Kufanya uchambuzi (Profilling) wa aina ya watu wanaoshiriki kwenye upande mmoja au mwingine wa vita ni jambo la msingi sana kwenye kujua aina ya vita na hatima ya vita.
Kwenye medani ya vita kuna msemo usemao "ama mpigane vita ndipo mjadiliane au mjadiliane ili msipigane". Russia na Ukraine...
Warusi walipoteza wanajeshi wengi sana, maelfu yao walikufa wakati wananyakua maeneo ya kamji ka Bakhmut, sasa yameanza kuwatokea puani.
==================================
Ukraine said on Friday that its forces had made significant advances around the embattled city of Bakhmut in the eastern...
Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ameishutumu nchi hiyo kwa kusambaza silaha kwa Urusi licha ya kudai kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine.
Reuben Brigety alidai kuwa meli ya Urusi ilisheheni risasi na silaha mjini Cape Town Desemba mwaka jana.
Ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa...
Tangu vita baina ya majirani hawa walili ianze imenifanye niwaze nikwanini Uingereza amekuwa sehemu muhimu sana kutoa msaada wa hali na Mali kwa Ukraine kuweza kukabiliana na urusi, kuanzia magazeti yake propaganda, mafunzo kwa Askari, upishi wa propaganda, silaha hata kutoka makazi kwa...
Tangu Putin atangaze Special Military operational yake Feb 2022 dhidi ya Ukraine, wengi waliamini kuwa huo ndo ulikuwa mwanzo wa vita kuu ya tatu (World War III) hasa Marekani na NATO walipoweka wazi kuwa wataisaidia silaha Ukraine ili iweze kujilinda dhidi ya mvamizi (Russia).
Marekani...
Waziri wa ulinzi wa Uingereza amethibitisha kwamba nchi yake itaipatia Ukraine makombora ya masafa marefu ili kuweza kupiga shabaha za mbali.
Makombora hayo ya Storm shadow yanaweza piga shabaha hadi 300km huku yakiruka karibu kabisa na ardhi ili kukwepa kuonwa na rada za adui.
Hapo awali...
Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote kumsaidia silaha Russia. Hofu ya China ni nini hasa?
Je, bado anaitegemea US na washirika wake...
Uenda ikawa kashfa mbaya kwa Pentagon kushindwa kuyatambua makombola ya Urusi, hii inajiri mara baada ya msemaji pentagon kusema ni kweli mfumo wao wa ulinzi wa Patriot ulilitungua kombola la urusi aina ya Kinzjal huko nchini Ukraine.
Wachambuzi wa makombola walianza kulitilia mashakha aina ya...
Jameni Urusi imeachwa bila kete nyingine, juzi karusha hypersonic ikashushwa, drones za Iran hazina umuhimu tena huku tarehe ya rais kuhutubia nchi ikiwadia, pia Bakhmut imeshindikana......
===========================
Ukraine air defenses shot down 35 Iranian-made drones over Kyiv in Russia's...
Hapa wanasema walifaulu kuzuia mashambulizi ya drones kumi zikageuza japo wameshusha mbili.
==============
The Russian-installed governor of Sevastopol on the Crimean Peninsula, Mikhail Razvozhayev, said Sunday that a series of Ukrainian drone strikes had been repelled overnight...
Kimbunga cha dhahama cha makombora ya Russia kilichopita Kherson kimewakumba na kuwaangamiza wataalamu sita wa jeshi la Ukraine ambao walikuwa ni magwiji na wabobezi wa kutegemewa katika fani ya vilipuzi (mabomu).
Jeshi la Ukraine linasikitika kwa kuondokewa na wabobezi hao kwani pengo lao...
Habari za hivi punde ni kua mmiliki wa WAGNER PMC amesema ameahidiwa na serikali ya Urusi (Shoigu) kupatiwa silaha kadri atakavyo na wataendelea na operation zao za kijeshi nchini Ukraine.
Haya yanajiri baada ya hivi karibuni bwana Prigozhin kutoa tamko la kuondoa wanajeshi wake kutokana na...
Kama wote tujuavyo mwanachato alikuwa mtu wa kujilipua kuongea chochote bila kuhofia madhara yatakayomkuta kwa kufanya hivyo
Mfano mzuri ni pale alipoamua kujilipua na kuyapima virusi vya korona mapapai,mbuzi na oil,pia alipoamua kuzipondea hadharani barakoa za wazungu na badala yake kuwataka...
Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu...
Kiongozi wa kundi la Wagner linaloshirikiana na jeshi la Urusi katika vita pamoja na kujifanya ni mropokaji lakini ni mzalendo sana wa nchi yake.
Baada ta vita kuwa vigumu Ukraine imekuwa ikitafuta kila njia kuwagombanisha warusi ili ipate kusonga mbele. Kwa njia hiyo wamekuwa wakitumia maneno...
Naona kama watu wanachukia kwa Ukraine kuwategemea Wamarekani na Ulaya kwenye vita yake dhidi ya Urusi. Kwa ni kosa kuomba msaada kwa mtu unayemuamini!!?
Hata hivyo maslahi ya Ukraine na Marekani dhidi ya Urusi yanafanana, tatizo liko wapi wakisaidiana!!??
Kumbe kuna mtu kapigwa jana ndani, lazima aone machungu ya vita
Ukraine inajaribu lipa kisasi kwa Raia 23 waliouawa juzi.
Sasa Putin ni aamue atumie Nukes au aondoke Ukraine
Uzuri hizo drone zimetengenezwa na Ukraine wenyewe.
Wacha tusubiri majibu yake ndani ya hizi siku 3.
---
Russia...
Watu wawili wameuawa ikiwa ni matokeo ya mashambulizi kutoka Ukraine yaliyokilenga kijiji kimoja ndani ya mkoa wa Bryansk ndani ya Urusi. Hayo yamesemwa na Gavana wa mkoa huo kama alivyonukuliwa na chombo cha habari cha Urusi TASS.
Mashambulizi hayo yalikipiga kijiji cha SUZEMKA kilichopo...
Warusi walitumia kila aina ya zana, wakashambulia na kufa sana, wakasubiriwa watumie nguvu yote hadi wakachoka maana wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kuyapangua, kwa muda Ukraine wamekua wakifanya maandalizi makubwa ya kufanya mashambulizi ya kurejesha ardhi yao almaarufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.