ujumbe

  1. Ujumbe kwa mashabiki wenzangu wa Arsenal

    Ningependa kuwakumbusha mashabiki wenzangu wa Arsenal ya kuwa, kwa sasa tupo kwenye hatari zaidi ya kudhuriwa na mashabiki wa timu zengine kuliko vipindi vyote. Yani amani imepungua. Yote ni kwa sababu tupo juu ya msimamo wa ligi kwa sasa na vile vile tupo kwenye kiwango bora, jambo ambalo...
  2. Je, hip hop ndio mziki bora wa wakati wote? Vipi kuhusu misingi yake?

    Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx na badae katika miji mikubwa yote Marekani alafu Dunia nzima.Muziki wa hip hop pia huchukua tabia...
  3. Mtumie Ujumbe wa Merry Christmas Mkeo/Mpenzi, Screenshot Alichojibu leta hapa

    Jana nilimnunua Gauni nikiwa nataka nimsupriz , Sasa nikafika nikaliweka kabatini bila yeye kujua . Leo nimetoka Mapema sana Alfajiri kufata Kamfugo ndanindani huko , Sasa nikaingia na wazo la kumtumia Meseji ya kumuwish Mama watoto Heri ya Christmas . Najua una Wife unaishi naye Home au...
  4. Naiomba serikali iangalie namna ya wasanii wanaotaka kufikisha ujumbe kwa jamii watumie mambo yote ya imani yao na siyo imani nyingine

    Mimi kama mkristo wa imani ya kikatoliki ninaiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iangalie namna ambayo wasanii wa maigizo muziki nyimbo ngoma nk wanapotaka kufikisha ujumbe kwà jamii unaogusa imani basi watumie imani yao binafsi ili hata ujumbe huo UKIWA hasi basi viongozi wa dini...
  5. Hivi Mungu alikosa njia nyingine ya kufikisha ujumbe tofauti na Vitabu?

    Venezuela! Mungu anatumia vitabu/maandishi kufikisha ujumbe wake, iwe kupitia biblia au Quran. Tatizo la hii njia ni kuwa inategemea utafsiri/enterpretation ya binadamu. Tatizo la binadamu ni kuwa tunatofautiana uelewa na uwezo wa kutafsiri. Unaweza kuchukua wanazuoni wawili wote wenye elimu...
  6. Songwe: Polisi wakamata walioanzisha kiwanda feki cha Sukari

    Waliokamatwa ni Oscar Chisunga, John Chisunga, Moses Mussa, Fredy Thobias na Eddy Mwashambwa ambapo wamekutwa na Kilo 440 za Sukari iliyoingizwa nchini kimagendo. Kamanda wa Polisi ACP Alex Mukama amesema Wafanyabiashara hao wakazi wa Mlowo wilayani Mbozi walighushi Sukari na kuiweka kwenye...
  7. UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    HAWA HAPA KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  8. Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

    Rais Paul Kagame alikuwa anaapisha mawaziri wapya hapo jana mapema. Alianza kutoa hotuba yake kwa lugha ya Kinyarwanda, lakini baadae akahamia kwenye lugha ya Kiingereza na baadaye akatoa kitisho kizito kwa lugha ya Kiswahili. Wengi wetu tumeona hicho kipande chenye lugha ya kiswahili kikisambaa...
  9. Waziri Mabula, RC Malima wabwagwa ujumbe wa NEC CCM

    Baadhi ya vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliogombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Jumuiya ya Wazazi, wamebwagwa akiwamo aliyekuwa Mwenyekiti Dk. Edmund Mndolwa. Vigogo wengine walioshindwa ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angelina Mabula, na Mkuu wa Mkoa wa...
  10. Ujumbe Kwa TISS; Top 20 ya matajiri ndani ya nchi sharti itawaliwe na Wazawa; huko ndiko kujitawala

    UJUMBE KWA TISS; TOP 20 YA MATAJIRI NDANI YA NCHI SHARTI ITAWALIWE NA WAZAWA; HUKO NDIKO KUJITAWALA. Anaandika, Robert Heriel Utawala ni nguvu ya kiuchumi. Hata kwenye ngazi ya familia. Mwenye uchumi mkubwa ndiye mwenye utawala na ndiye mwenye maamuzi. Hilo wala halihitaji akili kubwa...
  11. Kwa huu ujumbe na kichekesho- leo nayo ni siku- siku yangu imeisha

  12. Ujumbe kwa wanachuo na wahitimu wanaodharau wenye elimu za chini

    MUHIMU: Kwa wale baadhi yao wenye tabia hii, sio wote, wapo wanaojiheshimu ! Elimu yangu niliishia form 4, ilinibidi nianze maisha ya kujitegemea kwa kujifunza useremala naoufanya hadi sasa (najikongoja wala siwezi kujisifia nimefanikiwa ) Katika miaka mingi nimeweza ku observe kwamba kua...
  13. H

    Tatizo ni nini kampuni za mwasiliano ya simu kutuma ujumbe wa kifurushi kwisha wakati bado

    Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo. Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende wakawasaidie kuset hizo program zao. Mb 100 zinasoma unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe...
  14. Hii picha inatoa ujumbe gani?

    Mshike sana elimu usimuache aende zake.
  15. J

    Ibrahim Jeremiah achukua fomu ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM kupitia Viti 15 vya Tanzania Bara

    BREAKING Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya Kisiasa na Kiuchumi na aliyekuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) bwana Ibrahim Jeremiah achukua fomu ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi kupitia Viti 15 vya Tanzania Bara...
  16. Padri Kitima: Unafiki na kusifia kila jambo ili kupata vyeo kutaliua Taifa

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima ametahadharisha unafiki wa kisiasa unaoendelea miongoni mwa Watanzania kwa sasa kwa kupenda kusifia kila jambo kuwa utaliua taifa. Amesema tabia hiyo inaendelea kupata mashiko nchini kutokana na upeo mdogo wa watu...
  17. Ujumbe mzito wa kutia moyo

    • "I was flogged by my father for doing music." ~ Wizkid • "I got pregnant at 17, during my secondary school days." ~ Genevieve Nnaji • "I didn't even complete my university education." ~ Bill Gates • "I once sold plantain." ~ Inetimi Odon (Timaya) • "I used to serve tea at a shop to support...
  18. Polisi wa 'Puerto Rico' wamenituma nifikishe huu 'Ujumbe' kwa 'London Mourner' naamini utamfikia....

    "Mwambieni tumechoka sasa na tabia yake ya kila mara tu Kutusema vibaya tena katika Public kuwa tunabambikia Watu Kesi, tunawaonea na Kuua hovyo wakati si kweli" "Anatulaumu kuwa tupambane na Wahalifu wa hapa Jiji Kuu la San Juan nchini Puerto Rico wakati hata Yeye pia hatujali Kimaslahi kama...
  19. M

    Tuizomee Singida Big Stars kila inapocheza kufikisha ujumbe kwa Mwigulu kuhusu tozo

    Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie. Tumechoka.
  20. Askari Polisi Ajinyonga akiwa Guest House na kuacha ujumbe, "Maisha hayana maana"

    askari Polisi wa kituo cha kati cha Dar es Salaam (jina kapuni) amekutwa amejiua kwa kujinyonga katika nyumba ya kulala wageni. Askari huyo kabla ya kujitoa roho aliacha jumbe mbali mbali mojawapo ni kudai kuwa "maisha hayana maana" Askari huyo alijaribu kujizuia kujiua mara kadhaa lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…