China ndio ilikua tegemeo la Urusi na kwa hali inavyokwenda hali inabadilika...
Pia balozi mpya ameteuliwa kuwakilisha Ukraine China Zelensky appoints ex-minister for strategic industries as ambassador to China
Zelenskyy said he had “a long and meaningful phone call" with Xi. His press officer...
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wialya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmu
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wilaya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmut huko...
Wakati majira ya kuchipua yakianza nchini Ukraine, hali ya utulivu ya uhasama imeshuka kwenye medani za vita vilivyoanza Urusi mwaka jana. Mashambulizi ya majira ya baridi ya Moscow hayakufanyika kabisa licha ya uhamasishaji wa mamia ya maelfu ya wanaume wengi ambao hawakuwa na mafunzo. Wengi...
Urusi ilibugi sana kwa kushindwa kutekeleza malengo ya kuiteka Kyev pale mwanzo, sasa kinachofata ni aibu tupu maana tayari wamekwama Bakhmut, wameshindwa kuteka hako kamji licha ya kupoteza wanajeshi kama senene humo, sasa Ukraine wapo kwenye maandalizi ya kuirejesha ardhi yao....
The Patriot...
Vyombo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti kuwa, nyaraka kadhaa za jeshi la Marekani zimevujishwa kwenye mitandao ya kijamii, zikiwa na taarifa kamili kama vile ramani ya Ukraine na sehemu ambazo askari wake wako na aina ya silaha walizonazo.
Moja ya nyaraka hizo imeandikwa “Siri Kuu” na...
Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine
Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake
Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko Russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki
Nne; Pia hasara...
Ukraine wamekua wakifanya maandalizi ya kufanya mashambulizi "spring counteroffensive", kwa muda walikua wanasklizia ubabe wote wa Urusi na mpaka hapo hamna jipya, Mrusi amekwama kashindwa kufumua kamji ka Bakhmut, sasa ni zamu yake ya kupokea.
G7 wameahidi kutoa msaada na kusimama na Ukraine...
Poland na Hungary, ambazo ni nchi jirani na Ukraine, Jumamosi wiki iliyopita zilitangaza marufuku ya uagizaji kutoka Ukraine wa bidhaa za kilimo hadi Juni 30. Serikali za nchi hizo zinasema hatua hiyo inalenga kulinda wakulima wa ndani. Slovakia imefanya hivyo pia jana Jumatatu.
Bidhaa za...
Ndege ya Urusi Antonov An-124 RA-82078 ambayo iliyozuiwa kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Toronto Pearson kwa zaidi ya mwaka mmoja itapelekwa Ukraine.
Ikiendeshwa na Shirika la Ndege la Volga-Dnepr, An-124 iliwasili Canada tarehe 27 Februari 2022 ili kuleta vifaa vya kupima COVID-19 kutoka...
Mashambulizi ya Urusi huko mashariki mwa Ukraine yamesababisha vifo vya watu wanane na kuwajeruhi wengine zaidi ya 20.
Mkuu wa Majeshi ya Ukraine amesema mashambulizi makali yanayofanywa na vikosi vya Urusi yaliendelea jana Ijumaa katika eneo la Sloviansk na maeneo mengine ya Donetsk, mashariki...
Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group).
Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo...
Serikali ya Marekani pamoja na wizara ya Ulinzi na makao makuu ya kijeshi Pentagon bado wapo na kitendawili cha kutegua mtu alievujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine.
Hadi sasa imefahamika kuwa taaarifa hizo zilitokea katika mchezo wa computer yaani "online game" na zilikuwa...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amethibitisha kuachiliwa kwa wafungwa wa kivita kama sehemu ya makubaliano kati ya Ukraine na Urusi.
Makubaliano hayo yamefanikisha kiasi cha wanajeshi 200 waliokuwa wakishikiliwa katika pande zote za mzozo kurejeshwa kwenye mataifa yao.
Rais Zelensky amesema...
Pro-West Slovakia last month became the second country in central and Eastern Europe after Poland to donate fighter jets to Ukraine
Slovakian MiG-29 fighter jets given to Ukraine are faulty and can’t fly combat missions because Russian technicians sabotaged them, Slovakia’s defence minister has...
Kwenye misosi ya futar, amesema kwa vyovyote vile lazima Crimea irudi......
Natumai maustadhi wa humu mtapunguza chuki dhidi ya Ukraine kisa chuki zenu kwa Marekani.
The Ukrainian president hosted an Iftar with Muslim officials, including the Crimea's Tatars. Meanwhile, Kyiv said it will resume...
Marekani, Ujerumani na Hungary zinapinga majaribio ya Poland na mataifa ya Baltic la kuipatia Kiev "mpango" wa kuwa mwanachama wa NATO katika mkutano wa kilele wa NATO wa Julai.
Washington ina wasiwasi kwamba kuzidisha uhusiano na Kiev na muungano huo wakati wa vita kunaweza kuchangia katika...
Katika kile kinachoonekana kama uthibitisho wa kutokuwezekana kwa nchi moja kushinda vita kwa kutegemea misaada 100% kutoka kwa nchi nyingine, Ukraine imekumbwa na uhaba mkubwa wa makombola kiasi cha kupelekea Rais mchekeshaji Volodimu zelensiki kufikiria kwenda Beijing kuonana na rais wa China...
Yaani binti kachora huu mchoro wa kukashifu vita na hii imetosha babake kuswekwa ndani miaka miwili..... Ujamaa ni mfumo wa hovyo sana maana ndio umesababisha Warusi wamekua wazungu mazombi tofauti na wazungu wengine....
Russia: Two-year prison sentence for child's drawing
Juri Rescheto...
Nikikumbuka lile limsafara la kwenda kuteka Kyev nacheka sana maana shughuli yote imehamia kwenye kujaribu kuteka kamji ka Bakhmut ambapo Urusi imepoteza wanajeshi karibia laki moja kwenye haka kamji.... Na bado kameshindikana.
================
Kiev, April 6, (dpa/GNA) – Ukrainian soldiers...
Muda umefika wa kuingia kwenye kiwango kingine cha vita vya kisasa, zaidi ya marubani 7,000 wa drone wamepata mafunzo na wako tayari kupeleka moto kwa kubonyeza bonyeza tu.
A Ukrainian official recently shared a video showing a stockpiled "drone army" amid the ongoing war with Russia.
Mykhailo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.