ujenzi

  1. Mchengerwa aagiza Mkandarasi kutopewa mradi mpya, huku waliopaswa kumaliza kazi Februari wasipate hata kazi ya shilingi mia tano mpaka wamalize viporo

    Mchengerwa ametoa agizo hilo katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Majengo na vituo vya daladala jijini Dodoma kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya Miji (TACTIC) awamu ya pili unaotekelezwa chini ya Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA).
  2. DAWASA: Ujenzi wa Bwawa la Kidunda (Morogoro) linalojengwa katika mkondo wa Mto Ruvu umefikia 27%

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imethibitisha kuwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro umefikia hatua ya Asilimia 27, huku mradi ukitarajiwa kukamilika ifikapo Mwaka 2026 kwa gharama ya Tsh. Bilioni...
  3. Jenista Mhagama: Ujenzi wa Ghala la MSD Dodoma Wakamilika kwa 95%

    JENISTA MHAGAMA: UJENZI WA GHALA LA MSD DODOMA LAKAMILIKA KWA ASILIMIA 95 Ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 23.7 umefikia asilimia 95. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya...
  4. Jenista Mhagama: Ujenzi wa bohari ya dawa Dododma umefikia asilimia 95%

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amesema ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Tsh. bilioni 23.7 umefikia 95%. Mhagama amesema hayo leo February 6, 2025 wakati akikagua ujenzi wa ghala hilo...
  5. Kondoa, Dodoma: Ujenzi wa shule ya sekondari iliyogharimu milioni 544, wanafunzi wapya watakiwa kufanya vizuri kwa kupata daraja la kwanza

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Shaban Millao amewataka wanafunzi wa shule mpya ya Mnenia Sekondari kufanya vizuri kwenye mitihani yao na kuhakikisha kwamba wanapata Daraja la Kwanza (Division One) wote kwani wao ndio wanafunzi wa kwanza hivyo wanapaswa...
  6. Katika sherehe za miaka 48 ya CCM Ludewa, mbunge ahaidi kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari mwezi Machi wanafunzi wasisafiri umbali mrefu

    Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu. Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
  7. Pre GE2025 Rukwa: Serikali yatoa bilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa mahakama za mwanzo

    Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Nyakia Chirukile, amesema Serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi billioni 1.2 kwa ajli ya ujenzi wa Mahakama Mpya za Mwanzo, katika Wilaya ya Sumbawanga, Nkasi na Kalambo ambazo kukamilika kwake kutawawezesha wananchi kupata huduma za kimahakama kwa urahisi...
  8. Serikali kuanza ujenzi wa kituo kipya cha Afya Vunta Same Kilimanjaro, hii miradi inaanzishwa kimkakati kuelekea uchaguzi mkuu

    Wakuu sasahivi kumekuwa na miradi mingi inayoanzishwa na serikali, ni kama mkakati wa kuwavuta wananchi kuelekea uchaguzi mkuu, zipo kero na miradi mingi huko nyuma hakuna aliyekuwa akiitazama ila kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi ndio wanaamka kutoka kwenye usingizi mzito sana. Je, CCM wanatufaa...
  9. Ujenzi wa daraja kata ya Kimanga na Liwiti halmashauri ya Jiji la Dar es salaam mbioni kukamilika

    Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kupitia mapato yake ya ndani inaenda kukamilisha ujenzi wa kivuko cha Kaveso kilichopo Mtaa wa Amani. Kivuko hicho ni kiungo muhimu Kati ya kata ya Kimanga na Liwiti katika kuboresha usafiri na kirahisisha Maisha ya wakazi wa maeneo hayo. Wananchi wa eneo...
  10. M

    Ujenzi barabara ya Mwendokasi Dar na mambo ya ajabu

    Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo. Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya plan ya zamani kabla hata ya kufanya mabadiliko makubwa ktk plan ya zamani. Leo barabara za zamani...
  11. RC Chongolo akabidhi gari la Wagonjwa, apongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Momba

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza, majengo yaliyojengwa ni mazuri na yanaonesha matumizi mazuri ya rasilimali. Alisema hayo wakati wa...
  12. Jamani mafundi ujenzi nisaidieni hili.

    Nilikuwa nataka kusikimu nyumba yangu sasa nikamuambia fundi wangu anipigie hesabu ya vitu vinavyo hitajika,akapiga akanitumia picha ya vitu vinavyo hitajika. Lakini cha kushangaza mikanda ile ya pembeni haikuwa kwenye orodha ,ikabidi nimpigie kumuuiliza nikijua labda kasahau, lakini alicho...
  13. Ulega Aitaka TEMESA Kuja na Tathmini Chanya Ujenzi Vivuko Vipya

    ULEGA AITAKA TEMESA KUJA NA TATHMINI CHANYA UJENZI VIVUKO VIPYA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), kufanya tathmini ili kujua athari chanya zitakazopatikana kwa jamii kutokana na ujenzi wa vivuko vipya sita vinavyoendelea kujengwa na...
  14. Ujenzi wa Msalato international airport wazidi kunoga –PAC yaridhishwa na maendeleo, yaagiza ukamilike kwa haraka na ubora

    Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma umeendelea kuonyesha maendeleo makubwa, huku kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikieleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa hadi sasa. PAC imeitaka serikali na wakandarasi kuhakikisha mradi huu unakamilika haraka lakini pia...
  15. Mwanza: Ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) umefikia 96.3%

    Katika juhudi za kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi wa Taifa, ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) umeendelea kuwa kielelezo cha mafanikio makubwa chini ya uongozi thabiti wa Serikali ya Awamu ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  16. UJENZI WA VYOO VISIVYOJAA

    Karibu katika ujenzi wa vyoo visivyojaa! Kama umependezwa na hii huduma, au unauhitaji na hii huduma tafadhali tutafte kupitia +255689753787! FAIDA YA HIZI SHIMO 1. Kama utajenga kwa kufata ushauri wa fundi amini halitajaa kamwe! 2. Hutumia eneo dogo sana ulinganisha na mashimo ya kizamani...
  17. Njombe: Miaka 12 sasa ujenzi wa ofisi ya mtaa haujakamilika, Chapangishwa chumba elfu 50 kwa mwezi kama ofisi, wananchi wahofia faragha ofisini

    Licha ya Mtaa wa Kambarage kuwa na idadi kubwa ya wakazi zaidi ya mitaa mingine yote ya mjini Njombe changamoto kubwa inayoendelea ni kushindwa kumaliza ujenzi wa ofisi yake ulioanza miaka 12 iliyopita. Mtaa huu unaokaliwa na wakazi 15,195, unahudumiwa katika chumba kimoja kidogo cha kupangisha...
  18. Waziri Jerry Silaa: Ujenzi kituo cha bunifu za TEHAMA(STARTUPS) Tanga mbioni kuanza

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia vijana wa mkoa huo kujikwamua kiuchumi. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 23 Januari, 2025...
  19. Siasa sio ugomvi bali ni ujenzi wa hoja.. Je ccm wamempongeza LISSU?

    Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA Wote tunafahamu ccm walipenda nani apite na tunajua kwa hakika waliwekeza nguvu kubwa kiasi gani, muda, nyenzo na...
  20. Ebu tazama ujenzi huu wa shimo la wastage. Jembaba kwa upana alafu refu zaidi mita 15 kwenda chini.

    https://youtube.com/shorts/uniqnNb37D8?si=tx3ZRU-dGCu6Bye_
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…