ukraine

  1. MK254

    Kamanda wa mkuu wa Jeshi la nchi kavu Ukraine, aitembelea Bakhmut

    Japo kamji kenyewe ka chumvi na hakana maana yoyote, lakini kwa namna Warusi wamejitoa mhanga ili kukateka, imeibua maswali, maana wanajeshi wa Urusi wanapukutika kwa mamia kila siku ila bado wanataka hako kamji, mkuu wa jeshi la nchi kavu amezuru ili kuandaa mikakati ya kuendelea kuua...
  2. Messenger RNA

    Wanajeshi 10000 wa Urusi wameshajisalimisha kwa Ukraine toka September katika kampeni iitwayo nahitaji kuishi

    Takribani wanajeshi elfu kumi (10000) wa Urusi wamejisalimisha kwa Ukraine kutoka mwezi wa tisa-2022, baada ya Ukraine kuanzisha kampeni inayojulikana kama nataka kuishi ambapo askari hupiga au kuchati kwenye kituo kinachoratibu mpango huo, akikamilisha taratibu huchukuliwa na kupelekwa kwenye...
  3. HERY HERNHO

    Hali tete Ukraine waanza kutumia vikongwe na watoto. Wagner Group yamtaka Zelensky atangaze kuipoteza Bakhmut maana hali ni tete

    Mkuu wa kampuni ya masuala ya kijeshi nchini Urusi, Wagner Group, amesema wapiganaji wake wameuzunguka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, ambao Urusi imekuwa ikijaribu kuutwaa kwa miezi kadhaa sasa. Kufikia asubuhi ya Ijumaa (Machi 3), Yevgeny Prigozhin alisema sehemu pekee ambayo haikuwa...
  4. MK254

    Hali tete, Urusi kuanza kulazimisha wanafunzi wakapigane Ukraine

    Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko, hilo taifa hivi karibuni litaishiwa wanaume. ===================== "Russia is preparing to draft...
  5. MK254

    Hatimaye kipindi cha theluji kimeisha Ukraine, ndio kete aliyokuwa amebaki nayo Mrusi

    Urusi ilitegemea kutumia musimu wa baridi kali yenye theluji ili ijaribu kuiparamia Ukraine, ikapiga miundo mbinu ya umeme kwa kutumia mizinga ya kila aina, ila Ukraine wamekomaa mpaka musimu umeisha huku Mrusi akiwa ameganda anapambania kamji ka chumvi huko mbali Bakhmut. === Kyiv said that...
  6. T

    Safari ya Rais Biden na Jinsi CIA walivyoandaa safari ya kijasusi Nchi Ukraine

    Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani na kuthibitishia ulimwengu kuwa wao sio wa viwango vya China au Urusi ila wao ni WA viwango vya juu...
  7. MK254

    Drone za Ukraine zaanza kujongea Moscow, anga ya Urusi wazi bila ulinzi

    Hii imewashangaza sana Urusi kwa drone kukaribia Moscow bila kugunduliwa...... Drones that the Kremlin said were launched by Ukraine flew deep inside Russian territory, including one that got within 100 kilometers (60 miles) of Moscow, signaling breaches in Russian defenses as President...
  8. Webabu

    Askari wa Ukraine: Bakhmut ni kama Jehanamu

    Tangu juzi Rais Zelensky amesikika akisema hali kwenye mji aliosema hautowaponyoka hata siku moja kuwa ni mbaya na inadorora kwa upande wao kila saa. Pamoja na malalamiko hayo lakini alikuwa akiwasifu sana askari wake kwa ushujaa wao kuendelea kushikilia sehemu walipo. Leo inaonekana hali...
  9. Ndengaso

    Wamarekani Wamemtemea Nyongo Rais Biden

    Kupitia Ukurasa wa Instagram, Ikulu ya Marekani ilipost picha ya Rais wa Marekani akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ukraine, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza na iliyokuwa ya siri kubwa mpaka kufika, picha hii ilifuatiwa na maneno kwamba Ukraine bado ipo Imara na hakuna wakuizuia Marekani...
  10. HERY HERNHO

    Zelensky aapa Ukraine kuishinda Urusi

    Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ameapa kwamba mwaka huu wa 2023 utakuwa mwaka wa ushindi dhidi ya uvamizi wa Urusi, huku Muungano wa Kijeshi wa NATO ukisema dhamira yake ya kuiunga mkono Ukraine iko imara. Rais Zelensky ametumia hotuba yake ya kukumbuka mwaka mmoja wa uvamizi wa Urusi dhidi...
  11. Mathanzua

    United Nations votes to demand Russia exit Ukraine Immediately

    23 FEBRUARY 2023 The United Nations, meeting in New York, has voted to DEMAND Russia withdraw from Ukraine "immediately and Unconditionally." The vote was 141 in favor, 7 opposed, with 32 abstaining. The same UN that indefinitely delayed the meeting about the Nord Stream pipeline being...
  12. MK254

    Museveni na Zelensky wa Ukraine wafanya mazungumzo, Urusi kuendelea kutengwa

    Sijajua kwanini Urusi ilikua inamshobokea sana Museveni hadi kutuma viongozi kwake, hata hivyo hali imebadilika, Museveni na Zelensky waingia kwenye makubaliano. ======== President Yoweri Museveni and his Ukraine counterpart, Volodymyr Oleksandrovych Zelensky, on Wednesday evening spoke to...
  13. L

    Wakati China inapanga kutoa mpango wa amani kuhusu mgogoro kati ya Russia na Ukraine, Marekani na wenzake wanapanga kuchochea

    Kwenye mkutano wa usalama ulipofanyika hivi karibuni mjini Munich, Ujerumani, suala la mgogoro kati ya Russia na Ukraine limeonekana kugubika mkutano huo, na kuufanya uonekane kuwa ni mkutano wenye ajenda ndogo tu inayohusu mgogoro huo, na sio kuangalia suala la usalama kwa ujumla wake kwa...
  14. MK254

    Wazalendo wa Ukraine wajichukulia mzinga wa Urusi, tena wa gharama sana

    Supapawa amechanganyikiwa mpaka mizinga inachukuliwa kizembe, tena mizinga ya gharama sana.... R-37M ni babkubwa ya mizinga yenye uwezo mkubwa sana ya kipekee... Ukrainian forces recovered one of Russia’s most advanced hypersonic missiles The Armed Forces of Ukraine have recovered the intact...
  15. HERY HERNHO

    Biden: Urusi haitashinda Ukraine

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Urusi haiwezi kushinda vita dhidi ya Ukraine. Matamshi hayo ameyatoa mjini Warsaw, Poland ikiwa ni saa kadhaa baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema Urusi itaendeleza mashambulizi yake ambayo yanakaribia kutimiza mwaka sasa. Rais Biden akionekana wazi...
  16. Suley2019

    Trump: Nitaimaliza vita Ukraine ndani ya saa 24

    Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameahidi kuimaliza vita kati ya Ukraine na Urusi ndani ya saa 24 tu endapo akipewa tena Urais wa Marekani. Trump ambaye tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwakani 2024 ametoa kauli hiyo Florida, Marekani ambapo amesema...
  17. S

    Wamarekani waandamana Washington wakipinga Marekani kudhamini vita ya Ukraine, wampongeza Putin kuwa ni mzalendo

    Marekani yasema wamarekani wanaopinga sera za vita za Washington wameandamana kwenda Ikulu ya Marekani (White House) massa kadhaa baada ya Biden kufika Kyiv wakipinga serikali yao kutengeneza na kudhamini vita nje ya nchi. Wamarekani hao pia walipaza sauti zao wakisema kuwa rais Putin si mtu...
  18. HERY HERNHO

    Joe Biden amesema Ukraine 'imesimama huru'

    Biden amesema Mataifa ya Magharibi hayana njama ya kuishambulia Urusi kama Putin alivyosema leo," Biden alisema. "Mamilioni ya raia wa Urusi wanataka tu kuishi kwa amani na majirani zao sio adui." Pia Biden amesema Nitarudia usiku wa leo niliyosema mwaka jana mahali pale pale. Dikteta aliye na...
  19. Messenger RNA

    Mkuu wa NATO: Kuacha Urusi ishinde Ukraine itakuwa hatari kwa dunia nzima, nchi za magharibi hawatakubali kitokee

    Katibu mkuu wa NATO amesema kuicha Urusi iishinde Ukraine ni hatari si kwa Ukraine tu bali kwa dunia nzima kitu ambacho NATO/magharibi haitakubali hilo litokee kamwe. ================== A Russian win in Ukraine would be 'dangerous for the whole world', says NATO chief as he accuses Putin of an...
  20. HERY HERNHO

    Rais Putin adai ataendeleza vita huko Ukraine

    Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi kuhusu vita vya Ukraine lakini pia tathmini ya hali ilivyo kimataifa pamoja na kutowa mwelekeo wa hali halisi ya nchi hiyo baada ya nchi za Magharibi kuiwekea vikwazo chungunzima. Hotuba hiyo ya Putin...
Back
Top Bottom