Tukiwa kwenye zinaa na starehe wanaume hatutaki mtuletee mamimba yenu. Huo ni ukatili kwa wanaume

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
TUKIWA KWENYE ZINAA NA STAREHE WANAUME HATUTAKI MTULETEE MAMIMBA YENU. HUO NI UKATILI KWA WANAUME.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Msitake kutuharibia Maisha sisi.
Serikali sasa inayohaja ya kufikiria kuunda sheria ya kukomesha ukatili huu wa kijinsia kwa wanaume. Unabebaje Mimba ya mwanaume bila ridhaa yake? Tena mtu sio mume wako. Unaakili sawasawa wewe.

Acheni kuharibu future ya wanaume. Mnawaumiza wanaume. Mnawakatili wanaume.

Hakuna jambo linakata na linawakera wanaume wengi kama umletee Habari za mimba zako za kipumbavu, mimba ya zinaa wakati hamkukubaliana hivyo.

Mtibeli nimekutongoza. Nimekufuata. Nimeomba mzigo. Hupajui kwetu. Sipajui kwenu. Hujui majina yangu yote. Hunijui sikujui na sinahaja wala sitaki kukujua. Sitaki kujuana na wewe.

Nimeomba mchezo, tufanye michezo ya kuzimu, uasherati na uzinzi. Wewe unajibebesha mimba kama chizi.

Unabebaje sasa. Unataka mtoto wa kuzimu sio? Unataka mtoto wa offside sio?

Hakuna mwanaume anayetaka watoto wa hivyo wewe. Acheni kutuumiza wajinga nyie.

Lazima wanawake mjue. Hakuna ukatili unaoweza kuufanya kwa mwanaume kama umbebee mimba alafu hajakuambia.
Mtu hakupendi unambebeaje mimba? Alikuomba?

Ni ukatili mkubwa kubeba mtoto tumboni ambaye Baba yake hukumwomba ridhaa. Unamkosea hata Mtoto.

Wanaume wengi huishia kulalamika moyoni. Hawasemi lakini wengi unapowapa taarifa umebeba mimba na wewe sio mkewe, hakupendi wanajisikia vibaya. Wanaumia. Wanakerwa. Ni Habari mbaya sana hiyo.

Sisi wanaume tunajua hakunaga mwanamke anayebeba mimba kwa bahati mbaya. Hasa wanawake wakubwa kiumri

Tena wengine elimu mnayo kabisa. Unaanzaje kubeba mimba na hajakuoa au hamfahamiani vizuri.

Alafu jitu linakuambia, alinipa mimba akanikimbia, alikuomba mjinga wewe?
Ni mumeo huyo mpuuzi wewe?

Wewe ndiye unajua siku zako za hatari.
Wewe ndiye unabeba mimba,
Wewe ndiye utakayezaa kwa uchungu.
Mtu anakubebeshaje mimba kama kweli zinakutosha?

Binti za Tibeli hawabebi mimba kipuuzi hivyo.
Kubeba mimba bila ridhaa bila kuolewa kwa binti za kitibeli huo ni uhuni, dhulma na utapeli kwa mwanaume na mtoto utakayemzaa.

Mwanaume anachukia mimba ambayo inabebwa na mwanamke ambaye hakutaka Amzalie.
Fikiria umebeba mimba alafu mwanaume anaiombea hiyo mimba isiwepo. Fikiria.
Anatamani hata zingerudi dakika ile afute hilo tukio ili hiyo mimba isiwepo ambayo ni mtoto uliyemzaa.

Najaribu kusema ukweli upi. Ni kwamba wanaume hatutaki mamimba yenu mnayoyabeba bila ridhaa zetu. Hatuyataki.

Haijalishi mtaukubali au kuupinga ukweli huu kwa kiwango gani.
Haijalishi mtatuona vipi lakini huo ndio ukweli.

Wanaume wenye ujasiri ndio watakuambia kabisa hilo mimba ulilobeba aidha ulitoe au utajua pakulipeleka.

Hayo yakusema sijui mtoto atakuja kuwa waziri au Rais au sijui kitu gani huo ni utetezi wa kishenzi na kikatili.

Ngono ni starehe sio kwaajili ya kubeba mimba pekee.
Mwenzako kaja kwa starehe wewe unamletea mamimba yako hapa. Hapana huo ni ushenzi na malipo lazima utayapata. Kikawaida ukweli unatoa malipo ya haki.

Ooh! Mtibeli kama ninyi wanaume hamtaki kuzaa na wanawake si mbaki kwa wake zenu. Ooh! Si mtumie kondomu. Blah blah blah!

Wewe uliona wapi Malaya akabeba mimba?
Unapofanya umalaya usisahau malaya hatakiwi kubeba mimba.
Anayestahili kubeba mimba ni Mke, mwanamke aliyeolewa.

Kwa nini utese mtoto kisa ujinga wako?
Niliwaambia sisi wanaume hatunaga shida na watoto. Na watoto sio big deal kwetu. Tena hao watoto wanaokuja bila ridhaa ndio kabisa hawagusi hata mshipa wa akili.

Binti na dada zangu, msiwe wajinga. Msipende kujibebesha misalaba ya kijinga. Msipende kuwatesa watoto wenu.

Yaani kweli unabeba mimba kwa mwanaume hajakuoa?
Unabeba mimba kwa mwanaume humjui, umekutana naye tuu kwenye daladala huko, mmepelekana kwenye madanguro huko, unajibebesha mimba.
Acheni kutesa watoto kisaikolojia.

Baba hawezi kukataa watoto aliowazaa kwa hiyari yake.
Baba hawezi kataa watoto waliozaliwa na mwanamke aliyempenda. Huyo Baba hayupo.

Lakini Baba hujisikia vibaya na hasira mtoto kuzaliwa na mama asiyewahi kumfikiria atambebea mimba Tena kihunihuni katika matendo ya kihuni.

Mwanaume anaweza kulea hata mtoto asiyewake kwa mwanamke anayempenda.
Ila wanaume hupata ukakasi kulea mtoto aliyezaliwa na mwanamke asiyempenda.

Muelewe hilo. Mkichukia shauri yenu.
Kuzaa sio jambo la kujitokea sadaka na kujiamulia amulia tuu. Ni jambo linalohitaji mambo makuu yafuatayo;
a) Upendo
Upendo wa pande zote mbili mwanaume na mwanamke.
Mtoto ambaye amezaliwa kwenye upendo ataishi maisha mazuri sana. Hawezi fanyiwa ukatili.
Lakini mtoto ambaye amezaliwa mzazi mmoja hana upendo au wote walikutana kwenye tamaa tayari huo ni ukatili kwa watoto

b) Ridhaa na Makubaliano.
Sio unajibebea tuu kama lijinga. Au mwanaume atumie nguvu kukubebesha mimba. Huo ni ushenzi.
Mimba na watoto wanatakiwa wazaliwe kwa ridhaa na makubaliano ya wazi kati ya mwanamke na mwanaume.

c) Utayari.
Haya mnapendana, ridhaa ipo yaani wote mnatamani na kupenda mpate mtoto pamoja lakini utayari hamna.
Utayari unatokana na factors mbalimbali. Kuna mambo ya kiuchumi, mazingira, Mila na desturi.
Mtu hajakutambulisha hata kwenu au kwao anakubebeshaje mimba. Ni kwamba bado hana utayari.
Utayari wa malezi.

Sasa mtu anabeba mimba ya Mume wa mtu. Shenzi! Huyu anatakiwa ashtakiwe kabisa.

Msiwe mnaoneana haya kwa mambo ya hovyo kama haya. Ndio yanaleta matatizo.

Ooh! Wewe unajijua ni mume wa mtu why utafute wanawake wengine. Natafuta malaya huko nje. Ili nifanye umalaya(starehe).
Na sio uniletee watoto.

Pesa yako nilikulipa. Nilikupa pesa ya kazi uliyoifanya, kazi ya umalaya, kunipa starehe.
Mimi sio mumeo, sio kaka sio Baba hukushangaa hela niliyokupa ilikuwa ya nini? Ilikuwa business.

Wewe kama mume wa mtu anakufuata na unampenda.
Zungumza naye kwamba unataka kikao na mkewe.
Mjadiliane mkikubaliana sawa. Msipokubaliana sawa. Unapita kushoto.

Sasa unajua mwanaume anamke. Anakupangia nyumba(danguro) ya kufanyia ufuska wenu.
Hataki mkewe ajue. Mpaka hapo huelewi nini mbuzi wewe. Kwamba wewe ni malaya tuu. Upo kama bidhaa ya magendo.
Unakubalije kuwa bidhaa ya magendo?
Hujipendi? Hujithamini? Umejikosea nini mpaka ujidharau kiasi hicho? Mpaka unaruhusu mwanaume akudharau kiasi hicho kweli binti yangu, kweli?

Alafu wewe ni bidhaa ya magendo unazaa matoto ya magendo. Hivi ziko timamu kweli.

Usikubali mtu akudharau binti yangu. Usikubali kujidharau.

Kuwa na msimamo. Mwambie mimi ninajiheshimu. Siwezi kuishi maisha ya kudharauliwa, kufanywa mchepuko sijui magendo. Hapana.

Sema wewe sio second class, wewe sio Takataka inayofichwa kwenye shimo la taka.

Huwezi ukasema unajiheshimu na unaheshima wakati umegeuzwa bidhaa ya magendo.

Na ulivyo lijinga kama sio umelaaniwa, unajigamba umepangiwa nyumba, sijui umenunuliwa gari au unajengewa.
Nyumba hata ndege wanaviota, na mchwa wana vichuguu.
Thamani yako ni kubwa.

Mwambie kama anakupendi nini kinamzuia usiwe mkewe? Sheria zinaruhusu. Fungeni ndoa ya kimila. Kaongee na mke mwenzako. Wekeni mambo sawa.

Mheshimu mke uliyemkuta. Sio uanze kujilinganisha hapa. Wewe ni wapili mheshimu wakwanza ili ndoa na familia yenu iwe imara.

Sisi Watibeli hatuoi Wake Wengi. Ingawaje sheria zetu zinaturuhusu kufanya hivyo ikibidi. Ikitokea tumeoa Wake wengi mke wa kwanza atabaki kuwa mama wa boma. Chagua namba moja. Lazima umheshimu utake usitake.

Nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Bandiko zuri ..!
Kupitia hili bandiko serikali itengeneze sheria nyingine ya kumlinda mwanaume dhidi ya baadhi ya wanawake gume gume wanaotafuta fidia ya uzembe wao toka kwa wanaume.
 
Wanaume ndiyo tunasitahili kuadhibiwa kwa kuwapachika Mimba Wanawake nje ya mipango yao.

Mwanamke akiomba utumie mipira/condoms,unamwambia hakupendi kwa dhati na hakuamini..unakuwa umevuruga kabisa Saikolojia nzima ya Mwanamke kuanzia,fikra na mipango yake kwako kimahusiano.

Kumbe ki uhalisia wewe Mwanaume ndiye unakuwa unamnafikia tu.

Tatizo ni wewe unaamini kabisa kwa Kondomu haufaidi ,unawaza mpaka na jinsi unavyo mugharimikia kiuchumi.!!?

Miongoni mwa mbinu za kudhibiti uzazi holela ipo pia njia Mwanaume kufunga uzazi..

Si tufunge na sisi ..mbona ni kama hatuitilii maanani na wala haihubiriwi sana,!!!

Huu ni ukatili kwetu Wanaume kwa Wanawake.

Muweke wazi Mwanamke ,kwamba ni nyama kwa nyama ila ulishafunga uzazi ,huna uwezo wa kumpa Mimba.
Tuanzie hapo.
 
Wakati mwingine huwa hatuko sawa sisi wanaume. Mtu unambembeleza hata kutoa machozi ya damu, ….nipe kidogo, ….hata niweke juu juu, …..sitaingiza ndani. Anakuonea huruma anakupa. Ukishakojoa akili zinaingia. Unajua wanawake wengi wana huruma.

Akikueleza baada ya mwezi, haoni siku zako, unamshushua. Hiyo si sawa.
 
Wewe uliwahi kukutana na mwanamke akakuambia utumie kondomu zaidi ya wale makahaba wanaojiuza barabarani?
 
Wakati mwingine huwa hatuko sawa sisi wanaume. Mtu unambembeleza hata kutoa machozi ya damu, ….nipe kidogo, ….hata niweke juu juu, …..sitaingiza ndani. Anakuonea huruma anakupa. Ukishakojoa akili zinaingia. Unajua wanawake wengi wana huruma.

Akikueleza baada ya mwezi, haoni siku zako, unamshushua. Hiyo si sawa.kuko

Kukojoa hakuhusiani na kupata na mimba kama mwanamke hajaamua iingie.
 
Ndiyo..
Na hata hao Makahaba wengi ni wahanga wa huo ubazazi wetu wanaume.
Usiwatenge wala kuwabagua kwenye mjadala.
.Ni wanawake pia kijinsia na kamili gadooo.
 
kumwaga nje huwezi? kutumia kondom pia huwezi 🤣🤣na huyu mzinifu mwenzio nae anakua hajui kuangalia calender
Yalishatokea! Wewe nadhani hujakutana na wanaume wa shoka, analia hadi kutoa machozi ya damu. Hata ukiwa danger, unasutikia chuma kiko wavuni hata chupi imesogezwa pembeni tu. <24 wasichana ni shida sana ujue
 
Back
Top Bottom