ujuzi wa tehama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dira ya Taifa 2050 inasema angalau asilimia 70 ya Wananchi watakuwa na ujuzi wa TEHAMA, tutafikaje huko ikiwa kufungia Mitandao bado kunaendelea?

    Wakuu! Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, inayotarajiwa kuzinduliwa mchana wa leo, inaweka mkazo mkubwa katika kujenga Tanzania ya Kidijitali. Kupitia dira hiyo, Serikali imelenga kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050, angalau asilimia 70 ya Wananchi wanakuwa na ujuzi wa TEHAMA. Soma > Rais Samia...
Back
Top Bottom