Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Kwa uzoefu underage wengi na wanafunzi wa vyuo wanaandika hivyo
It's swagger like, yaani wao wanahisi ni kama fasheni Fulani hivi
Kuna uncle wangu mmoja amemaliza degree juzi tu, naye akawa ananiandikia meseji za hivyo
Xaxa badala ya Sasa, nimemnyoosha japo hajabadirika
Ni ujinga totally
Mie nashukuru nina underage wengi kiasi kwenye circle yangu lakini sina anayeandika namna hiyo
Miandiko ya hivyo inakera kinyama