Hivi ndugu zangu hili swala lipoje, unakuta mwanamke upo nae karibu sana anaonyesha kabisa kukupenda, ila ukimtongoza anakataa kata kata[emoji23].
Ukimpoteza anarudi kuwa karibu yaani kiasi kwamba hata mtu baki akiwaona anajua mpo pamoja lakini ukimtongoza ngwalaaa.
Hili swala linakuaje...