uingereza

  1. Sky Eclat

    Uhaba wa madereva wa Malori unatishia uchumi wa Uingereza

    Source BBC14, July 2021 Uingereza inakabiliwa na uhaba wa madereva wa malori, upungufu uliopo ambao unahitaji kuzibwa haraka ni maderava 100,000. Athari zilizotokea mpaka sasa ni Nandos kufunga baadhi ya migahawa yake wa kukosa malighafi. Mc Donald kuacha kuuza milk shake kwa kukosa supply...
  2. Mwande na Mndewa

    Miezi mitano bila Dkt. Magufuli: Chanjo ya Marekani na Uingereza inavyoathiri soko la Tanzania

    MIEZI MITANO BILA JPM:CHANJO YA MAREKANI NA UINGEREZA INAVYOATHIRI SOKO LA TANZANIA. Leo 14:30hrs 28/08/2021 Tanzania inategemewa na nchi zote majirani kwa bidhaa mpya ambazo kwa asilimia 75% zinatoka China,hivi sasa nchi hizo majirani zinaelekea Afrika ya Kusini kufuata bidhaa mpya ili...
  3. beth

    Afghanistan: Marekani na Uingereza zatoa tahadhari ya shambulio la kigaidi uwanja wa ndege Kabul

    Mataifa kadhaa yasema kuna tishio kubwa la shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Kabul na kuonya raia wao kuepuka eneo hilo. Australia, Marekanj na Uingereza zimetoa tahadhari zikiwataka Raia ambao tayari wapo nje ya Uwanja huo wa Ndege kuondoka. Zaidi ya watu 82,000 tayari...
  4. Sam Gidori

    Taliban yatoa onyo kali kwa Marekani, Uingereza kutoendelea kukaa Afghanistan baada ya Agosti 31

    Wanagambo wa Taliban wametishia kuyachukulia hatua mataifa ya Marekani na Uingereza ikiwa watashindwa kuondoa wanajeshi wao kufikia Agosti 31 mwaka huu. Kauli ya Taliban inakuja siku moja baada ya Rais Joe Biden kusema kuwa kuna uwezekano wa kuongeza muda wa wanajeshi wao kuendelea kukaa nchini...
  5. Sky Eclat

    Malkia Elizabeth II wa Uingereza ana train yake.

    Malkia ana train yake, inakuwa na mabehewa mpaka tisa kutokana na umuhimu wa safari yake na idadi ya wasafiri. Train hii humuwezeshs yeye pamoja na familia yake hata wageni wake kusafiri kwa amani bila usumbufu. Hili ni behewa la chakula, wanawekewa chakula wakiwa safarini yeye na wageni wake.
  6. Analogia Malenga

    Uingereza: Mchungaji Mwenye Asili ya Kenya Kortini kwa Kuuza Mafuta analiyodai yanatibu Covid-19

    Askofu Climate Wiseman mwenye asili ya Kenya amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuuza mafuta anayodai yanatibu COVID19 Askofu huyo anayeishi Uingereza anakabiliwa na Mashtaka ya udanganyifu na kufanya Biashara isiyo na usawa (fairness) Hakimu wa Mahakama ya Lavender Hill ameshindwa kutoa...
  7. Hismastersvoice

    Ninaipongeza serikali ya Uingereza kwa kuwavumilia Watanganyika

    Tanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na hakuwahi kumzuia Nyerere kwenda UNO kudai uhuru na kama kulitokea purukushani basi zilikuwa za kiwango...
  8. idoyo

    Jinsi China "ilivyoangukia pua" mbele ya Marekani huko Ethiopia

    .
  9. Polycarp Mdemu

    Gertrude Ederle: Mwanamke wa kwanza Kuvuka mlango bahari kati ya Uingereza na Ufaransa (The English Channel) kwa kuogelea Kilomita 56.327 kwa masaa 14

    Tarehe 6 August 1926 mdada huyu alikuwa mwanamke wa kwanza Kuvuka mlango bahari kati ya Uingereza na Ufaransa (The English Channel) kwa kuogelea Kilomita 56.327 kwa masaa 14½ tu. Aliporudi kwao baada ya kuvunja rekodi hiyo alipokelewa na Parade maarufu ya Canyon of Heroes kwa umati wa watu...
  10. beth

    #COVID19 UK: Serikali kutumia kumbi za starehe kuhamasisha vijana kujitokeza kupata chanjo

    Kama jitihada mojawapo ya Serikali kuongeza kasi ya utoaji Chanjo, Vijana wameambiwa wasikubali kupitwa na wakati mzuri ikiwemo uhuru wa kwenda klabu na kusafiri kwa kujitokeza na kupata dozi zote za Chanjo dhidi ya COVID-19. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo kuna harakati za klabu kuhamasisha...
  11. Mzalendo_Mwandamizi

    Kwanini Balozi za Marekani, Uingereza, EU na Canada hazijatoa tamko lolote kuhusu kukamatwa Mbowe?

    Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli...
  12. W

    Uingereza wataka Uhuru Kenyatta apimwe Corona kabla ya kuingia

    Ndugu zangu, Hii ndio hali halisi mtaka cha uvunguni sharti ainame.Hadi sasa haieleweki ni kipimo cha puani au sehemu ya haja kubwa. ======= Nairobi. Britain will demand a top mark Covid-19 test from President Uhuru Kenyatta and his team ahead of entering London today after being exempted...
  13. Analogia Malenga

    Uingereza: Matumizi ya pombe yaongezeka mbali na baa kufungwa

    Takwimu zimeonesha kuongezeka kwa matumizi ya pombe kwa 24.4% kwa mwaka 2020/21 ukilinganisha na 2019/20, mbali na kuwa na lockdown ambapo baa zilifungwa kwa wiki 31 Aidha vifo vinavyotokana na ini kuharibiwa na pombe vimeongezeka kwa 21% kwa kipindi ambacho #COVID19 imekuwepo, hali...
  14. Miss Zomboko

    Uingereza yaondoa vikwazo vyote vya COVID-19

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuanzia leo kuondoa masharti yote ya kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona. Hata hivyo, hatua hiyo imepingwa na wanasayansi na vyama vya upinzani wakisema kuwa itaiweka nchi hatarini. Kuanzia saa sita ya usiku vilabu vya starehe vyote viliruhusiwa...
  15. Analogia Malenga

    #COVID19 Marekani yatahadharisha raia wake kwenda Uingereza

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimewatahadharisha raia wa Marekani kuhusu kwenda Uingereza ambapo kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya #COVID19. CDC wamesema kama kutakuwa na ulazima sana wa mtu kwenda Uingereza ni vyema kwanza akawa amekamilisha dozi ya chanjo. Uingereza...
  16. The Assassin

    #COVID19 Waziri wa Afya wa Uingereza augua Covid-19 baada ya kupata chanjo

    Waziri wa afya wa uingereza amepata ugonjwa wa covid 19. Waziri huyo tayari amepata chanjo yote ya covid 19 kma inavyotakiwa lakini bado ameugua covid 19. Ni cases nyingi kama sio zote ambazo watu waliochanjwa bado wanaugua ugonjwa wa Covid 19. Swali la kujiuliza, inakuaje mtu amepata chanjo...
  17. Analogia Malenga

    Uingereza yarekodi Maambukizi Mapya 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita

    Uingereza imetangaza kupata maambukizi mapya mengi tangu Januari ambapo yamefikia 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita Aidha, kumerekodiwa vifo 41 ndani ya saa 24 zilizopita vilivyotokana na #COVID19 Hadi sasa Uingereza imetoa chanjo kwa 67.8% ya watu wake.
  18. ndege JOHN

    Uingereza: Mtaalam wa masaji atupwa jela miaka 4 kwa kurekodi video za wateja wanawake zaidi ya 900

    Mtaalamu wa Masaji (anayewafanyia Watu massage) Julian Roddis wa Uingereza amehukumiwa miaka minne Jela kwa kosa la kutumia camera ya siri iliyofichwa kwenye saa yake kuwarekodi Wateja Wanawake waliofika kufanyiwa Masaji. Uchunguzi umebaini kuwa ametumia miaka miwili kuwarekodi Wanawake zaidi...
  19. Underthesea

    Familia kubwa kuliko zote nchini Uingereza inayoishi nyumba moja (watoto 22)

    The Radford Family Noel (50) na Sue (46) Radford walikuwa mayatima na walikutana wakiwa wadogo. Sue alipata mimba akiwa na umri wa miaka 14 huku Noel akiwa na 18. Walikaa bila kongeza mtoto hadi walipooana binti akiwa na miaka 17. Tangia wakati huo karibu kila mwaka Sue huwa na ujauzito...
  20. M

    England vs Darnmark: Kawaida ya Euro 2020, timu bora lazima iage mashindano leo!

    Kuna mapinduzi makubwa kwenye soka la kileo kama ilivyodhihirika kwenye mashindano ya Euro 2020 mwaka huu. Timu bora si lazima ishinde na mara nyingi timu bora imekuwa ikizidiwa mbinu na kutupwa nje ya mashindano. Jana timu bora sana ya Spain ilizidiwa mbinu na Italia na kutupwa nje!! Hali...
Back
Top Bottom