ukraine na urusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maswali magumu kuhusu mgogoro wa Ukraine dhidi ya Urusi ukilinganisha na ule wa Iran dhidi ya Marekani

    Matukio ya kuanzia mwaka 2022-2026 yamebadilisha sana akili za watu wengi duniani. Propaganda na ulaghai vimekuwa vikipwaya kila siku dhidi ya ukweli na uhalisia wa mambo. Kumekubwa na maswali mengi mazito ambayo hata wenye akili wanashindwa kuyatolea majawabu ya moja kwa moja: Mosi, Israeli na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Urusi yahukumu wanajeshi 15 wa Ukraine kifungo cha hadi Miaka 21 kwa makosa ya ugaidi

    Mahakama ya kijeshi nchini Urusi imewahukumu wanajeshi 15 wa Ukraine waliotekwa kwa makosa ya ugaidi siku ya Oktoba 17, 2025, na kuwapa vifungo vya hadi miaka 21 gerezani — katika kesi iliyopigwa vita vikali na serikali ya Kyiv na mashirika ya haki za binadamu, wakiiita “kesi ya maigizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…