Ameandika ndugu Christopher
Ukitaka kuwatawala masikini, unawagawa tu. Unahakikisha wale masikini wajingawajinga unawapa mamlaka ya kipolisi, unawapa bunduki, au upendeleo kidogo tu, halafu unawaambia hawa wenzenu (masikini wenye akili akili) ni wachochezi hawaitakii mema nchi yetu. Halafu...