Kati ya UKIMWI na Kisukari upi ugonjwa mbaya zaidi?

Kati ya UKIMWI na Kisukari unafikiri ugonjwa upi mbaya zaidi?

  • Total voters
    42
AIDS hauwezi kukatwa mguu, ila sijasema sio noma!

Sio kila mwenye kisukari anakatwa mguu. Ukiona mtu mwenye kisukari (aina ya pili) amekatwa mguu huyo kuna kitu amekizembea na ndio wale wameshajikatia tamaa wanaishi maisha ya kawaida.

Kisukari type II kinapona (remission) na masharti yake ni maisha haya haya ya kawaida ambayo watu wenye afya nzuri wanayafuata. Still nachagua DM Type II.​
 
Ngwengwe, unakunywa Pepsi 5 kama hauwezi kunywa bia Tano, baada ya kushiba wali, hayo ndio maisha yetu ya kawaida... Waswahili tunatafutia tumbo
 
Kumbuka pia ukiwa na HIV bado usipobadilisha mtindo wa maisha una chance kubwa ya kupata Kisukari kuliko mtu asiye na HIV. Kuna baadhi ya dawa za ARV zinaongeza mafuta mwilini na zinaathiri viungo vya mwili. Kwa hiyo ni bora Kisukari aina ya pili unaweza ku reverse au kukikontrol vizuri bila shida.

Kuwa na HIV na ukimwi changamoto zake ni nyingi zaidi.
 
Ngwengwe ni habari nyingine aiseee msichukulie poa, imepata uafadhali kidogo baada ya ARV, ila ya miaka ya 2002 kushuka chini watu walikuwa wanazikwa na kilo 10. Sitaki kukumbuka miaka ile, mgonjwa alikuwa anafungiwa ndani asionwe na watu.
Hawa watu wanafanya mchezo na Umeme...
Ngwengwe ni habari nyingine aisee..
 
Ngwengwe ni habari nyingine aiseee msichukulie poa, imepata uafadhali kidogo baada ya ARV, ila ya miaka ya 2002 kushuka chini watu walikuwa wanazikwa na kilo 10. Sitaki kukumbuka miaka ile, mgonjwa alikuwa anafungiwa ndani asionwe na watu.
Yeah, A.K.A mimi
Natesa sana ninapokuingia mwilini
Akina gono, kaswende wote baba yao mimi
Amini mimi ndio kubwa la maadui
Na leo nakuja kwako usizuge kama hunijii
 
Back
Top Bottom