Kati ya UKIMWI na Kisukari upi ugonjwa mbaya zaidi?

Kati ya UKIMWI na Kisukari upi ugonjwa mbaya zaidi?

Kati ya UKIMWI na Kisukari unafikiri ugonjwa upi mbaya zaidi?


  • Total voters
    42
Ngwengwe ni habari nyingine aiseee msichukulie poa, imepata uafadhali kidogo baada ya ARV, ila ya miaka ya 2002 kushuka chini watu walikuwa wanazikwa na kilo 10. Sitaki kukumbuka miaka ile, mgonjwa alikuwa anafungiwa ndani asionwe na watu.
Ilikuwa hatari sana, watu walikuwa hadi wanaogopa kumgusa au kula na mgonjwa wa UKIMWI.
 
Back
Top Bottom