Mwanaume, ukimtongoza mwanamke akakukatalia huwa unachukua hatua gani?

Mwanaume, ukimtongoza mwanamke akakukatalia huwa unachukua hatua gani?

Don't chase, attract,

focus on self improvement and positive energy so that the right people, opportunities, and success come to you naturally instead of being forced.
Wanawake hawana formula mkuu, una improve yourself lakini mwisho wa siku niwewe utaenda kutongoza sio yeye aje kukutongoza. Side effects zake ndo kama izo pisi zinaanza kukuogopa
 
mapenzi ndo maisha na tunaishi kwa mapenzi..

Moja kwa moja kwenye mada.

suala la kukataliwa huwa linauma sana, unakuta pisi umeielewa kinoma lakini kadri unavyopiga kampeni unachomolewa nje. Kwa wale ambao hatujali tunachukulia poa tunajifariji na maneno kadhaa kama “pisi yenyewe mbovu” kisha unasonga mbele

pia kuna ile kumuapproach mtu unaona kabisa huyu aliumbwa kwa ajili yangu kabisa na tunaendana kila kitu hata ukitupia swaga akakataa bado unakua king’ang’anizi kwa sababu ambazo ni moyo wako pekee unazijua au pengine ni mtu ana status inayokubalika ata kwenye jamii nzima.

Lakini je ushawahi kujiuliza wanawake pia wana level za wanaume wa kuwa nao kwenye mahusiano mfano mimi apa kwa level zangu siwezi kumtongoza celebrity kama Nandy na wao pia huwa wanajisemea moyoni kuwa Diamond platnumz au yule mkaka sio level zangu kabisa hata akinitongoza namkataa?

Pointi yangu ni kuwa, inabidi tukubaliane kwenye mapenzi kuna levels, ndo maana unashauriwa utafute type yako ili kujiepusha na stress ndogo ndogo.

Swali ni je, mwanamke kama unamtongoza na kakukatalia kwa kigezo icho kuwa akikuangalia vizuri wewe sio level zake na wewe ndo ushazimika na figure hata kama lengo ni hit & run kwa sisi vijana wa hovyo na bado anakuzungusha zungusha huwa unachukua hatua gani?

NB: Mods msifute hii screenshot ntaifuta mwenyewe.

View attachment 3679815
ni vizuri kumove on,
kwasababu at the end unawezakua na experience ya kukataliwa zaidi ya wanaume wengine, na hatimae ukaona hali hiyo ni jambo la kawaida sana katika maisha ya mahusiano.

miongoni mwa faida za kukataliwa mara nyingi zaidi na kumove on,
ni pamoja kukupa ujasiri zaidi wa kutongoza tena na tena kila aina ya pisi bila woga hata iwe kali vipi au na iwe na cheo gani :NoGodNo:
 
Unamuacha tu, kwani ni ye pekee ana mbunye? Mbunye ziko kwa kila mwanamke ana yake, tena zipo za kila aina, zilizokeketwa na zisizokeketwa, nyeusi, nyeupe na maji ya kunde, fupi na ndefu, pana na nyembamba, zenye maji na kavu, za moto na baridi, za kubana na mtepeto. Kwani yake ina dhahabu au kinanda mpaka umng'ang'anie?
 
Underage hawajui kunyoosha maelezo kumbe

Hivi hata kwenye mitihani shule zile essay watakuwa wanaandika xaxa badala ya sasa?
Kwa uzoefu underage wengi na wanafunzi wa vyuo wanaandika hivyo

It's swagger like, yaani wao wanahisi ni kama fasheni Fulani hivi

Kuna uncle wangu mmoja amemaliza degree juzi tu, naye akawa ananiandikia meseji za hivyo

Xaxa badala ya Sasa, nimemnyoosha japo hajabadirika

Ni ujinga totally
 
Unamuacha tu, kwani ni ye pekee ana mbunye? Mbunye ziko kwa kila mwanamke ana yake, tena zipo za kila aina, zilizokeketwa na zisizokeketwa, nyeusi, nyeupe na maji ya kunde, fupi na ndefu, pana na nyembamba, zenye maji na kavu, za moto na baridi, za kubana na mtepeto. Kwani yake ina dhahabu au kinanda mpaka umng'ang'anie?
Kwaiyo wote wakikutalia unafanyeje ?
 
Wanawake hawana formula mkuu, una improve yourself lakini mwisho wa siku niwewe utaenda kutongoza sio yeye aje kukutongoza. Side effects zake ndo kama izo pisi zinaanza kukuogopa
Atajilengesha mwenyewe na kukuonyesha dalili zote,hapo inakua imebaki kazi ndogo tu kwako,nature ya Mwanamke ni vigumu kukutongoza ila kuna dalili tu utaziona.
 
Back
Top Bottom