ukitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

    MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu. Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
  2. Ukitaka kujua kama simu ni ya mkopo haijamaliza deni unafanyeje ?

    Naomba jibu la hilo swali langu Maana Mtu anaweza akakopa simu akaitumia ikawa used halafu akaiuza kwa mtu mwingine. Bila kumuambia simu ina deni
  3. Ukitaka ujue ujinga wa watanzania angalia Azam sasa hivi ishu ni Simba na Azam

    Watanzania mambo ya msingi hawayapi kipaumbele ila mambo ya ujinga ndio wanayapa chapuo.
  4. Ukitaka kupata Papuchi, Usiitake. Yenyewe ndo itakutaka. Yamenikuta

    Huyu bidada nlikutana naye ofisi moja hivi nikampenda maana utadhani mtutsi au msomali. Shape anayo, sura anayo, rangi anayo. Akili? Sijui. Anyway mi sina lengo la kumsomesha wala kumtungia mitihani. Hayanihusu. Mjini tunabadilishana biz cards. Na tukaona tuseviane numbers pia. Basi nikawa busy...
  5. Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

    Hakikisha ngozi yako inanukia pesa (imenawiri, na vinyweleo vimesimama na kutoa jasho) Mwili wako unukie vizuri, sio ile harufu kali ya kutisha Uwe na biashara yako/ofisi yako inayoeleweka. Uwe ni mtu wa kuongea maneno machache ila vitendo viwe vingi Usiwe mtu wa makundi, ishi mwenyewe mwenyewe...
  6. Kumbe mlikuaga mnakula misaada ya Marekani alafu mkija humu JF mnawaita mashetani mara sijui firauni, etc 😂

    https://youtu.be/ShzDBSbPbm4?si=F3MM9-KNiFf54Oqm
  7. Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

    Wamama na shangazi ukitaka wakutamkie kila Aina ya laana jaribu kuoa au kuwa na mahusiano na Single-Mother.
  8. Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

    SITAWAFUNDISHA TENA; UKITAKA MAPENZI YASIKUSUMBUE TAFUTA MWANAMKE ANAYEMILIKI PESA YAKE MWENYEWE (ANAYEWEZA KUJILISHA NA KUJITUNZA) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elewa, mwanamke Anayemiliki pesa zake mwenyewe alafu akakukubalia uwe Mchumba au mpenzi wake huyo kuna uwezekano wa asilimia...
  9. Beatrice Mwaipaja, ukitaka kupona tafuta mwanaume uolewe na uachane kabisa na uzinzi

    Nawaambia walokole na watu wote mnaopata Sana mikosi Hakuna kitu kinarudisha nyuma Kama uzinzi . Dhambi ya uzinzi inaondoa kibali na unabaki kuwa mtu wa kawaida ambaye hauna impact yoyote. Beatrice Mwaipaja -uzinzi ndo umekufikisha hapo na sio huyo shetani wala mapepo . Kupata kibali cha...
  10. S

    Ukitaka kujua nchi hii ina wenyewe, uliza tenda zote za mabilioni za huduma kwenye mradi wa bwawa la Nyerere nani walipewa!

    Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu, kuanzia chakula, vifaa, huduma nk. Sana sana ulinzi ndio naona walipewa Suma JKT. Naona majina hapa ya...
  11. Ukitaka kuoa usiangalie kabila wala Nyash bali chunguza kama Baba wa mkeo mtarajiwa ni mkoloni, utakuja kunishukuru

    Malezi ya mtoto ni conditioning, na kama tunaongelea mtoto wa kike basi uhusiano wake na baba yake utakupa ishara bora jinsi utakavyokuwa ndani ya ndoa na wewe Kuna wale mababa ambao huwaita watoto wao wa kike maneno ya kiutani utani; utasikia "my little angel", "Sweetheart" na ukurutu...
  12. Picha : Ukitaka kuwa tajiri uwe na roho ngumu haswa

    Watu wanapitia mengi ila inabaki kuwa siri sirini....mkiambiwa utajiri ni siri muwe mnaelewa. sawa vijana wapenda Shortcut??
  13. Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

    Amani kwenu Mwendo kasi ni mateso Mwendo kasi ni maumivu Mwendo kasi ni majonzi Mwendo kasi ni utungu Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman YESU njoo Africa tunateseka jaman
  14. LGE2024 Kada wa CCM Mbeya: Ukivamia mikutano ya CCM umekubaliana na kuumia au kufa, tanapotafuta nafasi roho zetu zinabadilika

    Wakuu, Haya si maneno yangu ni maneno ya kada wa CCM huko Mbeya akiwa anaongea na wananchi kwenye kampeni. Akiongea kwenye kampeni kada huyu amesema kuwa alipata taarifa kuwa kuna kuna vijana wa vyama pinzani walikuwa wamepanga kuvamia mikutano ya CCM na hivyo iwapo vijana hao watavamia...
  15. Ukitaka Mwanamke atoroke kwa Nyumba, kula hii mbichi

    UKITAKA MWANAMKE ATOROKE KWA NYUMBA KULA HII MBICHI
  16. Ukitaka kufanya mambo yako kwa Amani, usiamini Mtu.

    Ni bora ukakaa na Mchawi kuliko kuwa na mtu ambaye sio mchawi ila muongo muongo na tapeli Nitoe ushuhuda tu wa matukio mawili yalio nikuta jana - Kuna sehemu nilikwenda kwenye pita huku na huku na kijana wangu, tukafika sehemu kupata Juice (Juice Point) Kwa amani ngoja niulize bei ya juice...
  17. Ukitaka ku enjoy maisha ya ndoa, is mwanamke aliyelelewa kwenye misingi ya kiislamu

    Asilimia kubwa wanaume wanaopata misuko suko ya ndoa, ni wale waliooa wanawake ambao hawaja lelewa katika misingi ya dini haswa dini ya kiislamu. Ukipata mwanamke aliyelelewa katika misingi ya dini ya kiislamu utaenjoy sana maisha ya ndoa. Wengi wao wana utii kwa wanaume wao, wana stara, n...
  18. Sina chuki na uislam ila ukitaka kuwakaribisha kwako ni lazima ufikiri Mara 10000

    Dini ya kislam ni dini nzuri saana napenda wanavyomtii Mungu wao allah Na mtume wao napenda wanavyoheshimu mila na desturi zao Ila nachukia sana kwa tabia zao Tabia Za kujiona bora kuliko wengine. Na tabia Za kutaka kutawala wengine. Hizi tabia sio nzuri katika dunia ya sasa. Mwaka 2017...
  19. Nawasihi ukitaka amani achana na Siasa kama mimi

    Kupanga ni kuchagua na kuamua ni uhuru, ukiachana na siasa raha sana, maisha burudani haina mbaya haina noma sana. Kaa mbali na noma za utekaji kuna maisha baada ya siasa, Pang Fung Mi
  20. MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

    Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri. Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…