Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Amenyooka 😁😁
Amenyooka 😁😁
Hivi GenZ huwa mnajua kizazi kingine zaidi ya millennial?Millennials ndo hamjui kabisa kuandika bora Gen Z 😂
Unamchukua kwa nguvu...Swali ni je, mwanamke kama unamtongoza na kakukatalia kwa kigezo icho kuwa akikuangalia vizuri wewe sio level zake na wewe ndo ushazimika na figure hata kama lengo ni hit & run kwa sisi vijana wa hovyo na bado anakuzungusha zungusha huwa unachukua hatua gani?