ujenzi wa soko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rushwa na Matumizi mabaya ya fedha za Umma katika ujenzi wa Soko wilaya ya Kaliua. Waacha eneo lililotengwa kwa ajili ya soko, watafuta eneo jipya.

    Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi. Wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania SERIKALI YAMJIBU MBUNGE WA KAWE KUHUSU UJENZI WA SOKO LA TEGETA NYUKI

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es salaam Mhe, Timoth Geoffrey Anyosisye ameishauri Serikali kukarabati Soko la Tegeta Nyuki, akisema miundombinu yake imechakaa na kusababisha wafanyabiashara pamoja na wateja kufanya shughuli zao katika mazingira magumu. Timoth akiuliza swali bungeni jijini...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyabishara walalamika ucheleweshaji wa ujenzi wa Machinga Complex Dodoma kikwazo cha kufanya biashara

    Zaidi ya wafanyabiashara 374 wa mbogamboga, wakiwemo wauza nyanya waliokuwa wakifanya biashara mbele ya Soko la Wazi la Machinga Complex jijini Dodoma, wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa marumaru (pavement) katika eneo hilo. Wamesema ucheleweshaji wa mradi huo umeathiri kwa kiasi kikubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…