PLOII
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,126
- 849
Umofia Wana Jukwaa !
Kama Mada ilivyo, nawaza hivi huu uwanja huyo Mkandarasi anayejenga hakujua kuwa ball linatembea kwenye pitch sio vyoo?
Naibu Waziri wa Michezo nimekuona unachukuwa Video ni imani yangu umechukuwa sehem ya pitch.
Kiukweli tuwe serious na mambo yetu Al Masry wana haki ya kulalamika kwa nature ya pitch ya leo na sina hakika kama Nusu Fainali huu Uwanja utatumika sina hakika kabisa.
TFF Maendeleo ya Mpira ni mojawapo na viwanja sio kufika tu fainali tujenge viwanja michezo ni ajira.
Ma- Boss wa Simba na Yanga nazani imefika wakati kujenga viwanja sio kutegemea kiwanja kimoja kwenye mashindano makubwa. MO umeongea muda sana unajenga uwanja watu tukatoa Pesa zetu ili kuongezea uwanja ujengwe na ukaita jina lako lakini bado visingizio ni transformation of Club Status, if so huo Uenyekiti umeupataje?
Acha drama we need to have our own stadium maana ya management ni nini?
Mbali na Uwanja Mo tunahitaji namba 10 huyu Ahoua anachoweza ni kuzunguka uwanjani na kupiga penalties sio kwa ubaya we really need number 10.
Kibu Kibu Kibu Kibu ulikuwa msaada sana but quarter final games umeokotwa.