Hii ndio Tanzania unayo ijuwa Hayati baba wa Taifa huko kaburini ana wish afufuke aje awachape viboko. Taifa alilo lijenga na kuweka misingi yake limetumbukia zama mpya zama zinatisha kuliko zama za ukoloni.
Mwalimu ktk moja ya hotuba zake kuna wakati alilisema hili nadhani watu wachache sana...
Kichwa cha uzi chahusika, ndugu zangu kuna project ninataka kwenda kuifanya Wizara ya kazi. Je ni lazima niende Dodoma au ofisi ya wizara ya kazi ya DSM bado inatoa huduma?
Anayefahamu kuhusu hili naomba afunguke tafadhali.
WITH MUCH THANKS IN ADVANCE
Mpingo ndio unafaa kwa kuchonga kinyago. Hivyo hivyo,tukitaka kujenga Taifa lazima kwanza tuwe na watu wanaoridhia kuwa Taifa moja.
Vinginevyo, mahusiano katika Taifa yanakuwa kama ndoa ya kulazimishwa.
Modern state inahitaji Kiongozi awe mmoja tu katika mioyo ya watu. Nilipokuwa China, wakati...
1. Siku hizi kuna Wanaume kwani?
2. Sina hata haja na Wanaume.
3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu.
4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu.
5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae.
6. Wanaume ni Waongo sana.
7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli.
Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini.
Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza.
Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa...
USIMPIGIE MTU SIMU ZAIDI YA MARA 2 MFULULIZO
- labda kama ni jambo lenye haraka sana, subiri mpaka wakupigie.
UKIKOPA, LIPA!
-Rudisha kabla hata hujaoulizwa au kukumbushwa
UKITOLEWA DINNER AU LUNCH
-Usiagize vyakula vya gharama sana na mara nyingine ununue wewe
KUWA NA UTU
-Kwa wahudumu...
Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana
Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad
Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua .
Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
Habari wanajamvi hili na poleni pia hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku. Leo nimekuja kushika mkono vijana ambao kila kukicha wanahaha kuzitafuta pesa kila pande za dunia. Utakuta kijana anahangaika Mara kubeti Mara ajira Mara kuiba Mara hivi Mara vile miaka nenda rudi.
Sasa kijana naomba...
Huwa nasikitika sana ninapotoa ushauri kwa watu wenye mitaji mikononi,hasa wale wanaotoa na kuandika thread kuwa wana kiasi "flani cha pesa" Je wafanyie nini?
Ukweli ni kwamba kila mtu hapo alipo ktk chochote anachofanya kumuingizia kipato anajua hela anayoitafuta anataka kuifanyia kitu...
Kabla jua halijazama niseme hili;
Ukitaka kutambua jamii Fulani inajitambua, basi tembelea Maeneo Yafuatayo;
1. Makazi Yao.
Makazi Yao yapo kwenye mpangilio. Kuna miti ya kutosha ya hewa, Bustani na Maua yakupendeza.
Kuna sehemu maalumu za kuhifadhia taka, pia Choo kipo cha kiungwana.
Makazi...
Hii ishu siyo ya kidemokrasia kabisa. Kwanza inamnyima haki ya kidemokarisia mwananchi mpaka alazimike kuwa kwenye haya magenge ya siasa.
Pia inawanyima wananchi kuchagua wampendae, badala yake ni kama kwa sehemu wanachaguliwa na haya magenge. Fikiria kuna wagombea labda 3. Kila mtu/watu...
Mipango yako unaipanga wewe, elewa changamoto za wivu zipo kwenye maisha.
Good morning JF.
Mod I expect you to delete this nonsense if not I can live with the message.
Happy new year JF
UKITAKA KWENDA MBALI, NENDA NA WENZAKO - MAHUSIANO YA DIPLOMASIA
Matokeo Chanya ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yashusha neema kwa Watanzania leo tunashuhudia Ujumbe wa Wawekezaji zaidi ya 120 kutoka Nchini Misri hii imetokana na Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwezi Novemba...
1. Penda Kujichanganya nao kupiga stori ukiwa na muda
2. Ukibakiza vichenji chenji wape
3. Ukijua wanavuta Bangi au Pombe siku ukiwa nazo mfukoni wanunulie
4. Ukisikia Mmoja wao kakamatwa onyesha hata kinafiki tu kuwa unampambania Kumtoa
5. Wakosoe kwa kuwajenga na siyo kwa Kuwadhalilisha na...
Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi.
Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
Naomba nitambulike hivi hivi kama Mzee wa Old School. Story nitakayo waeleza hapo chini ni ya kweli hivyo ni vizuri ndugu unaesoma usiishie kusisimkwa, kuhuzunika ama kucheka, bali fanyia kazi ili kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha kwa sababu siku zote 'maisha ni vita' kimwili...
Watz wanawasiwasi na chanjo ya uviko 19 kutoka kwaabeberu.
Hata hivyo vitabu vyote vya elimu mashuleni, vya mitaala, kiada kwa miaka zaidi ya 10 vinafadhiliwa na pesa za mabeberu.
Ukitafakari kwa kina utaona kabisa ule usemi wa kimombo usemao
if you want to destroy any nation without war...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.