ukiona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pang Fung Mi

    Hakuna mwanamke wife material ukiona ametulia ujue amekupata na anasubiria kujipata ili ujipasue akili

    Sina haja ya kusema mengi sana ukweli ndio huo kama mnavousoma hapo juu, hakuna kitu kinaitwa mwanamke wife material hakunaga, ukihisi umempata ujue kabisa umepatikana. Akijipata ndio utajua kwanini Yesu yuko mbinguni ila shetani katulia kimpango wake toka enzi hapa duniani. Tuendelee n...
  2. F

    Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria, usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli

    Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria. usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli. utakuja kunikumbuka baadae
  3. M

    Ukiona wanakung'ang'ania wakupe utajiri wa haraka jua wamekuona akili yako ni chenga

    UkIONA WANAKUNG'ANG'ANIA WAKUPE UTAJIRI WA HARAKA JUA WAMEKUONA AKILI YAKO NI CHENGA 😔 Umewahi kusikia watu wakijinadi kutoa utajiri wa HARAKA? Yaani kulala maskini na kuamka tajiri? Taarifa isiyopendeza ni kuwa kama nawe ni mmoja wa wateja wao basi jua kuna kitu kwako hakipo sawa na tayari...
  4. N

    Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema

    Habari wapendwa! Katika maisha yangu ya kiutumishi mpaka sasa nimegundua kuwa watu wengi wanaishi kwa mapenzi ya wachawi, watu wengi wanakufa kabla ya siku zao, watu wengi ni masikini kwa sababu ya vifungo walivyo navyo, watu wengi wanaishi maisha ya shida ambayo sio kusudi la Mungu wao kuishi...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Wakuu mpo Salama! Kuna Watu hawajui kuwa namna uzee unavyoingia. Sio ajabu wameshaingia uzee lakini hajui au hawana uhakika. Sasa hizi ni moja ya dalili kuu zinazoashiria kuwa unaingia katika uzee. 1. Kufananisha Watu au Mahali au matukio Kuna ile ukimuona mtu unafikiri ulimuona wapi hata...
  6. Kaka yake shetani

    Ukiona hupigiwi simu, status huwekwi, huna likes kwenye mtandao ya kijamii ujue thamani yako imeisha

    Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza. Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu. Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
  7. M

    Umewahi kuwa na rafiki ambaye kila ukiona tu simu yake unajua ana shida na inakuwa kweli

    UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA. Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana. SIFA ZA WATU HAO 1.Wakiwa hawana shida wanapunguza ukaribu kwako tena wanakuwa bize hatari. 2.Wakikaribia mazingira ya...
  8. G

    Ukiona mwenzako ananyolewa. Kwa mara ya kwanza siku ya jana umeme umekatika usiku mzima katika mtaa tunaokatiwa mara chache

    Huu mtaa tulishani hatuguswi na matatizo ya umeme kukatika usiku, siku ya jana umeme umekatika mida ya saa tatu tukadhani utarudi saa nne, subiri mpaka tano hakuna kitu. Ni mpaka asubuhi saa mbili ndio umewashwa, hapa watu wameanza kuchaji power bank zao na kunyoosha nguo jioni muda huu...
  9. Mjanja M1

    Video: Ukiona katanuka Vidole vya mguuni usioe

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Video ya muhenga akitoa ushauri kwa vijana kuhusu Mke wa kuoa. Muhenga huyu moja ya sharti alilotupa vijana ni kutooa Mwanamke mwenye Vidole vilivyotanuka miguuni. ANGALI VIDEO HAPA Je ni kweli wanawake wenye Vidole vilivyotanuka wana matatizo...
  10. Kaka yake shetani

    Source code ya mahari kubwa ishara unayemuoa sio wife material kwa dunia hii

    Habarini wana JF na mvua za hapa na pale. Jana tumetoka kutoa mahari tukimsindikiza jamaa mmoja ila tulipofika mimi sikujua mahari ila kwa vile sio mambo yangu pale kwenye mahari ilikuwa ndogo kulingana na kipato chake kama alivyokadiriwa. Asilimia kubwa za familia ukiona unawekewa mahari kubwa...
  11. Kidagaa kimemwozea

    Daliliz za mchepuko😂

    KUPENDA KUTEMBEA NA MIPIRA YA KINGA Ukiona mpenzi wako ana tabia ya kubeba kondomu kwenye pochi yake au mfukoni kwa kisingizio kuwa anajali, elewa kwamba yuko katika mahusiano na mtu mwingine. UTATANISHI KATIKA MATUMIZI YA SIMU Ukiona simu zinamiminika mpaka usiku wa manane naye anapokea kwa...
  12. N

    Fanya hivi ukiona mwenza wako kabadilika

    Kwa kawaida hakuna mahusiano yanayokosa changamoto hata kama mpo ndani ya ndoa, vikombe kabatini tu vinagongana sembuse binadamu wawili waliokutana ukubwani na wote wakiwa na meno 32. Huwa inatokea kuna wakati mnafurahia sana mapenzi yenu lakini pia kuna wakati shetani anaingilia kati na kuanza...
  13. S

    Ukiona anasita au hataki kukuoa daka ujauzito halafu goma kuutoa, atakuoa tu

    Mnakwama wapi akina dada mnaopotezewa muda na hawa wanaume viruka njia? Yaani una date na mtu mwaka mzima au zaidi halafu haongelei ndoa? Sasa nawapeni mbinu itakayo walazimisha wawaoe. Mbinu yenyewe simple tu. Daka ujauzito halafu mpe taarifa mapema kabisa kuwa umedaka. Utaona qnatepeta na...
  14. GENTAMYCINE

    Ukiona kuna Nafasi ya Uteuzi iko wazi na anafutwa Mtu halafu kisha akajadiliwa mno JamiiForums jua kwa 100% hapati tena

    Kabla ya Kukurupuka kuja Kubishana nami juu ya hiki nilichokisema tuliza Kwanza Akili yako, fanya Utafiti wako hapa JamiiForums na nina uhakika mwishoni utakubaliana nami 100% Na mara nyingi hii huwa ni Strategy ya System na Wasaga Kunguni ( Watu wasiopenda na kukupenda ) katika kutaka kujua ya...
  15. Suzy Elias

    Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi shtuka hakuna kiongozi hapo

    Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi. Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo; ....uongozi duni. ....huduma za jamii kulemaa. ....upungufu wa umeme. ....ufisadi kutamalaki. ....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi...
  16. Tajiri Tanzanite

    Saa zingine ukiona unagombana na mpenzi wako ni sauti ya Mungu, tii na uondoke haraka

    Hapo vipi? Kuna miaka fulani hivi, limwanaume mmoja tahira bora angekuwa mti wa mapera..yaani yeye kuna demu sijui anampenda sijui ndio kulogwa. Ipo hivi, kuna kuna siku huyo demu anampiga anamuambia toka kwangu sikutaki huyo jamaa kin'gang'anizi hatari, halafu jamaa anakopa mpaka pesa kwa...
  17. DR HAYA LAND

    Ukiona upo eneo fulani ila haupigi hatua, ebu jaribu kuhama hilo eneo

    Kuna aina ya mazao ambayo hauwezi kuyapanda katika Eneo fulani na yakakua na kustawi vizuri mfano hauwezi kupanda mpunga sehemu ambayo haina maji ya kutosha na ukakua na kustawi. Kimantiki na kimaana 👇 Hivi ndivyo zilivyo ndoto zetu kuna baadhi ya maeneo...
  18. mlinzi mlalafofofo

    Ukiona Mdada anakusalimia basi jiandae kwa haya yafuatayo

    Amekwama - anataka msaada wa pesa aka maokoto Amepotea - anataka mtu wa kumwelekeza sehem anayoenda Malizia.... Bandugu tusalimie sio hadi mkwame ndo mnarudi kutusalimia - tutawapotezea!
  19. The Wolf

    Ukiona umepewa kiti kwenye meza ya wakubwa, jifikirie mara mbili

    Ninaandika hili nikiwa na maoni chanya kabisa kwa ajili ya nchi yangu. Napenda kumpongeza sana Speaker kuteuliwa kuwa kuwa president wa IPU. Ila Napenda kumkumbusha kuwa asije kuwa kibaraka against our national interest, wote tunajua kuwa hizi international organizations ni tools za mataifa ya...
  20. Kidagaa kimemwozea

    Ukiona kijana tajiri ujue ni mwizi, aliachiwa pesa na baba yake au beti

    Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli! Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha? Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa...
Back
Top Bottom