Wakazi wa maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam wanatarajiwa kukabiliwa na upungufu wa huduma ya maji kwa siku nne kuanzia kesho Jumanne, Novemba 3 hadi 6, 2026, wakati Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) ikifanya matengenezo ya bomba kuu lenye kipenyo cha inchi 72...