ujumbe

  1. M

    Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

    Katika Quran, kuna aya kadhaa ambazo zinaelezea hasara na madhara yanayowapata wale wanaofuata dini isiyokuwa ya Uislamu. Quran inasisitiza kwamba mafanikio ya kweli na wokovu hupatikana kwa kumwamini na kumfuata Mwenyezi Mungu wa kweli, kama inavyofundishwa na Uislamu. Hapa kuna baadhi ya aya...
  2. S

    Ujumbe kwa Wanawake Vijana

    Mwandishi - Diane Walls. Wanawake vijana, hii ni kwa ajili yenu. Mwanamke mmoja alifika dukani akiwa amevalia nguo zinazoonyesha mwili wake vizuri sana. Mwenye duka, akiwa mzee mwenye hekima, alimtazama vizuri, akamwomba aketi, akamtazama moja kwa moja machoni, na kusema jambo ambalo...
  3. W

    Usibonyeze Ujumbe huu wa Matangazo ya Zawadi uwapo Mtandaoni

    Epuka kubonyeza 'link' za matangazo ya Zawadi uwapokuwa unapokuwa kwenye tovuti mbalimbali kwani ni njia inayotumika na Wadukuaji kupata taarifa zako binafsi kwa ajili ya utapeli. Ikiwa umegusa epuka kujaza taarifa zao binafsi kama barua pepe, password, majina kamili, taarifa za Kibenki, mwaka...
  4. Ujumbe muhimu kwa wanawake wote

    Huu ni ujumbe muhimu kwa wanawake wote, unaanza hivi..... Ikiwa una mwanaume(umeolewa) maishani mwako, mtunze na umheshimu kwa kila njia. Ikiwa wewe ni mseja , ishi maisha yako kwa ukamilifu. Ikiwa unatamani wanaume hovyo hovyo , utachukuliwa na mbwa mwitu wakali. Huo ndio ujumbe wenyewe...
  5. Ujumbe kwa Spika Dkt. Tulia Ackson

    Madam Spika, nimekusikiliza kwa makini ukitaja vifungu vya sheria & Kanuni ambazo unasema Luhaga Mpina (Mb) amevunja! Nakushauri rudi ukavisome vizuri maana baadhi ya vifungu UMEUPOTOSHA Umma. Umevitafsiri unavyotaka wewe ili lengo lako la kumwondoa Bungeni litimie, lakini sio tafsiri halisi ya...
  6. TAMISEMI: Mfumo wa kusoma madeni ya parking ulipata hitilafu ukashindwa kutuma ujumbe kwa wenye magari

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo. Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
  7. PICHA: Mzee Jakaya hilo shati nimelielewa sana

    Hii shati ya Mzee wangu Jakaya Kikwete nimeipenda sana, Mungu aendelee kukutunza Mzee wetu. We all love you. ====== Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa...
  8. Wakenya wanawapa viongozi wa Tanzania ujumbe.

    Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka. Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha maandamano hayo hayana lengo. Ilianza na kutaka budget irekebishwe kwa kile walichodai maisha magumu...
  9. Ujumbe Wangu kwa Rais Samia siku ya Leo kuhusu Wafanya Biashara

    Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam! Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi. Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili swala la wafanya biashara ujitokeze mwenyewe na iwe baada ya kupata ushauri wa kina. Kwa sasa ubebaki...
  10. funga maduka ingia barabarani na màbaango yenye kufikisha ujumbe

    watanzania mbafunga maduka mnabaki nyumbani kulia lia kwa mitandao. funga duka zama barabarani pigaa kelele mixer fujo isio umiza na mabango juu kufikishaa ujumbe kwaa uzito.
  11. Msaada: Mashine ya EFD ikileta ujumbe huu call in service unafanyaje?

    Jamani naombeni msaada machine yangu ya efd imeniandikia call in service. Nikitaka kutoa risiti hivyo inachukua muda kutoa
  12. L

    Tazama picha hii Ya Luhaga Mpina kwa umakini halafu uniambie muandishi alitaka kutoa ujumbe gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii. Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
  13. Huwezi kuwa mtu mzuri kwa kila mtu

    HUWEZI kuwa mtu mzuri kwa kila mtu. Baadhi ya watu wanahitaji tu uzoefu! ✍🏾
  14. Album ya Roma nipeni maua yangu Ina nyimbo nzuri sana zenye ujumbe mzuri

    Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya
  15. Naibu Waziri Mkuu Biteko: Aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini

    "Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
  16. Tafadhali aliye na namba za hawa Watangazaji wa Kike wa Kipindi kilichopo Hewani sasa EA Radio awapigie na awape huu Ujumbe wangu kwa Lawama zao Kwetu

    Kwa atakayewapigia anifikishie huu ujumbe wangu muhimu Kwao kwani nawasikia tokea wameanza Kipindi chao leo ( ambacho huwa kinaanza Saa 3 Asubuhi hadi Saa 6 Mchana ) ni kama vile ama Wametendwa na Wapenzi wao au wana Hasira ( Usununu ) na Sisi Wanaume kuwa tunawapa Mimba Wanawake na Kukimbia...
  17. Pre GE2025 Unadhani vyama vya siasa vibebe kauli mbiu gani tunapoelekea chaguzi chaguzi mbalimbali?

    Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi. vyama na wanasiasa...
  18. Welcome to the World of Philosophical Quotes (Misemo ya Kifalsafa)

    Napenda kuwa karibisha katika uzi wa misemo mbalimbali ya kifalsafa. Hili kuweza kuimprove our critical thinking skills, knowledge of logic, to unlock the gate of Wisdom(Hekima) na kuwa sehemu ya upendo kwa binadamu wenzetu. Language Prerequisites:- Only Swahili and English Quotes Note: Karibu...
  19. Wazazi na Walezi huu ni ujumbe wenu wa thamani kuelekea siku ya familia duniani

    Salaam nyingi za upendo kwenu. Wazazi na Walezi, tunapoelekea kwenye siku ya familia duniani tarehe 15 Mei, 2024, tafadhali tuanze ukurasa mpya wa kuwa karibu zaidi na watoto wetu. Zawadi iliyo bora zaidi kwa mtoto wako kwenye nyakati za Dunia ya leo, ni kuwa karibu naye, tena karibu zaidi...
  20. S

    Mh Dr. Gwajima D Kuna ujumbe wako pm

    Salaam mwana jf Dkt. Gwajima D ! Kuna ujumbe inbox, naomba kuwasilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…