Tukiwa kwenye zinaa na starehe wanaume hatutaki mtuletee mamimba yenu. Huo ni ukatili kwa wanaume

Umetoa boko Brother yaani hovyo kabisa kama ni wali basi umetoa boko leo

Hoja zangu 👇

1.Jukumu la kuzuia au kupanga kuleta mtoto duniani ni la mwanamke pekee au ni jukumu lako na mwanamke husika?

2. Unalala na mwanamke usie na mipango nae ya baadae kwanini usivae condom ?
Au ukivaa unasema sio tamu?
au ukivaa ukuni unazima?
Kwanini usivae condom?

3. Wewe kama mwanaume ukiwa kwenye tendo akili hua zina hama kiasi huwezi kuchomoa ukamwaga njee
Au huna uwezo huo unakua unatetema kama mayele?

4. Haya yote hayo yamekushinda sawa
After sex hujui kama kuna dawa za kuzuia uwezekano wa uja uzito kutunga ndani ya masaa 24 mpka 72 kwanini ukimaliza ku sex na huyo mwanamke wako usifanye utararibu wa kumpatia dawa ameze ili kunusuru mimba hiyo usioitaka

Baadhi yenu wanaume mnachekesha sana na hiyo mimba utampatia mtu asie smart kicwani saivi kubeba mimba ni kuchagua hakuna cha ajali wala nini

A. Mwanaume ukiona umebebesha mimba na ukaanza kulaumu wewe utakua mpumbavu

B. Mwanamke ukibeba mimba ukaanza kulaumu wewe ni mpumbavu pia

Hapo kutakua na wapumbavu wawili waliotanguliza hisia mbele kuliko akili

NB : nipo on kwa battle ila uje na hoja za mashiko🫴
 
Wewe Unadhani kumwaga nje, ni rahisi hasa cha kwanza, na ukiwa na uhanga? Ndipo unamg’ang’ania binti wa watu.
Mnafiki huyo..achana naye..
Huyo ndiyo dhaifu kuliko,hawezi kumudu hilo
 
Wewe Unadhani kumwaga nje, ni rahisi hasa cha kwanza, na ukiwa na uhanga? Ndipo unamg’ang’ania binti wa watu.
basi kama mnavyong'ang'ania kupata bao la ushindi mimba zikitokea mzifurahie pia
 
Mambo ni mengi ila wanawake wakiamua kuwa waaminifu tunapata jamii salama na na familia salama coz wao wana amua wabebe hyo mimba au waache
 
TUKIWA KWENYE ZINAA NA STAREHE WANAUME HATUTAKI MTULETEE MAMIMBA YENU. HUO NI UKATILI KWA WANAUME.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Msitake kutuharibia Maisha sisi!

Hata mfoke hadi koo liwakauke hicho unachokitaka kitawezekana tu kwa wewe kutumia condom tu babangu.

Hata sisi sometimes hatutaki kubeba mamimba yenu na mabichwa yenu mabaya, tunajikuta tu kwa bahati mbaya tushanasa damu zenu chafu.

Wengi wenu hamtaki condom na hata tukifuata kalenda bado tunaweza pata limimba,hata tukitumia vidonge bado unaweza jikuta ushanasa limimba la "hovyo"😃 ila kwa vile tuna huruma hatutoi.Tunazaa damu zenu chafu na kuzipenda.

Nyie wanaume msijione keki sana.Hata sisi kuna wanaume hatutaki kuwazalia.

Usitufokee kabisa.
Hili ni suala la pande zote mbili.
Usisukumie wanawake zigo la misumari.

Unataka uinjoy bila condom jiandae kwa limimba la kutegeshewa au la ajali.
 
Umetoa boko Brother yaani hovyo kabisa kama ni wali basi umetoa boko leo

Hoja zangu 👇

1.Jukumu la kuzuia au kupanga kuleta mtoto duniani ni la mwanamke pekee au ni jukumu lako na mwanamke husika?

2. Unalala na mwanamke usie na mipango nae ya baadae kwanini usivae condom ?
Au ukivaa unasema sio tamu?
au ukivaa ukuni unazima?
Kwanini usivae condom?

3. Wewe kama mwanaume ukiwa kwenye tendo akili hua zina hama kiasi huwezi kuchomoa ukamwaga njee
Au huna uwezo huo unakua unatetema kama mayele?

4. Haya yote hayo yamekushinda sawa
Afta sex hujui kama kuna dawa za kuzuia uwezekano wa uja uzito kutunga ndani ya masaa 24 mpka 72 kwanini ukimaliza ku sex na huyo mwanamke wako usifanye utararibu wa kumpatia dawa ameze ili kunusuru mimba hiyo usioitaka

Baadhi yenu wanaume mnachekesha sana na hiyo mimba utampatia mtu asie smart kicwani saivi kubeba mimba ni kuchagua hakuna cha ajali wala nini

A. Mwanaume ukiona umebebesha mimba na ukaanza kulaumu wewe utakua mpumbavu

B. Mwanamke ukibeba mimba ukaanza kulaumu wewe ni mpumbavu pia

Hapo kutakua na wapumbavu wawili waliotanguliza hisia mbele kuliko akili

NB : nipo on kwa battle ila uje na hoja za mashiko🫴
shibela huku kuna kikao kingine nishatia neno namsuburi mleta mada
 
Hata mfoke hadi koo liwakauke hicho unachokitaka kitawezekana tu kwa wewe kutumia condom tu babangu.

Hata sisi sometimes hatutaki kubeba mamimba yenu na mabichwa yenu mabaya tunajikuta tu kwa bahati mbaya tushanasa damu zenu chafu.

Wengi wengi hamtaki condom na hata ukifuata kalenda bado unaweza pata limimba lenu,hata tukitumia vidonge bado unaweza jikuta ushanasa limimbq la "hovyo"😃 ila kwa vile tuna huruma hatutoi.Tunazaa damu zenu chafu na kuzipenda.

Nyie wanaume msijione keki sana.Hata sisi kuna wanaume hatutaki kuwazalia.

Usitufokee kabisa.
Hili ni suala la pande zote mbili.
Usisukumie wanawake zigo la misumari.

Unataka uinjoy bila condoo jiandae kwa limimba la kutegeshewa au la ajali.
💐🥑🪂 Am wewe🥴
 
Umetoa boko Brother yaani hovyo kabisa kama ni wali basi umetoa boko leo

Hoja zangu 👇

1.Jukumu la kuzuia au kupanga kuleta mtoto duniani ni la mwanamke pekee au ni jukumu lako na mwanamke husika?

2. Unalala na mwanamke usie na mipango nae ya baadae kwanini usivae condom ?
Au ukivaa unasema sio tamu?
au ukivaa ukuni unazima?
Kwanini usivae condom?

3. Wewe kama mwanaume ukiwa kwenye tendo akili hua zina hama kiasi huwezi kuchomoa ukamwaga njee
Au huna uwezo huo unakua unatetema kama mayele?

4. Haya yote hayo yamekushinda sawa
Afta sex hujui kama kuna dawa za kuzuia uwezekano wa uja uzito kutunga ndani ya masaa 24 mpka 72 kwanini ukimaliza ku sex na huyo mwanamke wako usifanye utararibu wa kumpatia dawa ameze ili kunusuru mimba hiyo usioitaka

Baadhi yenu wanaume mnachekesha sana na hiyo mimba utampatia mtu asie smart kicwani saivi kubeba mimba ni kuchagua hakuna cha ajali wala nini

A. Mwanaume ukiona umebebesha mimba na ukaanza kulaumu wewe utakua mpumbavu

B. Mwanamke ukibeba mimba ukaanza kulaumu wewe ni mpumbavu pia

Hapo kutakua na wapumbavu wawili waliotanguliza hisia mbele kuliko akili

NB : nipo on kwa battle ila uje na hoja za mashiko🫴
Am in 🥰
 
Hata mfoke hadi koo liwakauke hicho unachokitaka kitawezekana tu kwa wewe kutumia condom tu babangu.

Hata sisi sometimes hatutaki kubeba mamimba yenu na mabichwa yenu mabaya, tunajikuta tu kwa bahati mbaya tushanasa damu zenu chafu.

Wengi wenu hamtaki condom na hata tukifuata kalenda bado tunaweza pata limimba,hata tukitumia vidonge bado unaweza jikuta ushanasa limimba la "hovyo"😃 ila kwa vile tuna huruma hatutoi.Tunazaa damu zenu chafu na kuzipenda.

Nyie wanaume msijione keki sana.Hata sisi kuna wanaume hatutaki kuwazalia.

Usitufokee kabisa.
Hili ni suala la pande zote mbili.
Usisukumie wanawake zigo la misumari.

Unataka uinjoy bila condom jiandae kwa limimba la kutegeshewa au la ajali.
Kwa nini hamtumii njia ya vijiti?
 
Wanawake wengi takataka wanadhani wakitegesha mimba ndio watapata ndoa kumbe ni kujitengeneza kuwa single mother
 
Mm sipendi kiweka hayo mavitu mwilini ila hata condom ni kinga ya mimba.Asietaka mimba ahimize ivaliwe.
Mwenye wajibu na uwezo mkubwa zaidi wa kupanga mimba ni mwanamke.
 
Back
Top Bottom