Kuna sehemu sisi jina letu ni viburi kwasababu tu, tulishindwa kuvumilia dharau zao..
Kuna sehemu sisi ni selfish people, wenye tamaa zisizo na kifani, kwasababu tu, tulihitaji maboresho ya maslahi ya jasho letu..
Kuna sehemu sisi ni wavivu na wazembe kwasababu tu, riziki yetu haifanani na yao...