Waziri kasema ukarabati wa uwanja haukubusisha eneo la kuchezea, haufai kwa mvua

Waziri kasema ukarabati wa uwanja haukubusisha eneo la kuchezea, haufai kwa mvua

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
CAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berkane ni sawa kabisa maana hata waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati unaofanywa hauhusishi pitch, hivyo ni kweli haufai kuchezea wakati wa mvua kama ambavyo haukufaa wakati wa mechi na al masry baada ya mvua kunyesha. Full stop
 
1747431203743.jpg
 
Waziri mwenyeeewe aliutangazia umma na dunia kuwa pitch haiko kwenye mipango wao wa ukarabati wa uwanja wa Mkapa, na Kila mtu aliona kilichotokea siku ya mechi na Al masry baada ya mvua kunyesha masaa 2 kabla ya mechi. Nani ajuae kuwa mvua haitanyesha siku ya mechi na RS Berkane?

Hata angekuwa mm ningeukataa uwanja wa Mkapa hasa nyakati hizi za mvua. Simba gomeni kucheza tena tupone.
 
Mnapigwa uboo nyinyi...
Nimemsikia zezeta mmoja amepeleka CAF utetezi wa eti tayari wameshauza ticket 12000, pumbavu eti hiyo nayo ni hoja; mbona tarehe 8 mechi haikuchezwa wakati ticket 40000 tayari zilishauzwa na watu walishaingia uwanjani? Mjinga anasema amepeleka CAF ushahidi wa utabiri wa hali ya hewa kuwa tarehe 25 hakutakuwa na mvua. Simba ni timu ya wendawazm.

Nina mwanangu mwenye wazimu anapenda Simba kupindukia
 
CAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berka ne ni sawa kabisa maana waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati hauhusishi pitch, hivyo haufai kuchezea wakati wa mvua kama ambavyo haukufaa wakati wa mechi na al masry. Full stop
Naona mapunga mmepata platform
 
Mbumbumbu wepesi sana wa kusahau, Kuna siku Mwenyekiti wao Mangungu aliulizwa kuhusu swala la uwanja kufungiwa baada ya mechi ya Al masry.
Mwandishi alitaka kujua watachezea wapi mechi ya Stellenbosch, Mangungu alimjibu mwandishi wao Simba tayari walisha waandikia CAF kutumia uwanja wa Aman Complex.

Alisema Kanuni zinawataka wawe na viwanja viwili vya nyumbani walivyo chagua ili ikitokea tatizo waweze kutumia kisicho na tatizo.

Wao Simba walisha chagua Aman Complex muda mrefu, kinacho tokea kwa sasa ni kuwaongopea Mashabiki mbumbumbu wakati Viongozi wanaelewa ukweli wote.
 
Simba ni roporopo wengi waliokusanyana kutengeneza timu inayolialia.
 
Kila la kheri kwa team Tanzania...

Cc: Mahondaw
Nadhani waziri wetu alikosea kusema hadharani kuwa pichi ya uwanja wa Mkapa sio sehemu ya ukarabati, hiyo inamaana kuwa kama mvua itanyesha hali itakuwa kama vile ilivyotokea kwenye mechi ya Simba na Al masry. Kila mtu aliona kuwa uwacha uliharibika na mpira ulichezwa kwa tabu sana siku ile.
 
Kwenye ukarabati wa ule uwanja walipuyanga sana, ingekuwa nchi ya uwajibikaji wale wahusika wangeshawajibishwa
 
Back
Top Bottom