Jeshi la Uingereza limetangaza juzi August,17, kwamba linataka kuwaandikisha katika jeshi vijana Waafrika ,vijana kutoka nchi za Afrika zilizopo katika Jumuia ya Madola; nchi kama Kenya, Tanzania,Msumbiji, South Africa.
So far,wametaja kuwaajiri wahandisi na wasanii,no mention of fighters yet ...