Hapa ndipo vita vilipofikia.
Baada ya askari wa Ukraine walioingia eneo la Kursk mwaka jana kuzingirwa na kuwa karibu na kifo,raisi wa Marekani amewaombea huruma askari hao kutoka kwa raisi wa Urusi
Akiandika kwenye mtandao wake wa Truth ,Trump amemuomba Putin awaache askari hao warudi kwao...
Watu wanchekesha sana, eti Urusi anapelekeshwa na kanchi kadogo ka Ukraine!
Huwa nasema siku zote kwamba Urusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 pale Ukraine.
Ukraine ipo tu pale kama platform, kama uwanja wa vita baina ya NATO na Urusi.
Hata Trump alimwambia Zelensk kama sio USA basi vita...
Serikali ya Marekani imerudisha tena usaidizi wake kwa Ukraine baada ya Ukraine kukubaliana na Marekani juu ya mpango wa usitishaji vita kwa siku 30.
Mara baada ya uamuzi huo, misaada mbalimbali ilianza kuingia kwa kupitia Poland.
Kwa upande wa Urusi, imeshindwa kutamka lolote kuhusiana na...
Ukraine imekubali kupitisha pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano mara moja kwa siku 30 katika uvamizi unaoendelea wa Russia dhidi ya nchi hiyo ya Ulaya Mashariki, ikisubiri Moscow ikubali masharti hayo hayo, kulingana na taarifa ya pamoja ya maafisa Jumanne jioni.
"Ukraine ilionyesha...
Mimi sio mtaalam wa mambo ya mataifa. Lakini ilivuma sana kuwa Russia imewekewa vikwazo ilivyoivamia Ukraine.
Kwanza ulaya ilisapoti sananvikwazo na marekani wakapilia msumari.
Hadi kufikia sasa Russia anahali gani wakuu msaada wenu
Wanaukumbi.
Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha mapigano na amani yafikiwe na Ukraine.
Trump pia amesitisha usaidizi wa kijeshi na ushirikiano wa...
Wakuu,
Baada ya kukata misaada ya kifedha na misaada ya silaha Ukraine sasa Trump ameamua kuikatia Ukraine taarifa zote za kijasusi na za kiusalama zinahusiana na vita yao dhidi ya Urusi.
Taarifa hii imetolewa muda mchache uliopita na gazeti la Marekani la Financial Times ikiwa pi ni siku...
UTANGULIZI:
Mwaka 2003 Marekani ilivamia Iraq kimabavu na kumuondoa raisi wa nchi hiyo.
Mataifa mengi ya Ulaya yalimuunga mkono Marekani kwamba anapambana na serikali dhalimu inayohifadhi magaidi na kumiliki silaha za maangamizi. Jambo ambalo ilikuja kufahamika baadaye kwamba halikuwa na ukweli...
Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani.
Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake.
Viongozi waliohudhuria ni...
Alisema anajua. Anatafutwa na Marekani na siku yoyote atauliwa
BAADA ya kifo sikuwahi sikia HATA nchi ya afrika uliohuzunika na kusema polen WA Libya
Mwamba huyu NDIE PEKEE aliapa kama Marekani wanataka mafuta basi iwe kwa MASLAHI ya wananchi wake
Akawawekeaaaa masharti wakamkataliaa hahaha...
UTANGULIZI: JE, VITA KATI YA NATO NA URUSI VINAWEZEKANA?
Mvutano kati ya NATO na Urusi umeongezeka tangu kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti, lakini kwa kiwango kikubwa zaidi baada ya Urusi kuivamia Ukraine mnamo 2022. NATO ilipanua wanachama wake hadi mipaka ya Urusi, huku Urusi ikijibu kwa hatua...
Kama kuna kitu nimejifunza kutokana na kurushiana maneno kati ya Trump na rais wa Marekani na Zelensky wa Ukraine, ni kwamba vita vinaweza kusanbabisha mtu kuuza nchi yake.
Marekani imetumia pesa nyingi kumsaidia Ukraine kupambana na Urusi.
Pesa hizo ziko kwa mfumo wa vifaa vya kijeshi na...
Dkt. Tulia Ackson Mwasau, Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), alionesha ujasiri wa kipekee alipokataa kuburuzwa na propaganda za kijinga zinazolenga maslahi ya baadhi ya watu au nchi, hususan mashambiki wa Zelensky na Ursula. Katika msimamo wake thabiti, Dkt...
Hii dharau na kiburi na kujiamini kwa rais wa Ukraine ni kwa level nyingine kabisa ambayo hainawahi kuonekana Duniani.
Zelensky yuko oval ofisi ama ikulu ya Marekani na awajibi Trump na Vance kwa dharau na kiburi cha hali ya juu sana.
Trump amesema Zelensky ameidharau sana Marekani tena mbele...
Tukiona DRC kajisalimisha kwa USA ili asaidiwe kuwaondoa M23 tusishangae! Je, Putin atakuwa ameingiwa ubaridi sasa?
Habari kamili;
Ukraine imekubali masharti ya mkataba mkuu wa madini na Marekani, afisa mkuu wa Kyiv ameiambia BBC. "Kwakweli tumekubaliana na marekebisho kadhaa mazuri na tunaona...
Ukraine holds the largest titanium reserves in Europe
By Kate Varley
Ukraine's vast undersoil mineral wealth is at the heart of an economic deal which the country is currently in the final stages of negotiations for with the US.
Confirmation of the agreement is considered key to US support for...
Ukraine’s rare earth mineral wealth? It barely exists
What we are seeing is ill-informed fools arguing over nothing
Owen Matthews
A new front has opened in the Ukraine conflict over who will control the country’s supposedly vast mineral wealth after the shooting is over. Last week Donald...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.