Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu!
Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, inayotarajiwa kuzinduliwa mchana wa leo, inaweka mkazo mkubwa katika kujenga Tanzania ya Kidijitali. Kupitia dira hiyo, Serikali imelenga kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050, angalau asilimia 70 ya Wananchi wanakuwa na ujuzi wa TEHAMA.
Soma > Rais Samia kuzindua dira ya taifa 2050 leo Julai 17,2025
Tujiulize: Tutafikaje kwenye malengo haya makubwa ikiwa bado hakuna uhuru wa matumizi ya mitandao, huku mitandao kama X/Twitter ikifungiwa na majukwaa ya Kidijitali yakidhibitiwa?