binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Inasemekana… ngoja wataalamu waje kutupa muongozo.Wanaume wenye sukari jongoo hapandi mtungi??
Inasemekana… ngoja wataalamu waje kutupa muongozo.Wanaume wenye sukari jongoo hapandi mtungi??
Kitachokusaidia labda uwe bado una umri mdogo lakini kama umevuka 20+ basi unazeeka na ujinga wako! hata mwendawazimu anazeeka🙆♀️🙆♀️🙆♀️Ngoja wagonjwa waje waseme…
Mgonjwa alikuwa anatengwa chumba chake hadi vyombo vya chakula anatengewa pembeni, yani hata kama ni nduguyo hata kumuangalia usoni unaona noma na ukimuangalia usoni anakumaindi. Acha kabisa mkuu.Ilikuwa hatari sana, watu walikuwa hadi wanaogopa kumgusa au kula na mgonjwa wa UKIMWI.
Dah hiyo id najionaga mm mtupu, uliniwahi mkuu hongeraKisukari ni hatari zaidi
Stress yake hatuijui, tuelezee experience yako mkuuWazee hivi mnaujua ukimwi?
Hivi mnaijua stress ya ukimwi nyinyi?
Ukimwi ni mbaya sana,Mungu tusaidie.
Asante mkuuDah hiyo id najionaga mm mtupu, uliniwahi mkuu hongera
Inasikitisha sana.Kitachokusaidia labda uwe bado una umri mdogo lakini kama umevuka 20+ basi unazeeka na ujinga wako! hata mwendawazimu anazeeka🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Magonjwa yote mabaya, ingawa kisukari hakiambukizwi.Upi ugonjwa mbaya zaidi kati ya magonjwa haya mawili yanayochangiwa na mtindo wa maisha zaidi? UKIMWI au Kisukari
Huo uafadhali wa ARV sasa ndio maana tunasema bora HIV, sukari Haina uafadhali Haina ARV zakeNgwengwe ni habari nyingine aiseee msichukulie poa, imepata uafadhali kidogo baada ya ARV, ila ya miaka ya 2002 kushuka chini watu walikuwa wanazikwa na kilo 10. Sitaki kukumbuka miaka ile, mgonjwa alikuwa anafungiwa ndani asionwe na watu.
Kwa mbinde sanaWanaume wenye sukari jongoo hapandi mtungi??
Unakunywa chai amboyo haina sugarUkimwi ni GOAT. Sukari inatibika kwa Sasa.
Usingoje dalili kama ni ndani ya saa 48 wahi PEPPNje ya mada.
hivi baada ya tendo inachukua muda gani ili dalili za UKIMWI zianze kuonekana maana daah
Ukimwi ndio mbaya sana kwakua hadi sasa hauna tiba iliyyogundulika,Upi ugonjwa mbaya zaidi kati ya magonjwa haya mawili yanayochangiwa na mtindo wa maisha zaidi? UKIMWI au Kisukari