Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
Ndiyo..
Na hata hao Makahaba wengi ni wahanga wa huo ubazazi wetu wanaume.
Usiwatenge wala kuwabagua kwenye mjadala.
.Ni wanawake pia kijinsia na kamili gadooo.
Kisosholojia ngono pia ni starehe na haki ya binadamu kuipata kwani ni hitaji muhimu kwa mwanadamu
Ngono unaweza kuipata popote kwa makubaliano iwe ya pesa au hiyari
Kubeba mimba ni suala linalomhusu zaidi Mwanamke.