Hotuba ya mwaka ya Putin yatowa mwelekeo wa Urusi kuhusu vita nchini Ukraine wakati rais wa Marekani Joe Biden akitarajiwa kuwahutubia washirika wake akiwa Poland baada ya kuitembelea Kiev Jumatatu.
Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi...
Putin has said, without providing any evidence, that in the west “even paedophilia is announced as a normal thing.”
He says the west recognizes same sex marriage. He says “That’s fine. They’re adults. They have the right to live their lives. We are always very tolerant about this in Russia.”...
Hivi vita vinachekesha, yaani unavamia nchi ya watu halafu unalalamika kwamba usipigwe kwenye baadhi ya maeneo ya hiyo hiyo nchi ya watu....
=================
MOSCOW, Feb 17 (Reuters) - Russia on Friday accused the United States of inciting Ukraine to escalate the war by condoning attacks on...
Msemaji wa Ikulu ya #WhiteHouse John Kirby, amesema kundi hilo limepoteza Wapiganaji wake zaidi ya 9000 ndani ya wiki 1 huku likiendelea kuajiri wafungwa zaidi kutoka Magereza ya #Urusi wengi wao wakiwa hawana uzoefu na mafunzo ya Kivita.
Jeshi la #Ukraine limesema Wapiganaji wa Wagner ambao...
Olesya Krivtsova (20) yupo kwenye uangalizi maalum akituhumiwa kuhusika kwa ugaidi baada ya kuweka maudhui katika ukurasa wake wa Instagram akiikosoa Serikali ya Urusi kwenye vita dhidi ya Ukraine.
Amefungwa kifaa mwilini ambacho kinaonesha mwelekeo wake popote alipo akifuatiliwa na Polisi...
Urusi imepokea kipigo kikali pale Ukraine na kupoteza wanajeshi zaidi ya 130,000 hadi imeanza kukusanya mateja mtaani na wafungwa kuipigania, licha ya yote hiyo imeanza kuchokoza kataifa kengine ambako kako nje ya NATO...
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov has suggested that Moldova is the...
Ukraine kupewa makombora yenye uwezo wa kupiga kwa shabaha kali sana, likatumwa ndipo linapiga...
Kipindi hiki Urusi imelemazwa na Ukraine ndio muda muafaka wa kuwezeza Ukraine pakubwa, zege hailali, Urusi isipewe fursa ya kuamka tena....
==================
Western allies pledged precision...
Marekani yaamuru hela yote ya Urusi iliyotaifishwa ipewe Ukraine.... supapawa afanye akitakacho, keshaguswa mpaka kule kule...
===================
Attorney General Merrick Garland said Friday that he had authorized the United States to begin using seized Russian money to aid Ukraine, according...
Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema Jumatano kwamba serikali yake haijaondoa uwezekano msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Awali, Israeli ilisisitiza kuwa itatoa msaada wa kibinadamu pekee, ambao nchi hiyo imekuwa ikiutoa kwa Ukraine tangu mwanzoni mwa vita.
Kulingana na Netanyahu...
Leo jumatano Wizara ya Ulinzi ya Marekani inajiandaa kutangaza msaada mpya wa kijeshi Kwa Ukraine wenye thamani ya $ 2.2B.
Msaada huo Kwa mara ya kwanza utajumuisha makombora ya Masafa marefu ya GROUND LUNCHED SMALL DIAMETER BOMB (GLSDB) yenye uwezo wa kupiga umbali wa 150km.
Hata hivyo...
Yalalamika vikali kwanini Ukraine inapewa madubwana ya kuipiga Urusi.
=========
Russia said on Thursday it saw the promised delivery of Western tanks to Ukraine as evidence of direct and growing U.S. and European involvement in the conflict.
The Kremlin was reacting for the first time to...
Msemaji wa White house amesema kwamba miezi michache ijayo Marekani itatuma vifaru aina ya M1 Abrams nchini Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine wataanza kupatiwa Mafunzo ya vifaru hivyo nchini Poland kwa muda wa miezi 3.
Hayo yanajiri siku moja baada ya Ujerumani kukubali kutuma vifaru 29 aina ya...
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Anna Baerbock amesema "hatoizuia " Poland ikiwa itatuma vifaru vya Leopard 2 nchini Ukraine.
Ukraine imetoa wito kwa nchi za Magharibi kutoa vilivyotengezwa na Ujerumani ambavyo wanasema ivtawasaidia kuishinda Urusi.
Lakini Ujerumani bado haijatoa magari ya...
Mtanzania mwenzetu kafia Ukraine kwa niaba ya Russia.
Kulikoni Serikali ya Urusi ikamfikisha Mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake?
Wako wapi wanasheria wetu?
Haipo fursa ya maana hapa dhidi ya Putin?
Ushahidi wa kwanza wa kuangamizwa kwa silaha ya mfumo wa kinga ya anga ya Urusi maarufu kama (S-400 Air Defence System) umepatikana.
Hii ni mara ya kwanza kwa Ukraine kutoa ushahidi wa wazi kuthibitisha madai yao ya kuiangamiza silaha hiyo ya kisasa ya Russia...
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023...
Kwa siku za hivi karibuni Ukraine imekuwa ikiiomba sana Ujerumani wawapatie vifaru vya kivita aina ya Leopard 2 Tanks ambavyo wengi wa wataalam wa kivita wanaamini kwamba vinaweza kuleta mabadiliko makubwa katika vita kati ya Russia na Ukraine.
Sasa ni kwa vipi silaha hii inaonekana kama "Game...
Nimeona nikumbushie kidogo kutoka katika Historia kuwa Tarehe 16 March 1938, Hitler alivamia eneo la Czechoslovakia la Sudetenland kwa madai kuwa eneo hilo lilikuwa na wajerumani wengi ambao walikuwa wakionewa na utawala wa Czechoslovakia.
Wakati huo Hitler alikuwa na jeshi kubwa sana kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.