Mbunge wa Jimbo la Biharamlo Magharibi, Ezra Chiwelesa akiipongeza Klabu ya Simba na Benchi la ufundi Bungeni ameitaka Serikali ifanye jitihada za haraka kuboresha uwanja wa Mkapa ili mechi ya Nusu Fainali mkondo wa kwanza dhidi ya Stellenbosch ichezwe hapo.
Pia, Soma: Uwanja wa Benjamin Mkapa...
Umofia Wana Jukwaa !
Kama Mada ilivyo, nawaza hivi huu uwanja huyo Mkandarasi anayejenga hakujua kuwa ball linatembea kwenye pitch sio vyoo?
Naibu Waziri wa Michezo nimekuona unachukuwa Video ni imani yangu umechukuwa sehem ya pitch.
Kiukweli tuwe serious na mambo yetu Al Masry wana haki ya...