ukarabati wa uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MwanaFA anatufokea kwa kuonesha magari makali. Sanaa ilimlipa au chenji za ukarabati wa Uwanja wa Mkapa?

    Nimeona clip moja mtandao, ikionesha kupostiwa na Msanii na Naibu waziri wa Michezo Hamis Mwijuma (MwanaFa) akionesha magari makali ya mwaka wa mbele kabisa, haya magari ni yale ya bei kubwa kubwa tu tena yakiwa kwenye maegesho yanakula kiyoyozi aka full kipupwe. Yes, MwanaFA ni msanii mkubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yakamilisha ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Bilioni 31.3

    Haya wakulugwa uwanja wa Mkapa umeipiga serikali pesa zote hizo ila bado aonekani kama umefanyiwa ukarabati wa bei hiyo. Hatujapigwa kweli na wajanja wa mjini waliko kwenye mifumo? ================= Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekamilisha ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri kasema ukarabati wa uwanja haukubusisha eneo la kuchezea, haufai kwa mvua

    CAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berkane ni sawa kabisa maana hata waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati unaofanywa hauhusishi pitch, hivyo ni kweli haufai kuchezea wakati wa mvua kama ambavyo haukufaa wakati wa mechi na al masry baada ya mvua kunyesha. Full stop
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kweli serikali inashindwa kutenga billion 20 kuweka carpet viwanja vyote mikoa yote

    Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu. Hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…