao watashiriki, isipokuwa tu kama...
  5. KANYEGELO

    Biashara ya Digrii kutoka Uingereza na Marekani ni Ugonjwa kwa watu wengi

    Na Dr. Mathew Mndeme UTANGULIZI Kwenye miaka ya 1990 kuja hadi around 2015, nchi za Ulaya na hasa Uingereza na Marekani vilikumbwa na tatizo kubwa sana la uhamiaji haramu (illegal migration). Kulikuwa na wimbi kumbwa sana la wahamiaji hasa kutoka nchi za Afrkika na Asia. Watu wengi walikuwa...
  6. L

    Wachagossia waanza kuona mwanga baada ya Uingereza kukubali kufanya mazungumzo juu ya hatma ya visiwa vyao

    PILI MWINYI Uingereza hivi karibuni ilitangaza kukubali kufanya mazungumzo na Mauritius juu ya hatma ya visiwa vya Chagossia, ikionekana kurudi nyuma kidogo baada ya kugoma kwa siku nyingi kufanya mazungumzo hayo licha ya shinikizo kubwa iliyokuwa ikipata kutoka nchi mbalimbali duniani. Kwa juu...
  7. Shujaa Mwendazake

    Mkuu wa EU achafua tena hali ya hewa: "Mzozo wa Ukraine ni kama mapambano ya Ireland dhidi ya Uingereza "

    Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari" Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
  8. Shujaa Mwendazake

    Mkuu wa EU achafua tena hali ya hewa: "Mzozo wa Ukraine ni kama mapambano ya Ireland dhidi ya Uingereza "

    Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari" Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
  9. M

    Mitaa na barabara Uingereza ni mitupu baada ya watu kusimamisha shughuli zao kwenda kuangalia Timu yao taifa kuchuana na Iran kombe la dunia

    Waingereza wamemaliza kazi zao na shughuli zao mapema na kwenda majumbani na Bar kujiandaa kuangalia Timu yao ya taifa ikichuana na Iran kombe la dunia kwenye kundi la B. Hii imepelekea mitaa na barabara kuwa mitupu. Mechi itaanza saa 10 dakika 15 zijazo napoandika huu uzi na saa 7 mchana saa...
  10. M

    Msiangalie Kombe la dunia chukueni tahadhari

    Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama. Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western...
  11. MK254

    Waziri mkuu wa Uingereza bwana Sunak awasili Kyev, Ukraine

    Safi sana kuona Kyev inaendelea kupokea viongozi wakuu.... Ameahidi kuwapa Ukraine teknolojia za kupiga chini aina yoyote ya drones.... British Prime Minister Rishi Sunak made a surprise visit to the Ukrainian capital Kiev on Saturday for his first meeting with Ukrainian President Volodimir...
  12. JanguKamaJangu

    Uingereza: Uchunguzi wafanyika kubaini kama kuna mgonjwa wa Ebola

    Sehemu ya eneo la Hospitali ya Colchester ilifungwa kwa muda kutokana na mgonjwa kuonekana ana dalili za awali za ugonjwa huo huku akiwa na historia ya kutembelea Bara la Afrika. Inaelezwa mgonjwa huyo alipata homa kali na akawa anavuja damu katika sehemu za mwili wake. Ikiwa itabainika kweli...
  13. Jidu La Mabambasi

    Uingereza waanza kujilaumu na kushuku kuwa BREXIT ndio mwanzo wa mdororo wa uchumi wake

    Waziri wa Fedha Uingereza, Chancellor Jeremy Hunt, ameanza kukubali kile waingereza wengi walikuwa wakishuku lakini moyoni wakikikataa, kuwa kujiondoa Umoja wa Ulaya unawapiga kiuchumi kwa sana. Waziri wa Fedha Uingereza sasa amekaririwa akikubali kuwa kati ya nchi zenye uchumi imara Ulaya...
  14. JanguKamaJangu

    Uingereza: Wauguzi wajiandaa kufanya mgomo wakidai maslahi

    Maelfu ya wauguzi hao wanatarajia kufanya hivyo wakitaka waboreshewe maslahi ili kuendana na uhalisia wa gharama za maisha. Imeelezwa kuwa ikiwa wauguzi hao wa Serikalini watafanya hivyo itakuwa ni mara ya kwanza katika histori kufanya hivyo kwao. Wauguzi hao walio chini ya Huduma ya Afya ya...
  15. Ex Spy

    Bukoba: Mwili wa Raia wa Uingereza aliyefariki kwenye ajali ya Precision Air wasafirishwa

    Mwili wa raia pekee wa Uingereza aliyefariki ndani ya ndege ya Precison Air, unasafirishwa leo kwa gari kuelekea Mwanza. Baadaye usiku wa leo, mwili huo wa Jonathan Rose, utasafirishwa kwa ndege kuelekea Dar es Salaam ambako mipango ya kuupeleka London, Uingereza inaendelea. Nimepata taarifa...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Hongera Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza

    Hongera Mhe. Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza na karibu tena Afrika Mashariki. 🇹🇿 #africa #tanztrust #tanzania #eastafrica
  17. M

    Uingereza na Tanzania hakuna tofauti

    Ni taratibu zinazofanana na kutofautiana kwa mazingira tu. Tofauti ni pale kwa wenzetu, kiongozi anapokubali kuyashindwa majukumu anajiuzulu. Wakati huku kwetu suala la kushindwa majukumu sio kigezo cha kujiuzulu. Lakini utaratibu ndio huo, Uingereza Chama kinamshukia kiongozi hadi anajiuzulu...
  18. NetMaster

    Waziri Mkuu wa Uingereza ndiye mwenye nguvu zaidi kuzidi Mfalme/Malkia

    Mwenye nguvu zaidi ni Waziri mkuu, ndie kiongozi wa shughuli za Serikali, Executive power ipo kwa Waziri Mkuu, pia akiwa kama kiongozi wa chama chenye majority Bungeni hii ni nguvu ya ziada kuwa na legislative power Mfalme yupo zaidi kama figure head lakini real power ipo kwa Waziri Mkuu.
  19. Lady Whistledown

    Rasmi: Rishi Sunak Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza

    Rishi Sunak, (42) ameshinda Kura za Uongozi wa Chama cha Conservative na atakuwa Mhindu wa kwanza na Mtu wa kwanza ‘wa rangi’ kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak anakuwa Kiongozi mwenye Umri Mdogo zaidi kushika Wadhifa huo kwa zaidi ya Miaka 200 na Waziri Mkuu wa 3 wa Nchi hiyo Ndani ya Miezi...
  20. TODAYS

    Huyu hapa anayetazamiwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza mwenye Asili ya Asia

    Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza. Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980. Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960. Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa...
Back
Top Bottom