Mwanaume, ukimtongoza mwanamke akakukatalia huwa unachukua hatua gani?

mapenzi ndo maisha na tunaishi kwa mapenzi..

Moja kwa moja kwenye mada.

suala la kukataliwa huwa linauma sana, unakuta pisi umeielewa kinoma lakini kadri unavyopiga kampeni unachomolewa nje. Kwa wale ambao hatujali tunachukulia poa tunajifariji na maneno kadhaa kama “pisi yenyewe mbovu” kisha unasonga mbele

pia kuna ile kumuapproach mtu unaona kabisa huyu aliumbwa kwa ajili yangu kabisa na tunaendana kila kitu hata ukitupia swaga akakataa bado unakua king’ang’anizi kwa sababu ambazo ni moyo wako pekee unazijua au pengine ni mtu ana status inayokubalika ata kwenye jamii nzima.

Lakini je ushawahi kujiuliza wanawake pia wana level za wanaume wa kuwa nao kwenye mahusiano mfano mimi apa kwa level zangu siwezi kumtongoza celebrity kama Nandy na wao pia huwa wanajisemea moyoni kuwa Diamond platnumz au yule mkaka sio level zangu kabisa hata akinitongoza namkataa?

Pointi yangu ni kuwa, inabidi tukubaliane kwenye mapenzi kuna levels, ndo maana unashauriwa utafute type yako ili kujiepusha na stress ndogo ndogo.

Swali ni je, mwanamke kama unamtongoza na kakukatalia kwa kigezo icho kuwa akikuangalia vizuri wewe sio level zake na wewe ndo ushazimika na figure hata kama lengo ni hit & run kwa sisi vijana wa hovyo na bado anakuzungusha zungusha huwa unachukua hatua gani?

NB: Mods msifute hii screenshot ntaifuta mwenyewe.

View attachment 3679815
Unakuwa umeokoa KIBUNDA CHAKO.
 
Huyo anapenda mbwembwe, ni wale wanawake wa sitaki nataka.

Hapo SMS hazitosaidia, muone uso kwa uso. Piga kampeni mzee.
Kitambo iyo mkuu mpaka nishasahau. Ni leo tu imetokea nmekutana na izo screenshot nkasema kumbe unapotongoza pisi inabidi ukaze wkt mwingine tunawapa wakati mgumu kufanya maamuzi so inabidi ukaze yeye ili yeye alegeze
 
Humu kuna member anaitwa mzabzab kwa week anapinduka hata na bebe 10 😂.

Jamaa ni noma ngoja aje soon atakupa hints.

Kama una mwanamke wako akiamua kumfukuzia jamaa hakosi target kila shot imo.

mzabzab njoo umwambie kijana zile martial techniques zako. 😄
 
Nyingi zinatokana na scenarios husika; mfano; mfano anaweza akawa mtu wa ku cancel miadi, wewe ndio ukawa muanzisha mazungumzo, nipo bize nyingi, sina muda n.k. Anaweza asiwe na shukrani, hata kwa huo mkutano wa kwanza (outing). Umempeleka sehemu nzuri, asionyeshe kufurahia chochote kwa vyovyote vile. Kiufupi haonyeshi interest na kitu chochote kwako.

Kwenye mazingira kama hayo; don't push, don't beg, usiendelee kumsumbua wala kupoteza muda na resources zingine to change her mind. It doesn't work.
Safi SANA mkuu
 
Humu kuna member anaitwa mzabzab kwa week anapinduka hata na bebe 10 😂.

Jamaa ni noma ngoja aje soon atakupa hints.

Kama una mwanamke wako akiamua kumfukuzia jamaa hakosi target kila shot imo.

mzabzab njoo umwambie kijana zile martial techniques zako. 😄
Mimi saiv nmestaff iyo mitikasi cha ajabu kuleta huu uzi naambiwa mimi ni underground wkt apa penyewe nina bebe mpaka zingine nazisahau zikinicheki ndo nakumbuka 😂
 
Ivi mtu unatongozaje sehem unajua hutakubaliwa na unaendelea kunembeleza.

Anyways Mara zote hadi natongoza hua Najua Siwezi kataliwa na nikikataliwa ndio basi Ndioo situdi ni Kama kujidhalilisha kwa upande wangu lakini🙃

Gen z💔🚮😂
Upo sawa kabisa,kutongoza ni mara moja tu,kisha unapiga kimya,mara nyingi baadae hua wanajileta wenyewe,

Ukimtongoza Mwanamke kwa muda mrefu au kumbembeleza sana,anakushusha thamani na kukudharau,

Mwanamke anapenda mwanaume anayejiamini na aliye juu yake,Mwanaume asiye onyesha unyonge na yupo tayari kuondoka muda wowote ule.
 
Atafutae hachoki
 
Nilichoona humu wengi hamuwaelewi wanawake, wengine hata hamjakataliwa mshaanza kujiona mmekataliwa.

Si wanawake wote wanaokupa jibu ndiyo wengine wanaweza kukataa kabisa ila ukaribu nawe haaachi, una utaona kwenye ishara tu kama kakupa green light hadi siku unakuja kukis anatoa ushirikiano.

Wengine wanakwambia wamekubali kama mlivyozoe.

Kama hataki anaweza asijibu kitu pia na kukuzungusha asiwe na muda nawe kabisa. Unaishia kupoteza muda mwingi. Anakuwa mtu wa kukuonesha red light mara kwa mara, mara hataki ukaribu wala mazungumzo nawe unakuwa wewe ndiyo mlazimishaji kila siku, kama mjanja unajiongeza unajua hapa sitakiwi.
 
mapenzi ndo maisha na tunaishi kwa mapenzi..

Moja kwa moja kwenye mada.

suala la kukataliwa huwa linauma sana, unakuta pisi umeielewa kinoma lakini kadri unavyopiga kampeni unachomolewa nje. Kwa wale ambao hatujali tunachukulia poa tunajifariji na maneno kadhaa kama “pisi yenyewe mbovu” kisha unasonga mbele

pia kuna ile kumuapproach mtu unaona kabisa huyu aliumbwa kwa ajili yangu kabisa na tunaendana kila kitu hata ukitupia swaga akakataa bado unakua king’ang’anizi kwa sababu ambazo ni moyo wako pekee unazijua au pengine ni mtu ana status inayokubalika ata kwenye jamii nzima.

Lakini je ushawahi kujiuliza wanawake pia wana level za wanaume wa kuwa nao kwenye mahusiano mfano mimi apa kwa level zangu siwezi kumtongoza celebrity kama Nandy na wao pia huwa wanajisemea moyoni kuwa Diamond platnumz au yule mkaka sio level zangu kabisa hata akinitongoza namkataa?

Pointi yangu ni kuwa, inabidi tukubaliane kwenye mapenzi kuna levels, ndo maana unashauriwa utafute type yako ili kujiepusha na stress ndogo ndogo.

Swali ni je, mwanamke kama unamtongoza na kakukatalia kwa kigezo icho kuwa akikuangalia vizuri wewe sio level zake na wewe ndo ushazimika na figure hata kama lengo ni hit & run kwa sisi vijana wa hovyo na bado anakuzungusha zungusha huwa unachukua hatua gani?

NB: Mods msifute hii screenshot ntaifuta mwenyewe.

View attachment 3679815
Mimi akikataa

Uwa nafuta namba then na l

Mimi uwa sibembelezi

Akikataa tu , nafuta namba na move on.

Alafu natafuta ingine
 
Back
Top Bottom