ukarabati wa uwanja wa mkapa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Chiwelesa awaka Bungeni Uwanja wa Mkapa kufungwa, ataka uboreshwe haraka kwa Nusu Fainali

    Mbunge wa Jimbo la Biharamlo Magharibi, Ezra Chiwelesa akiipongeza Klabu ya Simba na Benchi la ufundi Bungeni ameitaka Serikali ifanye jitihada za haraka kuboresha uwanja wa Mkapa ili mechi ya Nusu Fainali mkondo wa kwanza dhidi ya Stellenbosch ichezwe hapo. Pia, Soma: Uwanja wa Benjamin Mkapa...
  2. PLOII

    JamiiForums Tanzania Kama nchi hii aibu ya uwanja wa Benjamin Mkapa tutajificha wapi?

    Umofia Wana Jukwaa ! Kama Mada ilivyo, nawaza hivi huu uwanja huyo Mkandarasi anayejenga hakujua kuwa ball linatembea kwenye pitch sio vyoo? Naibu Waziri wa Michezo nimekuona unachukuwa Video ni imani yangu umechukuwa sehem ya pitch. Kiukweli tuwe serious na mambo yetu Al Masry wana haki ya...
Back
Top Bottom