Mwanaume, ukimtongoza mwanamke akakukatalia huwa unachukua hatua gani?

Mwanaume, ukimtongoza mwanamke akakukatalia huwa unachukua hatua gani?

Nakupigia simu.

HTB1rrpYlljTBKNjSZFDq6zVgVXa4.jpg


Kamba
 
Basi ni baadhi, lakini wengi wanaandika hivyo

Hata hapa JF nimeona screenshot nyingi za mawasiliano baina ya me na ke, zikiwa na swaga za hivyo

Hivi ukidate Corporate Woman, anaweza kuandika hivyo unadhani

Standard 🤪

Levels 😊
 
Starehe gharama kijana,huwezi kutongoza huku mfukoni ukiwa na hela ambayo wewe mwenyewe ndio unaitegemea ulie mihogo na juice ya miwa
Just imagine umemuapproach mwanamke kakubali tu gafla anaanza kukupa bills mob ,mara gesi,kodi, nywele zimefumuka,mama yake anaumwa,vocha ....nk

Sasa hio ndio starehe?
 
Back
Top Bottom