ukaguzi vyombo vya moto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania HOJA Muda wa kujiunga na Mfumo wa Ukaguzi vyombo vya moto (MIMIS) uongezwe, badala ya Julai 31, 2026

    Wamiliki wa magari wakisubiri kuongia Ofisi ya Usalama Barabarani Kituo cha Polisi Kawe. *** Serikali, kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, ilitoa siku 21 kwa wamiliki wa vyombo vya moto kuhakikisha wanaviingiza katika Mfumo wa Uratibu wa Ukaguzi (MIMIS) na kukamilisha taratibu zote...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni ya vyombo vya moto ni tatizo sugu Arusha, Viongozi wa Mkoa wameshindwa kupata utatuzi?

    Napenda kuchukua fursa hii kuwaandikia barua hii kama Mwananchi mzaliwa na mkazi wa Mkoa wa Arusha, nikiwa na dhamira ya dhati ya kuchangia mawazo na maoni yatakayosaidia maendeleo ya mji wetu. Kwa muda mrefu sasa, Mkoa wa Arusha umekumbwa na tatizo sugu la ongezeko kubwa la foleni ya magari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…