ukraine

  1. Mapenzi ya Mungu

    Why is Ukraine negotiating a minerals deal with the US?

    The Ukraine has substantial supplies of key minerals, but some are now in Russian-occupied territory Kyiv and Washington are close to signing a deal over US access to Ukraine's mineral deposits, a Ukrainian minister says. Olga Stefanishyna, deputy prime minister for European and Euro-Atlantic...
  2. X

    Usaliti wanaopitia Ukraine na Ulaya kutoka kwa Marekani, kihistoria ni kawaida ya Marekani. Sio taifa la kuliamini kwa 100% Tujikumbushe kidogo

    Jinsi ambavyo ghafla Marekani imembadilikia Ukraine na kutafuta suluhu na Russia hii inatukumbusha matukio matatu makubwa jinsi Marekani anavyoweza kubadilika kama kinyonga na kutokuunga mkono. Kabla ya WW2 Marekani ilikuwa ikiunga mkono Ujerumani. Wakati wa WW2, Marekani iliunga mkono USSR...
  3. Mateso chakubanga

    Rais Trump awapa wiki tatu ukraine na Ulaya kumaliza vita

    Rais wa Marekani Donald Trump amewaeleza Ulaya na Ukraine hataki kuona vita inaendelea Ukraine badala yake ametoa muda wa siku 21 kuanzia tatehe ya tamko vita viishe au vinginevyo atajitoa katika ushirika na Ulaya, hayo yamethibitishwa na mjumbe wa Ulaya Mika Aalota
  4. S

    Tujifunze kupitia Zelenskyy na vita ya Ukraine

    Trump na Elon Musk wanamuita Zelensky dikteta,asiye na huruma,asiyependa watu wake, tapeli n.k. Mazungumzo ya kumaliza vita yanafanyika Saudi Arabia bila uwepo wa Ukraine, Zelensky anaambiwa atoe sehemu ya madini yake muhimu kwa Marekani Ili kufidia gharama za vita, Urusi kachukua maeneo muhimu...
  5. Eli Cohen

    Trump, anamwambia Zelensky nitakusaidia kuimaliza hii vita kwa makubaliano maalum ya $500 Bilioni

    Siwezi mlaumu Trump maana Marekani imemlushia pesa mingi sana Ukraine KYIV — Utawala wa Trump uko karibu kufikia makubaliano na Ukraine kuhusu upatikanaji wa haki za madini zenye thamani ya mamia ya mabilioni ya dola, ikiw ani hatua kubwa kuelekea kumaliza vita vikali vya Russia dhidi ya taifa...
  6. Matteo Vargas

    Putin aliahidi kuikamata Ukraine ndani ya saa 48 na Trump aliahidi kumaliza vita hiyo ndani ya saa 24. What went wrong?

    Viongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa? Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza...
  7. X

    Meli vita za China zinafanya mazoezi halisi ya moto katika pwani ya Australia. Serikali ya Australia ijifunze yaliyoikuta Ukraine

    Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani. Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania? Chinese exercises 150km from Sydney Ikumbukwe kuwa...
  8. Crocodiletooth

    Amerika angestahili kumaliza mgogoro kati ya Ukraine na Russia, na kuisaidia Ukraine.

    Toka kiongozi mpya wa Marekani aingie madarakani, ameonyesha ulafi wa rasilimali za nchi zingine / Lakini si kwa namna hii. ---------- The White House says Pres. Trump is "very frustrated" with Ukrainian Pres. Zelenskyy. The Trump administration allegedly pressured Ukraine to sign a deal to...
  9. Crocodiletooth

    Dunia ya kibabe; Suala Marekani kukaa na Russia kutafuta utatuzi wa mgogoro wa rus - ukraine, bila Ukraine kuwepo hili limekaaje?

    Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza...
  10. Yoda

    Mazungumzo ya amani vita vya Ukraine yanaonyesha jinsi gani dunia imejaa unafiki sana

    Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja wanamchukua mgoni wako wanaenda kukaa naye kikao peke yao wanamuuliza anataka nini kumaliza kesi...
  11. Nikola24

    Habari hii inafurahisha! Putin yuko tayari kuongea na Rais wa Ukraine

    Pia ikumbukwe kuwa raisi wa Ukraine amesha maliza muda wake wa uraisi. Hata hivyo uchaguzi mpya Ukraine haukufanyika kwa sababu ya vita. Pia Ukraine imeruhusiwa kujiunga na umoja wa ulaya EU kwa kuwa umoja huo sio tishio kwa urusi.
  12. K

    Nasubiria kwa hamu vita ya Ukraine iishe nikatafute kazi

    Binafsi sijui vita vya Ukraine itaisha lini, lakini naimani Kwamba Ile vita siku ikiisha tu, kutakuwa na ujenzi mkubwa sana wa miundombinu chini ya ufadhili wa nchi washirika wa Ukraine, ambao ni USA na mataifa ya EU, hivyo manpower kubwa sana itahijika na kazi zitakuwa nyingi sana za ujenzi...
  13. kavulata

    Trump anamtaka Putin wagawane Ukraine, Gaza.

    Trump ni mfanyabishara makubwa, siasa zake ni siasa za kibiashara zaidi, anaifahamu kuwa Urusi ni taifa lenye mali, nguvu na technology kubwa ya Kila kitu. Anajua kuwa Urusi ni kikwazo kwa Marekani na Ulaya kijeshi na kirasilimali, hivyo hawawezi kuitoa Ukraine ambayo ina utajiri mkubwa wa...
  14. Yoda

    John Bolton: Trump kaisalimisha Ukraine kwa Russia kikamilifu, Kremlin wanashangilia wakinywa vodka bila glass.

    John Bolton mshauri wa masuala ya usalama na ulinzi wa marais wengi wa Marekani na mtu mwenye misimamo mikali ya kivita amelaani vikali Trump kuisalimisha Ukraine kwa Russia kabla hata mazungumzo ya amani hayajaanza. Bolton anasema Putin ameshapata kila kitu kwa Trump na kwamba terms za amani...
  15. X

    Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Ukraine na Ulaya wamejifunza kwa uchungu sana, Marekani yawakataa

    Mwaka 1968 aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani Henry Kissinger alisema: "Inaweza kuwa hatari kuwa adui wa Marekani, lakini kuwa rafiki wa Marekani ni majanga." – Henry Kissinger Na Marekani imethibitisha kuwa Kissinger alikuwa sahihi. Mara kwa mara, Marekani imeonyesha kuwa si...
  16. DeepPond

    Zelensky: Ukraine iko tayari kutoa ardhi yake Kwa urusi kumaliza vita

    Raisi WA Ukraine Vlodomir Zelensky amesema nchi yake iko tayari kutoa kipande Cha ardhi yake Kwa urusi ili kumaliza vita na uhasama baina Yao. Chanzo: SPECTATOR INDEX
  17. enzo1988

    Ukweli kuhusu mgogoro wa Ukraine na Gaza!

    Ni rasilimali tu hakuna kingine! Wakubwa wa dunia huangalia faida kwanza kabla ya kuingia vitani! Mgogoro wa Ukraine: 3 Feb, 2025 20:36 https://www.rt.com/news/612127-trump-demand-rare-earth-ukraine/ 5 Feb, 2025 07:44 https://www.rt.com/russia/612197-ukraine-doesnt-control-minerals/...
  18. Minjingu Jingu

    Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

  19. sanalii

    Trump ameshashindwa kusitisha vita ya Ukraine kama alivyoahidi

    Aliahidi ndani ya saa 24 za kua ofisini atasitisha vitaa ya Ukraine, ila mpaka sasa ni kama ameshaona moto ni mkali sana. Zaidi alivyoondoa misaada Ukraine ndio Russia itajipigia zaidi. Huyu mzee kitu pekee anachoweza kukifanya ni kumridhisha Israel
  20. I

    Putin sasa awa na nidhamu, yuko tayari kuonana na Trump kutafuta namna ya kumaliza vita vya Ukraine

    Putin asema Russia 'iko tayari kwa mazungumzo' na Donald Trump kuhusu Ukraine. Rais wa Russia Vladimir Putin alisema yuko "tayari kwa mazungumzo" na Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu jinsi ya kumaliza vita nchini Ukraine. Putin alitoa maoni hayo mwanzoni mwa wiki wakati wa mahojiano kwenye...
Back
Top Bottom