Mwanaume, ukimtongoza mwanamke akakukatalia huwa unachukua hatua gani?

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
5,824
Reaction score
14,757
mapenzi ndo maisha na tunaishi kwa mapenzi..

Moja kwa moja kwenye mada.

suala la kukataliwa huwa linauma sana, unakuta pisi umeielewa kinoma lakini kadri unavyopiga kampeni unachomolewa nje. Kwa wale ambao hatujali tunachukulia poa tunajifariji na maneno kadhaa kama “pisi yenyewe mbovu” kisha unasonga mbele

pia kuna ile kumuapproach mtu unaona kabisa huyu aliumbwa kwa ajili yangu kabisa na tunaendana kila kitu hata ukitupia swaga akakataa bado unakua king’ang’anizi kwa sababu ambazo ni moyo wako pekee unazijua au pengine ni mtu ana status inayokubalika ata kwenye jamii nzima.

Lakini je ushawahi kujiuliza wanawake pia wana level za wanaume wa kuwa nao kwenye mahusiano mfano mimi apa kwa level zangu siwezi kumtongoza celebrity kama Nandy na wao pia huwa wanajisemea moyoni kuwa Diamond platnumz au yule mkaka sio level zangu kabisa hata akinitongoza namkataa?

Pointi yangu ni kuwa, inabidi tukubaliane kwenye mapenzi kuna levels, ndo maana unashauriwa utafute type yako ili kujiepusha na stress ndogo ndogo.

Swali ni je, mwanamke kama unamtongoza na kakukatalia kwa kigezo icho kuwa akikuangalia vizuri wewe sio level zake na wewe ndo ushazimika na figure hata kama lengo ni hit & run kwa sisi vijana wa hovyo na bado anakuzungusha zungusha huwa unachukua hatua gani?

NB: Mods msifute hii screenshot ntaifuta mwenyewe.
 
Standard unatakiwa umtongoze mara mbili zaidi ila katika interval za wiki moja moja.

Ukimtongoza zaidi ya hapo huku unaktaliwa wewe tutakuita MTUMWA WA MAPENZI na hata demu mwenyewe atakudharau
 
FB_IMG_1790529953394.jpg
 
M
mapenzi ndo maisha na tunaishi kwa mapenzi..

Moja kwa moja kwenye mada.

suala la kukataliwa huwa linauma sana, unakuta pisi umeielewa kinoma lakini kadri unavyopiga kampeni unachomolewa nje. Kwa wale ambao hatujali tunachukulia poa tunajifariji na maneno kadhaa kama “pisi yenyewe mbovu” kisha unasonga mbele

pia kuna ile kumuapproach mtu unaona kabisa huyu aliumbwa kwa ajili yangu kabisa na tunaendana kila kitu hata ukitupia swaga akakataa bado unakua king’ang’anizi kwa sababu ambazo ni moyo wako pekee unazijua au pengine ni mtu ana status inayokubalika ata kwenye jamii nzima.

Lakini je ushawahi kujiuliza wanawake pia wana level za wanaume wa kuwa nao kwenye mahusiano mfano mimi apa kwa level zangu siwezi kumtongoza celebrity kama Nandy na wao pia huwa wanajisemea moyoni kuwa Diamond platnumz au yule mkaka sio level zangu kabisa hata akinitongoza namkataa?

Pointi yangu ni kuwa, inabidi tukubaliane kwenye mapenzi kuna levels, ndo maana unashauriwa utafute type yako ili kujiepusha na stress ndogo ndogo.

Swali ni je, mwanamke kama unamtongoza na kakukatalia kwa kigezo icho kuwa akikuangalia vizuri wewe sio level zake na wewe ndo ushazimika na figure hata kama lengo ni hit & run kwa sisi vijana wa hovyo na bado anakuzungusha zungusha huwa unachukua hatua gani?

NB: Mods msifute hii screenshot ntaifuta mwenyewe.

View attachment 3679815
Mbona huyo keshakubali tayari mkuu ni wewe tu unakaza fuvu
 
Kawaida sana hasa mabonge,short chassis na wadada weusi huwa hawajiamini.

Tena akiwa navyo vyote hlf hana tako,utasikia,"unanienjoy tu" au "unanichora".

Wenye magari ndiyo wanaongoza kwa kupewa hayo majibu.
 
Changamoto sana, we unakua unafikiri dem kakukataa sababu wew sio vitu vyake kumbe wewe sio level zake
 
Back
Top Bottom