ukatili kwa wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mke amuua mumewe kwa kumchoma kisu na kisha kutoroka akiwa ameacha watoto wadogo

    Habari za leo? Sisi ni wakazi wa Sanawari, Arusha mtaa wa Moivo. Tunaomba utusaidie kupaza sauti ili ndugu zake wapatikane. Huyu ni jirani yetu, ameuawa kwa kuchomwa kisu na mkewe juzi usiku baada ya kutoka kazini. Anaitwa Dominic Pius alikuwa dereva wa magari madogo ya mizigo, Soko Kuu Arusha...
  2. JamiiForums Tanzania Tukiwa kwenye zinaa na starehe wanaume hatutaki mtuletee mamimba yenu. Huo ni ukatili kwa wanaume

    TUKIWA KWENYE ZINAA NA STAREHE WANAUME HATUTAKI MTULETEE MAMIMBA YENU. HUO NI UKATILI KWA WANAUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Msitake kutuharibia Maisha sisi. Serikali sasa inayohaja ya kufikiria kuunda sheria ya kukomesha ukatili huu wa kijinsia kwa wanaume. Unabebaje Mimba ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kufanya matendo ya uhayawani na ukatili kwa wanaume

    Ni kweli wanawake wana huruma ila kuna wakati wanakua katili sana . Je, nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kutimiza vitendo vyao vya kikatili dhidi ya kiumbe cha kiume ( mwanaume) Nb: ili uelewe huu uzi angalia video clip kwa makini sana
  4. JamiiForums Tanzania Geita: Wanaume kutosikilizwa kumechangia msongo wa mawazo na Vifo kwenye ndoa

    Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo. Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
  5. JamiiForums Tanzania Wakati tukiwa tunapambana na "Ukatili wa kijinsia kwa Mwanamke, Tusimsahau na mwanaume

    Mhadhara - 49: ✍️Wakati tukiwa tunapambana na "Ukatili wa kijinsia kwa Mwanamke", tusisahau kuwa wapo baadhi ya wanaume pia wanapitia Ukatili wa Kijinsia. ✍️Kwa kuwa dhana ya ukatili ni pana sana, hivyo hatuwezi kuacha kuamini kwamba hata baadhi ya wanaume ni wahanga wa Ukatili wa kijinsia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…