ukiona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Ukiona mpaka navaa Condom tafsiri yake sina imani na afya yako

    Huwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue Condom na alivoona sitaki kuvua akaniuliza "huniamini" ??? Mpaka navaa Condom tafsiri yake ni kwamba...
  2. S

    Ukiona mpenzi wako anapaka "make up" na anavaa mawigi ya 800k ujue umepigwa (ni sura mbaya). Wenye sura zao wananawa tu na wanasuka "twende kilioni"

    Ewe mwanaume, ukiona mpenzi wako anahangaika sana na make ups pamoja na mawigi ujue una mpenzi mwenye sura ya kiume lkn ana jinsia ya kike. Kachukua kila kitu toka kwa babake isipokuwa jinsia. Kiufupii umepigwa mwana kwetu. Pole sana. Wenye sura zao huwa wanapakaa povu la sabuni mwilini mwao na...
  3. fungi06

    Ukiona taifa linapoteza hofu na Mungu ujue siku zinafika soon

    Siku hizi chache hapa jukwaani kumekua kuna rise threads nyingi zikihofia uwepo wa Mungu!, Binafsi nipende kutoa Onyo! Mungu akikasirika hii hii mitandao tunayo itumia kumdiss ataitumia kutuchapia nayo, na haki hamna atakae furahia kichapo hiki cha Mungu+ Si mnaona jinsi now mambo yanavyo...
  4. kagoshima

    Imefikia hali Tanzania ukiona umeme haujakatika ndani ya siku mbili au tatu unashangaa kulikoni

    Nilikua Morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
  5. Mwizukulu mgikuru

    Ukiona watu wanalazimisha sana salaamu kutoka kwako ujue tayari umewazidi kitu

    Salaamu ndio desturi hasa katika jamii zetu hapa Tanzania, lakini kuna baadhi ya mikoa ambayo kuna wimbi kubwa la jamii ya watu Ambao hawaja staarabika. Mfano mkoa wa Geita ni kawaida sana kumpa mtu Salaamu na akakataa kabisa kuitikia tofauti na mikoa ya pwani kama Tanga na kwingineko. Mikoa...
  6. Mathanzua

    Ukiona mwenzio ananyolewa na wewe tia maji. Mioto mikali inayoikumba Marekani, Ulaya na karibuni Haiti, inasababishwa na geoengineering

    MAMLAKA YA KUFICHUA UOVU Mathayo 10:926-28 26 Basi, msiwaogope, kwa maana hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa, ambalo halitajulikana. Mathayo 10:26 27 Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba. 28...
  7. NetMaster

    Ukiona biashara unayofanya haina madoni ni ngumu sana kutoboa

    Kilimo kina madoni Uchimbaji madini una madoni Vitenge kuna madoni Car wash zina madoni Bar zina madoni, samaki zina madoni restaurant zina madoni hii ni mifano kwamba pana uwezekano (sio guarantee) wa kutoboa hata ukiwa kwenye kundi la wengi waliopiga hatua ukiachana na madon wachache...
  8. THE BIG SHOW

    Sheikh Mazinge ukiona mtu mwanasiasa anamtukana Rais Samia basi ujue kachanganyikiwa

    Friends and Enemies... Sheikh Machachari wa minakasha na makongamano nayeye amevunja ukimya DHIDI ya wanasiasa na wale ambao wamekuwa vinara wa kauli chafu na matusi DHIDI ya Rais Samia. Sheikh MAZINGE ameendelea kusema kwamba wengine ndani ya nchi hii walikuwa wakimbizi wakaihama nchi pasipo...
  9. H

    Ukiona mtandao wa simu unakupa sms 10 kwenye kifurushi cha 1500 au 2000 ujue hali ni mbaya

    Salam, mambo ni mengi kwa sasa tuendelee tu Hii mitandao ya mawasiliano sàsa naona kama iko taabani. Inaonekana inapumulia mashine ya gesi ila yanajikaza kisabuni. Yaani sms za kuhesabu sàsa hivi tofauti na zamani. Huwa nikijiunga kifurushi huwa siangalii sms ziko ngapi, huwa najua zipo tu...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiona kiongozi anatumia Lugha za kutisha Watu, jua huyo ni dhulmati" mdhalimu", mashetani ndio hufanya hivyo

    UKIONA KIONGOZI ANATUMIA LUGHA ZA KUTISHA WATU, JUA HUYO NI DHULMATI"MDHALIMU", MASHETANI NDIO HUFANYA HAYO. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Saikolojia ya mtu mwovu anapokabiliana na Mijadala hukimbilia Vitisho. Yupo mwovu hutoa vitisho Kwa sababu ya kuficha Maovu yake...
  11. D

    Ukiona mtu anayeamini kuwa yeye ndo ana akili peke yake muogope kama ukoma

    Nimekuwa nikimsikia Slaa kila mara akimsema yeyote anayempinga kuhusu upotoshaji wake eti siyo size yake. Majuzi tu alimwambia rostam Aziz eti siyo size yake na Leo kamwambia Feleshi eti siyo size yake na ikumbukwe aneshamwambia Nape eti siyo size yake na kuna siku alimwambia Zitto eti siyo size...
  12. Pdidy

    Ukiona mtu anapambana na Watumishi wa Mungu usibishane nae angalia amefanya nini kwanza

    Nimeona roho za kupinga Watumishi wa Mungu zikisambaa vyema kama unaweza watu wa aina hii usibishane nao we angalia wao wanapiga kelelee wamefanya nn juu ya Mungu Ukiona hamna kitu ujue basi we kazi yako nenda kapokee kile Mungu amekuandalia kwenye maisha yako na sio kuungana kushindana nao...
  13. S

    Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

    Jifunze Kusoma Alama za Nyakati.. Siku Zote Ukiona Ulinzi ni Mkubwa Basi Jua Kuwa Usalama ni Mdogo.. Na Laana Yako Inaweza Kuwa Mwanzo wa Njia za Baraka Yako Pia. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Kaini mtoto wa Adamu alilaaniwa baada ya kumuua Ndugu yake Habili. Alilaaniwa Ktk...
  14. B

    Kwa Afrika ukiona Chama au Kiongozi amedumu madarakani ni kwa sababu anauza maliasili za nchi kwa mabeberu

    Nihakikishie ulinzi na kupita kwenye uchaguzi tutayajenga. Ndio sababu hata watawale miaka 1000 faida zitokanazo na Rasilimali za Nchi hamtaziona kamwe. Mikataba ya Siri, vikao vya siri, chaguzi haramu, mikopo ya kumwaga. Ili kuepuka mtego huo Kiongozi au Chama chake ni lazima kichague njia...
  15. GENTAMYCINE

    Tunaoicheka Yanga SC sasa kwa kufungwa Juzi ukiona marejeo ya tarehe 3 wanafanya hiki jueni kwa 100% wanabeba Kombe la CAFCC

    Mkiona Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto Siku hiyo akiomba Waanze Wao Kuanzisha Mpira na waanzie Goli la Kusini na Mchezaji wao Aziz K au Fiston Mayele au Kenmeth Musonda Refa akipuliza tu Filimbi Mechi kuanza wakiupiga mpira upande wa Kulia wa Uwanja kutokea Goli la Kusini...
  16. W

    Mji mkuu ni sawasawa na kichwa/uso kwa bondia, ukiona panagusika hapo kila mara jiulize mara mbilimbili katika unayoyasikia!

    Ndo hivyo wakuu, ukiona bondia anapigika usoni kirahisi ujue mambo si mambo hapo. Vivo hivyo kwa nchi zinapopigana, ukiona kila mashambulizi yanafika mji mkuu yakupasa uwe makini kweli na meeeeengi unayoyasikia......hususani kutoka upande huo wenye mji unaoshambuliwa. Yote kwa yote, vita ni...
  17. Infinite_Kiumeni

    Ukiona ishara hizi 12 ujue mwanamke anataka mrudiane lakini bado anasitasita

    Si rahisi kujua kama mwanamke anataka mrudiane. Hasa pale unapokua humwelewi kwa vitu vinavyotokea. Kutokana na wanaume nliowasaidia kuwarudisha ma ex wao. Wakiachwa wampe muda huyo mwanamke bila kumtafuta. Na baadae mwanamke anaanza kujirudi tena, nimeona hivi vitu vinajirudia rudia. Nawe...
  18. jastertz

    Ukiona mwanaume anaogopa wanawake wa Kaskazini huyo ni Mvivu

    Sio kwa ubaya lakini kusema wanawake wa kanda ya Kaskazini hawafai jua wewe ni mvivu unapenda mseleleko, Wale ukiwatumia vizuri kutoboa kimaisha ni chap tu, hawazi mapenzi muda wote kama waliopo let say tanga hivi au dar. shida ni unapata demu badala umtumie katika kufanikisha michongo yako...
  19. Hemedy Jr Junior

    Ukiona Mwanaume anatetea sana Wanawake tambua kuwa ni mpenda Ngono

    Niulize kwanini...... Fanya tafiti ndogo sana watu ambao wanatetea wanawake, mtego wao mkubwa ni kutunukiwa hakuna kingine, ni wachache sana kukuta Mwanaume kamili yuko anazungumzia masuala ya kike mara apate haki fulani. Wengi ni wapenda NGONO ndo maana upiga kelele sana, Mwanaume kamili...
  20. GENTAMYCINE

    Wazungu ninaowajua Mimi ukiona wanakusifia Mwafrika jua yafuatayo...

    1. Wewe ni Empty Set 2. Wameshakudharau 3. Wanakusanifu 4. Wanafaidika nawe 5. Wamekutega na Umetegeka 6. Watapenda usiishie tu Kuwakaribisha Sebuleni Kwako bali watapenda hadi Chumbani ( Bedroom ) Kwako waingie. 7. Watakuambukiza Laana na Dhambi isiyosamehewa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu...
Back
Top Bottom