uingereza

  1. Suley2019

    Yanayojiri Ligi Kuu za Ulaya. Ligi ya Uingereza (EPL), Hispania (Laliga), leo Septemba 30, 2023

    Habari, Karibu tupeane updates ya mechi mbalimbali za Ligi za Ligi Kuu za nchi za Ulaya leo Septemba 30, 2023. EPL Aston Villa 6 - 1 Brighton (FT) Bournemouth 0 - 4 Arsenal (FT) Everton 1 - 2 Luton (FT) Man U 0 - 1 Crystal Palace (Cont) New Castle 2 - 0 Burnley (FT) West Ham 2 - 0...
  2. Allen Kilewella

    Uingereza: Kuwa shoga kusiwe kigezo cha kukubaliwa kuwa mkimbizi

    Waziri wa mambo ya ndani Uingereza, Suella Braverman, amesema mtu kusema ananyanyaswa ama kutishiwa kushitakiwa au uhai wake, kwenye nchi yake ya asili kwa vile tu ni shoga, kusiwe sifa ya mtu kukubaliwa kuwa mkimbizi kwenye nchi za ulaya na Marekani.
  3. Roving Journalist

    Taasisi ya MOI yapokea vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya Uingereza vyenye thamani ya Tsh Bilioni 3

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ambapo kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Ummy Mwalimu amepokea msaada wa vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya nchini Uingereza wenye thamani ya Th. 3 bilioni. Katika...
  4. Afrocentric view

    Ushauri: Jirani yangu anataka kuuza nyumba ili akatafute maisha Uingereza ni sawa?

    Wajuvi,wajuzi,wakulungwa na makontawa na matycoon mnaitwa huku mtoe ushauri. Nina jirani yangu huku Morogoro ni mmama wa makamo, alienda Dar kibiashara lakini katika pitapita zake amekutana na kampuni posta wanasaidia kuprocess watu kwenda nje. Sasa amepewa plan ya kuunganishwa kwenda UK...
  5. M

    Inaonyesha Haji Mnoga alichezea U 17 ya Uingereza na sasa Taifa Star

    Wataalam naombeni kujua kuhusu hili, maana amezaliwa England kwa Mama Mzungu na Baba Mtanzania wa Zanzibar. Kwenye timu ya England U 17 amecheza pia. Na sasa ni kati ya mabeki wetu wa kutegemewa Taifa Star. Je, mchakato wa uraia wake upoje? Nikiri nimechelewa kulijua hili. PIA NAOMBENI...
  6. Juma Wage

    Drone ya Putin ilivyokiteketeza kifaru bora cha Uingereza

    Duniani kuna vifaru vitatu hatarishi kwa mapigano katika uwanja wa vita. Vifaru hivyo ni Abraham's cha Marekani, The challenger (Uingereza) na Leopord (Ujerumani) Hata hivyo waswahili wanausemi "Ivumayo haidumu" na hivyo ndivyo inavyothibitika kwa wababe hao wa ardhini. Tangu vita ya Russia...
  7. K

    Polisi nchini Uingereza wazuru darasa la yoga baada ya kupokea taarifa ya mauaji ya halaiki

    Polisi nchini Uingereza wamezuru kwenye darasa la yoga katikati ya jiji baada ya raia mmoja kutoa taarifa ya mauaji ya halaiki. Maafisa walikimbilia mahali hapo huku ving’ora vya gari vikilia na kuwakuta washiriki wa darasa hilo wakitafakari kimyakimya. Hoteli ya Seaside inayotazamana na...
  8. mwanamwana

    KWELI Pamoja na Ulinzi mkali jumba la kifalme Uingereza, kuna mwamba alipenya mpaka chumbani kwa Malkia Elizabeth

    Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya jumba hilo, akapiga misele kidogo, akaingia ofisi ya Malkia Elizabeth kufyonza mvinyo maalum wa...
  9. JanguKamaJangu

    Uingereza iko mbioni kutangaza Wagner kuwa ni shirika la kigaidi

    Serikali ya Uingereza inatarajia kuchukua maamuzi dhidi ya Kundi hilo la Urusi ambapo itamaanisha kuwa ni kinyume cha Sheria kuwa Mwanachama au kuunga mkono Shirika hilo. Mapendekezo hayo yakifikishwa Bungeni na kupitishwa itamaanisha mbali na Wanachama, mali pia za kundi hilo nazo...
  10. M

    Kifaru Cha Uingereza CHALLENGER 2 chaungana na vile vya ujerumani LEOPORDS 2 kuchomwa moto na majeshi ya Urusi: ABRAHAMS cha USA kitafuata mkondo!

    Putin alipowaambia waingereza walipokuwa wanajidai kupeleka vifaru vyao wanavyoviamini nchini ukraine kuwa na vyenyewe vitaungua hakua anatania. Kilipopelekwa tu kimoja uwanja wa mbele kupima kina cha maji, hakikurudi!! British Challenger 2 tank 'hit' in Ukraine By Thomas Spencer & Alex...
  11. P

    SI KWELI Mkoa wa Njombe una kijiji kinachomilikiwa na aliyekuwa Malkia II wa Uingereza

    Wakuu kwema? Katika pitapita zangu mtaani nimesikia barabara ya Njombe - Songea imejengwa na Malkia wa Uingereza na kwamba Hayati Queen Elizabeth II ndiye mmiliki wa mashamba ya chai maeneo hayo. Ila kubwa zaidi ni kuwa, Njombe kuna kijiiji kizima ambacho ni mali ya Malkia huyo. Je, hili lina...
  12. peno hasegawa

    Balozi Mbelwa Kairuki kwenda Uingereza na Balozi Khamis Mussa Omar kwenda China ni tatizo

    Ijumaa limekuwa tatizo. Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka. Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo. Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.
  13. Richard

    Urusi yaituhumu idara ya Ujasusi ya Uingereza MI6 kuunda kikundi cha mauaji kutoka Ukraine dhidi ya viongozi wa Afrika wanaoshirikiana na Russia

    Russia imeituhumu idara ya ujasusi wa nje ya Uingereza ya MI6 kuhusika na mpango wa kuunda kundi la wauaji au "Assassination Squad" ambalo kazi yake kuu itakuwa ni kuharibu miundombinu na kufanya mauaji ya viongozi wa nchi za Afrika ambao watakuwa wakishirikiana na Russia kiuchumi na...
  14. JanguKamaJangu

    Wizkid apewa Tuzo kwa kufikisha 'streams' Bilioni moja Uingereza

    Mwanamuziki huyo wa Nigeria anakuwa msanii wa kwanza kupata Tuzo ya Bilioni ya BRIT inayotolewa kwa Wasanii ambao wamepata zaidi ya mitiririko (streams) ya kidijitali bilioni moja Nchini Uingereza. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wizkid kufanya shoo kubwa kwenye Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini...
  15. N

    Magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania

    TBS wamesema magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania. Hivyo TBS wamewapa tenda Quality’s Inspection Service Japan(QISJ) kukagua magari yanayotoka Muungano Wa Falme Za Kiarabu(UAE) na EAA Company...
  16. JanguKamaJangu

    Askofu Gwajima asema ahadi yake kwa wakazi wa Kawe kuwapeleka Birmingham (Uingereza) bado ipo

    Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima...
  17. K

    Kwanini MOU za DP world za hivi ni kwa Africa tu. Uingereza mbona hawana!

    https://apnews.com/article/middle-east-africa-china-hong-kong-e01b827fd55dd5fba9d13f5e5baabade Ni nchi za Africa tu ndiyo tuna sign MOU za ajabu . DP world ipo Uingereza watuonyeshe MOU yao. Wenzetu wa African wapo kwenye makesi
  18. FaizaFoxy

    DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza

    DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni...
  19. GENTAMYCINE

    DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

    Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae? Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata...
  20. M

    Marekani, Uingereza na China zaitaka SGR

    Serikali imesema nchi tano zikiwamo China, Marekani na Uingereza zimeonyesha nia ya kuwekeza kwenye ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) ushoroba wa Mtwara kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP). Nipashe
Back
Top Bottom