Tukiwa kwenye zinaa na starehe wanaume hatutaki mtuletee mamimba yenu. Huo ni ukatili kwa wanaume

Tukiwa kwenye zinaa na starehe wanaume hatutaki mtuletee mamimba yenu. Huo ni ukatili kwa wanaume

Huu uzi hauwezi hamishwa kwa sababu unalenga kuepusha ukatili wa kijinsia
Unajua nini kaka.
Mada yako ni nzuri sana.
Hakika nimewaoneeni huruma.
NIme imagine vile mnaumia kulea mtoto na mama usiyempenda.
Ila umeharibu mada yako kwa kushindwa kushauri suluhisho sahihi na badala yake umeelekeza mada yako kwa kundi lisilo sahihi.

Badala ya kufokea wanawake ulipaswa hii mada iongee na wanaume wenzio.
Uwashauri au mshauriane ni jinsi gani mtafanya kuepeka mimba msizozitaka.
Pia Ulipaswa uhimize matumizi ya condom.

Pia kaka yangu ukiandika mada haimaanisha unajua kila kitu kuhusu mada yako hivyo ni vyema ujue uwezekano wa ww kujifunza zaidi kupitia wachangiaji wa mada yako upo.Mara nyingi ww ukiandika umeandika unaamini hukosei.

Mfano kwenye hii mada umekosea kudhani jukumu la ww kutopata mtoto usomtaka liko kwa mwanamke na sio lako.

NI kosa

sbb kuna wanawake hawataki kutumia dawa za uzazi wa mpango na hawajui jinsi ya kuhesabu siku zao.
Wapo wanaotumia na bado wanashika mimba na wapo wanaokutegeshea makusudi.

Hakuna sheria itaweza kukulinda dhidi ya hili.Sheria zitaendelea kuwa zile zile za kukufosi ulee mtoto sbb hana hatia wetha ulimtaka au hukumtaka.

Maisha yako yataharibika kwa uzembe wako mwenyewe.

Once again.😃😃
Mods naomba mtuhamishie chitchat huku hatutaniani kwa uhuru😃😃
 
Hili nalo mkalitazame.

Hili bandiko liende pia facebook na insta na mitandao mingine kama hiyo.

Tena hiyo lugha uliyotumia ndio nzuri watu wa huko wataielewa kwa urahisi. “mamimba yenu”.

Lakini wanaume mkosoane, wakosoeni baadhi ya wanaume wenzenu Inavoonekana hakuna mwanamke mwenye VIP seat as long as mwanaume ameamua kukwepa majukumu, mnakataa kulea mpaka watoto waliozaliwa kwa utaratibu unaopaswa visingizio kila siku vinabadilika majina na maumbo, leo hiki leo kile, leo mama yake mjeuri kesho sijui nini.

Kuna siku niliandika hivi; As long as mwanamke umeamua kuzaa, jihesabie wewe ni single mother mtarajiwa, Jiandae tu just in case, usijipe umuhimu ati mimi nimezaa kwenye ndoa ati tulikubaliana tuzae sijui nini nini, Hiyo siku mlinipopoa mawe weeeee, haitaisha mpaka tuelewane kuwa mwanamke ni tatizo lakini mwanaume ni tatizo pro max.

It starts with a man .

Strategist7
 
Wenye maamzi ni wote wawili mwambie mwanamke mapema
Kua haupo tayari kua baba

mshirikiane kuepka mimba bila mipango

akijifanya kicwa ngumu muache atajua mwenyewe

Ila swala la kupanga uzazi usiamuachie peke ake
Kupanga uzazi ni jukumu la wote wawili. Pia mwanaume hapaswi kukataa kuwajibika mwenza anapokua amepata ujauzito iwe kwa makusudi au bahati mbaya. Hatahivyo wanawake wanapaswa kujua kwamba wana power kuliko wanaume linapokuja suala zima la kupata ujauzito. Nje ya ndoa, usifanye maridhiano yeyote na mwanaume kuhusu mimba. Livae hilo jukumu peke yako kwa ustawi wa maisha yako. Vijana wengi hawajali au hawana uwezo wa kuwatunza wanaowazalisha.
Hata ndani ya ndoa huna budi kuwa makini wewe mwenyewe mwanamke, hasa kama una mwanaume asiyeelewa madhara ya uzazi holela. Shida yenu wengi hamtumii vizuri nguvu ya kimaamuzi linapokuja suala zima la kupata ujauzito.
 
Kupanga uzazi ni jukumu la wote wawili. Pia mwanaume hapaswi kukataa kuwajibika mwenza anapokua amepata ujauzito iwe kwa makusudi au bahati mbaya. Hatahivyo wanawake wanapaswa kujua kwamba wana power kuliko wanaume linapokuja suala zima la kupata ujauzito. Nje ya ndoa, usifanye maridhiano yeyote na mwanaume kuhusu mimba. Livae hilo jukumu peke yako kwa ustawi wa maisha yako. Vijana wengi hawajali au hawana uwezo wa kuwatunza wanaowazalisha.
Hata ndani ya ndoa huna budi kuwa makini wewe mwenyewe mwanamke, hasa kama una mwanaume asiyeelewa madhara ya uzazi holela
Safiiiiii umeongea vizuri sana👏👏
. Shida yenu wengi hamtumii vizuri nguvu ya kimaamuzi linapokuja suala zima la kupata ujauzito.
Mimi nitoe hapa
 
Hili nalo mkalitazame.

Hili bandiko liende pia facebook na insta na mitandao mingine kama hiyo.

Tena hiyo lugha uliyotumia ndio nzuri watu wa huko wataielewa kwa urahisi. “mamimba yenu”.

Lakini wanaume mkosoane, wakosoeni baadhi ya wanaume wenzenu Inavoonekana hakuna mwanamke mwenye VIP seat as long as mwanaume ameamua kukwepa majukumu, mnakataa kulea mpaka watoto waliozaliwa kwa utaratibu unaopaswa visingizio kila siku vinabadilika majina na maumbo, leo hiki leo kile, leo mama yake mjeuri kesho sijui nini.

Kuna siku niliandika hivi; As long as mwanamke umeamua kuzaa, jihesabie wewe ni single mother mtarajiwa, Jiandae tu just in case, usijipe umuhimu ati mimi nimezaa kwenye ndoa ati tulikubaliana tuzae sijui nini nini, Hiyo siku mlinipopoa mawe weeeee, haitaisha mpaka tuelewane kuwa mwanamke ni tatizo lakini mwanaume ni tatizo pro max.

It starts with a man .

Strategist7
Jinsia zote mbili ni wazembe linapokuja suala zima la ngono. Hatahivyo, uamuzi kuhusu kupata ujauzito ni moja ya maeneo machache ambayo mwanamke ana nguvu kubwa ya kimaamuzi kuliko mwanaume. Ajabu wanawake wengi wa Kitanzania huwa hawaitumii vizuri nguvu yao ya kimaamuzi kuhusu kupata mimba. Mwanaume hawezi kukuzuia kutumia birth control. Hataki na wewe kataa. Wanaoshinikizwa kufanya ngono au kubakwa nawatetea.
 
Hili nalo mkalitazame.

Hili bandiko liende pia facebook na insta na mitandao mingine kama hiyo.

Tena hiyo lugha uliyotumia ndio nzuri watu wa huko wataielewa kwa urahisi. “mamimba yenu”.

Lakini wanaume mkosoane, wakosoeni baadhi ya wanaume wenzenu Inavoonekana hakuna mwanamke mwenye VIP seat as long as mwanaume ameamua kukwepa majukumu, mnakataa kulea mpaka watoto waliozaliwa kwa utaratibu unaopaswa visingizio kila siku vinabadilika majina na maumbo, leo hiki leo kile, leo mama yake mjeuri kesho sijui nini.

Kuna siku niliandika hivi; As long as mwanamke umeamua kuzaa, jihesabie wewe ni single mother mtarajiwa, Jiandae tu just in case, usijipe umuhimu ati mimi nimezaa kwenye ndoa ati tulikubaliana tuzae sijui nini nini, Hiyo siku mlinipopoa mawe weeeee, haitaisha mpaka tuelewane kuwa mwanamke ni tatizo lakini mwanaume ni tatizo pro max.

It starts with a man .

Strategist7

Hatari sana
 
..Maturity ya Uhanga,Mfumo na Ushuhuda wa Madhara ya wazi na vitendo vya kuyaona Laivu home/Mtaani/-Yeye mwenyewe..,(Rafiki/Dada,nk).

Humushauri kitu.
Nimewahi kukutana nao kwenye project Moja ya kuhusiana na Maisha yao..
Daah!?Wengi ni Watendwa wa matukio yenye kutisha na alishaganda kifikira na kuamua.

Anakupa Ushuhuda wa kisa/Mkasa na kutoa order uite Kiongozi wa Dini yoyote aamue..
Tupe Mikasa kama ipi?
 
Pole sana, hayanaga miongozo... Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Mahondaw
 
Hah
Yalishatokea! Wewe nadhani hujakutana na wanaume wa shoka, analia hadi kutoa machozi ya damu. Hata ukiwa danger, unasutikia chuma kiko wavuni hata chupi imesogezwa pembeni tu. <24 wasichana ni shida sana ujha

Yalishatokea! Wewe nadhani hujakutana na wanaume wa shoka, analia hadi kutoa machozi ya damu. Hata ukiwa danger, unasutikia chuma kiko wavuni hata chupi imesogezwa pembeni tu. <24 wasichana ni shida sana ujue
Haha mimi ntupu
 
Hah



Haha mimi ntupu
Kuna vidume vinajua kutongoza na kuiomba kwa machozi ya damu, acha masikhara! Akiisololea K hata akiwa mlamba Kiss me (wanajitia hawana hamu ya madushe) kama Dr. Mariposa anaitoa Kkiroho safi. Akili zikimwijia huyo chuma kipo ndani na Lamomy anayoita takataka (maji ya uzima) yameshatua kwenye cervix yanakimbilia kwa fallopian tube kuleeee. Hapo sasa
 
Back
Top Bottom