ukimwi

  1. JamiiForums Tanzania Mtu mwenye UKIMWI akivaa nguo hizi, anapona maambukizi ya Virusi vya UKIMWI,na rangi zingine., anasema CIVILIAN-COIN.

    Mtu mwenye UKIMWI akivaa nguo hizi, anapona maambukizi ya Virusi vya UKIMWI,na rangi zingine@CIVILIAN-COIN.
  2. JamiiForums Tanzania Unaweza usinielewe, kila kumbukizi ya tarehe yakifo cha Nyerere watumishi wengi,wanaambukizwa ukimwi, ndo siku condom nyingi hugaiwa.

    Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu Julias Kabarage Nyerere na siku ya kilele cha mbio za mwenge kitaifa ni kumzalilsh Mwalimu. Hii ina...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Tanga kuna Ukimwi sana au niwe huru kula bila kinga?

    Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom? Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni ya 5 duniani kwa maambukizi ya UKIMWI. Usidanganyike na zile chudai za kavu kavu ukaona kawaida kuteleza. Jilinde na linda na wenzako

    Inawezekana kwa VVU kudumu miaka 8 bila kusababisha dalili zinazoonekana na baadhi ya watu huishi na VVU kwa miaka 10 bila kujua kwamba wana VVU. SOURCE: UNIAIDS
  5. JamiiForums Tanzania Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  6. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu: watu wanacheza mziki mpaka wanakufa

    Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza kwa kasi kubwa huku akivuja jasho. Baadaye jirani wa pili anajiunga naye, wa tatu, na ndani ya siku...
  7. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kiwanda cha Condom, vikinga Ukimwi+STDs na dawa za kuzuia harufu mbaya kwenye papuchi

    Bidhaa nitakazo zalisha kiwandani ni 1. Condom (bei ya jumla 500/= condom 3) 2. Mafuta ambayo unayapaka kwenye mkuyenge kabla hujamla mtoto ukishapaka unakula kavu kavu na hupati maambukizi ya HIV wala STDs zote. (bei ya jumla ni 8000/= 3. Tiba ya kuzuia harufu kwa wadada maana sikuhizi kati ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kati ya UKIMWI na Kisukari upi ugonjwa mbaya zaidi?

    Upi ugonjwa mbaya zaidi kati ya magonjwa haya mawili yanayochangiwa na mtindo wa maisha zaidi? UKIMWI au Kisukari
  9. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni muuzaji wa jerseys na una hii jersey, pliz check me

    2003/2005 edition
  10. JamiiForums Tanzania Hivi tuna uhakika kuwa hawa watoto wa late 2000s na 2010s wanaujua ukimwi nje ndani. Tuendeleeni kuwakumbusha

    Hivi ukimwi sio tishio tena? Ni kweli maambukizi yameshuka au watu wanaishi nayo kishkaji kutokana na madawa? Mnakumbuka kipindi kile ndugu yako kila mtu amemkimbia kwake na mkimchungulia dirishani amebaki mifupa na macho meupe na amejikatia tamaa kusubiria kifo. Mnakumbuka kipindi kile kila...
  11. JamiiForums Tanzania Gzee kama hawajui mishangazi ina ukimwi na virus vikali

    Ninashuhudia walimu wa vyuo vikuu wanawake wakiwa na virus na wengine wakiaga Dunia. Walimu wa vyuo wa umri kati ya 35-50 sio salama kwa nyie G-zee. Unalikuta ni linene ni mnene kumbe ni muathirika. JAMBO lingine bodaboda wamemaliza MTAANI Sasa wamerejea vyuoni. Wanafunzi weng wa vyuo vikuu...
  12. JamiiForums Tanzania Eti UKIMWI ni ugonjwa ? 😆 mtu anagamba public kabisa na kudai UKIMWI ni ugonjwa !! Nani alikufa na ukimwi?

    Eti UKIMWI ni ugonjwa ? 😆 mtu anagamba public kabisa na kudai ukimwi ni ugonjwa !! Nani alikufa na UKIMWI..?
  13. JamiiForums Tanzania Mda mwengine tuseme ukweli, kinondoni kuna watu ni mashoga na wana ukimwi.

    Mimi uwezi kunidanganya kino kuhusu ujinga wao. Mfano wasanii na maisha yao na tabia mishangazi ni kino. Dotto magari njoo uchukue dawa za ukimwi ili usije kuonesha kichaa chako steji ya ukimwi ulipofikia.
  14. JamiiForums Tanzania Ukimwi wa miaka ya tisini unamtesa Rapper Camron, anaropoka kama kichaa

    Natambua kuna kundi la wamarekani weusi wanajiita Foundational Black Americans ( FBAs) , hawa ni " CULT" ambao wana amini kwamba mababu zao ( watumwa weusi walio tumikishwa kwenye utumwa) hawakutoka Africa bali walikuwa indigenous to the Americas kama tunavyo waona Australian aborigines...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna binti mtaani kwetu anatumia uzuri wake kusambaza UKIMWI

    Habari zenu wakuu Hili jambo limenisikitisha sana aisee,, kuna kabinti kamoja kako mtaani kwetu huku wanasema hachagui habagui yoyote yule anayejitokeza mbele yake anapita naye na wengi huwa wanapagawa na kashebu na kasura yake kazuri ila ni moto wa kuotea mbali Tunatakiwa tuwe makini sana...
  16. JamiiForums Tanzania Ukimwi hauui ila Mapenzi yanaua.

    Tumia KONDOMU. Usiseme sijakwambia. Sirudii mara 2 nikipita nimepita. Vaa Condom.
  17. JamiiForums Tanzania Gen Z Jihadharini na UKIMWI: Bado Upo na Unaua!

    Star mrembo wa Holywood alikuwa na miaka 36 tu kakauka kwa umeme, Kuanzaia mwaka 1985 hadi 1995 Ukimwi ulikupurukitsiha sana vijana lakini baada ya ARV kugunduliwa, inaonekana vijana wengi wamesahahu kuwa ukimwi bado upo.
  18. JamiiForums Tanzania Homa ya ini ni hatari kuliko ukimwi?

    Homa ya ini ni hatari zaidi kuliko UKIMWI kwa sababu virusi vyake vina nguvu kubwa na vinaambukiza kwa urahisi wa hali ya juu. Virusi vya homa ya ini (hasa aina ya Hepatitis B) vina uwezo wa kuambukiza kwa kasi ya mara 50 hadi 100 zaidi ya virusi vya UKIMWI (HIV). Pia, virusi hivi vinaweza...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini ukimwi ulianzia mkoa wa kagera?

    Tusaidiane wajuzi na wanahistoria kagera ndio ilikuww mkoa wa kwanza kuleta maambukizi ya ukimwi tanzania
  20. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kutibu UKIMWI

    Nimetafakari sana kisha nikajiuliza, inakuwaje leo hii Teknolojia imekua sana kuliko hata miaka hiyo ulipogunduliwa UKIMWI lakini bado dawa ya kutibu kabisa UKIMWI haijapatikana? Naomba mchango wenu wa fikra.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…