Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini China ambako pamoja na mengineyo analenga kulishawishi taifa hilo mshirika wa Urusi, kusaidia juhudi za kuleta amani katika mzozo wa Ukraine.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aidha anataraji kuirai China kuacha...
Baada ya uvamizi wa urusi ndani ardhi ya jirani yake ukraine kumetokea hali tofauti ya namna vikosi vinaweza kupata umiliki ndani na nje ya uwanja wa medani.
Matumizi ya silaha kubwa kama vifaru yameonekana kuwa vulnerable kwani imekuwa rahisi kushambuliwa na silaha nyepes za kubeba begani, "...
Urusi imechukua kiti cha urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya Ukraine kuwataka wanachama kuzuia hatua hiyo.
Kila baraza la wajumbe 15 huchukua nafasi ya urais kwa mwezi mmoja, kwa utaratibu wa kupokezana.
Mara ya mwisho Urusi ilikuwa na nafasi ya urais ilikuwa Februari 2022...
Ukraine imepangua mashambulizi 47 juzi huku siku zikitimia 400 tangu Urusi ijiingize kwenye huu msala....
Kiev, Mar. 31, (dpa/GNA) - Ukrainian troops defeated several simultaneous Russian attacks on different sections of the eastern front as Ukrainian President Volodymyr Zelensky marked 400...
Vita vya Vietnam vilikuwa vita vya muda mrefu, vya gharama kubwa na vya mgawanyiko vilivyoikutanisha serikali ya kikomunisti ya Vietnam Kaskazini dhidi ya Vietnam Kusini na mshirika wake mkuu, Marekani.
Mzozo huo ulizidishwa na Vita Baridi vinavyoendelea kati ya Marekani na Muungano wa...
Baada ya kuwasili kwa Makamu wa Rais wa Marekani nchini Tanzania hapo jana, ajenda kadhaa zinatarajiwa kuletwa mezani.
Tanzania imekuwa haifungani na upande wowote ‘non-alignment’ kuhusu Vita inayoendelea Ukraine. Hili limejidhihirisha kwenye mfululizo wa kura zilizopigwa UNGA tangu kuanza kwa...
Vifari vya Chalelenger vya Uiengereza inasemekana vimeanza kuwasili nchini Ukraine. Makamanda wa Uiengereza wameonesha wasi wasi wa askari wa Ukraine kutokuvimudu kuvitumia vifaru hivyo japo tayari wameshapata mafunzo yake.
Kwa upande wake Urusi sasa imeanza kufanya kweli kuhusu tishio lake la...
Wanaojua Mamluki wanavyotengenezwa watajua namaanisha nini.
Mtu alikuwa kifungoni na amekata tamaa ya kutoka, ghafla anaambiwa kuwa akipigana upande wa Urusi kifungo kitapunguzwa kwa nusu na akitoka atapewa hela.
Watu wa aina hii huitwa "Sleeper Cells" pale wanapataka kutumiwa kwa matendo...
Na BBC Swahili
Vita vya Bakhmut, mji wa Ukraine ambao Urusi imetumia miezi kadhaa kujaribu kuuteka, "inaendela kwa utulivu", anasema kamanda mkuu wa Ukraine. Mapema mwezi huu, maafisa wa Magharibi walikadiria kati ya wanajeshi 20,000 na 30,000 wa Urusi waliuawa au kujeruhiwa huko Bakhmut tangu...
Urusi ilijaribu kila mbinu kupiga mabomu miundo mbinu ya kuzalisha na kusambaza umeme ili wananchi wa Ukraine wateseke, nawashangaa sana maustadhi wanaoshabikia ukatili wa Putin, amekua 'mungu' mtu....
Umeme bado upo wa kumwaga, wananchi pale Kyev bado wanaendelea na maisha yao, Putin alipiga...
Taratibu hiyo Crimea mtaitema tu, wizi wa ardhi ya watu ni laana.
An explosion in the north of occupied Crimea has destroyed Russian missiles being transported by rail, Ukraine's defence ministry said.
The Russian-installed head of the city of Dzhankoi said the area had been attacked by...
ICC kazi kwao kumkamata, yupo Ukraine anavinjari mitaa ya mauripol
===
Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais pendwa duniani ama mwamba wa dunia jana amefanya ziara ya kushtukiza katika rasi ya Crimea katika kuadhimisha miaka tisa tangu alipoinyakua kutoka Ukraine
Putin aliutembelea pia mji wa...
Imefikia hatua sasa Ukraine kupewa silaha za maana, hadi hapo visilaha walizokua wanapewa wamefaulu kuilemaza Urusi, sasa wataanza kupata madubwana ya kweli, na Urusi ilishasema atakayeisadia Ukraine kwa silaha atakiona, sasa sijui ndio nini kingine kinasubiriwa, ifahamike hao Poland ni jirani...
Urusi imepoteza zaidi ya wanajeshi 70,000 kwa kujaribu kufumua kamji kadogo ka Bakhmut, imeshambulia kwa nguvu zote na kutupa kila kitu, lakini wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kwa sasa Urusi imekwama kiasi cha kutojua nini cha kufanya zaidi.....kichekesho...hawa ndio...
Ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), imeinesha Nchi 5 tu (Marekani, Russia, Ufaransa, China na Ujerumani) zimechangia 76% ya Usambazaji wa Silaha za Kivita duniani.
Kwa mujibu wa SIPRI, kati ya mwaka 2018 hadi 2022 Mataifa ya Kusini mwa Jangwa La Sahara...
Ukraine kama Nchi ilotokana na USSR, Hawa Hadi Leo hii Asilimia kubwa ya Silaha zao ni za Kisovieti .
Ukraine hapumui Kwa Sasa, Silaha Mpya za wa Magharibi zinawahitaji wapate muda mwingi wa kujifunza.
CIA kupitia washirika wake Duniani kote, Kwa Sasa wanaendesha Operesheni Dunia nzima hasa...
Kwa ambavyo Urusi imepoteza wanajeshi kisa kugombania kamji ka chumvi, ni dhahiri hivi vita Putin amedhamiria hata kama itabidi kuzamisha nchi, hivyo imebidi Ukraine wajiandae kuua Warusi kwa kadiri wawezavyo, wamepata mafunzo ya kutumia vifaru special na kuanza kugeuza kurudi nyumbani...
Wakati Marekani imeamua kupeleka Patriot nchini ukraine ikasemekana kuwa muarobaini wa mashambulizi ya anga ya urusi nchini ukraine umepatikana!! Kumbe hakuna kitu! Patriot ni kama midoli tu mbele ya Kinzhal hypersonic missile system.
Russian forces have delivered a massive missile strike on...
Mimi sina mengi, hii ni taarifa kutoka kwa Pro Ukraine" kutoka huko twitter!
Pia haya makombora yana uwezo wa kubeba mabomu ya nyuklia, makombora haya yanaogopwa sana NATO/USA!
NB: Taifa likikosea kuchagua rais mwenye akili jua anguko lake haliko mbali.
1: Uwe makini kuhakiki kila move ya maisha yako. Kuna watu wako tayari kukutumia hata kama ukifa ila wao mambo yao yaende.
Ukraine anatumiwa na US/NATO.
2: Jifunze kuchukua hatua mapema kwa gharama ndogo kuliko kusubiri umechelewa na kupata hasara kubwa isiyolipika. Kumbuka 80/20 Rule.
Russia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.