Waziri kasema ukarabati wa uwanja haukubusisha eneo la kuchezea, haufai kwa mvua

Mechi itachezwa Lunyasi mtake msitakešŸ˜‚
Kutaka mechi ichezwe kwa mkapa ni sawa na kuunga mkono ccm wakati sisi chadema tunaona watu wamepiga pesa pale, hvy tukatae mechi kupigwa kwa mkapa
 
Kwenye ukarabati wa ule uwanja walipuyanga sana, ingekuwa nchi ya uwajibikaji wale wahusika wangeshawajibishwa
Ni ajabu mtu aking'ang'ana mechi lazima ichezwe pale kwenye madimbwi ya maji. Ni Asili mbovu sana. Ingekuwa sawa kama waziri angesema hali ile haitojirudia tena maana Kuna ukarabati mdogo unaofanywa ili maji yasituame tena na tope lisijitokeze.

Wote tunafahamu kuwa uwanja ule umeharibiwa na wachawi walioufukua na kuchimbia vitu vyao.
 
Kutaka mechi ichezwe kwa mkapa ni sawa na kuunga mkono ccm wakati sisi chadema tunaona watu wamepiga pesa pale, hvy tukatae mechi kupigwa kwa mkapa
CCM imekujaje hapo. RSB tayari wameshabook hotels nungwi
 
Ni ajabu mtu aking'ang'ana mechi lazima ichezwe pale kwenye madimbwi ya maji. Ni Asili mbovu sana. Ingekuwa sawa kama waziri angesema hali ile haitojirudia tena maana Kuna ukarabati mdogo unaofanywa ili maji yasituame tena na tope lisijitokeze.

Wote tunafahamu kuwa uwanja ule umeharibiwa na wachawi walioufukua na kuchimbia vitu vyao.
Hakika inasikitisha
 
Kutaka mechi ichezwe kwa mkapa ni sawa na kuunga mkono ccm wakati sisi chadema tunaona watu wamepiga pesa pale, hvy tukatae mechi kupigwa kwa mkapa
No Reforms No Election šŸ”„!
No rehabilitation no CAF match!🤣🤣🤣
 
No Reforms No Election šŸ”„!
No rehabilitation no CAF match!🤣🤣🤣
Ni ajabu uwanja ukikaguliwa na waziri wetu mkuu badala ya TFF na CAF. Hii ni dalili mbaya kwa soka letu huko mbele. Hii Simba hiiii!!!
 
Pumbavu kabisa, mtu wa majalalani tangu lini akafahamu ubora wa viwanja!
 
Mimi kama mimi Sina mashaka kuwa nguvu za kuahirisha mechi za derby hazitoki bodi ya ligi/TFF kwenyewe bali vigogo nje ya TFF/bodi ya ligi. Bodi ya ligi/ TFF wanazijua na kuziishi vema kanuni zao za mpira, kwa utashi wao tu wasingeweza kuzivunja hata Moja. Ndio maana kesi ya yanga inakuwa nguvu watu kujiuzulu, maana sio wao walioahirisha derby. Hata Prof Kabudi katumwa tu .
 
Basi watajua hawajui!😁😁😁
 
Niliicheck ile mechi ya Simba na Berkane, ukweli ni kwamba Simba itafungwa game la marudiano kama 2-0 tena basi itakua 3-1. wamorocco wapo vizuri sana wao Simba wanabutua tu bora liende.
 
Hawa ni tofauti na Al-Masry kaaabisa. Simba walikuwa na shots on target kadhaa na kosakosa nyingi kulekule Egypt. Lakini kwa Berkane Simba haikuwa na kosakosa wala shuti lililolenga lango hata Moja. Hii itakuwa ngumu kutoka zero hadi hero.
 
Naona mapunga mmepata platform
Punga ni wewe, Kiko wapi. Nendeni New Amani Complex.

TFF waliwadanganya serikali na Simba kuhusu uwanja wa mechi. Hawakuwaambia ukweli serikali na Simba kuwa mechi lazima itachezwa Nungwi. Kuipenda sana Simba ndiko kulikosababisha kufika hapo.
 
Back
Top Bottom